US Election Coverage 2008

US Election Coverage 2008

Unajua NN sasa hivi Heineken zimeshaanza kumchukua hahahahahha kwa hiyo ndio maana anaona Obama kashindwa.

Halafu sasa MO ni Obama anaongoza, tusubiri tuone kama atai-close.

Unajua Mazee huku leo weather ilikuwa bomba kishenzi..76 degrees...kwa hiyo kama kawaida yangu nikwasha grill nikafanya mavituz....

Loh naona Osama kachukua lead MO...poa tu lakini
 
Naona Billary anachukua California kutokana na msaada wa chicano
 
Angalieni majimbo anayoshinda Obama, places like Colorado, North Dakota, na Minnesota. The Obama phenomenon is on a roll!
 
Basi! Fox News ina project Mama kashinda Cali....game over. Mi naenda kulala. Huyu Mama kweli kiboko.

Oh...check this out...tumshakubali another 4 debates lakini naona Osama anasuasua....we'll see
 
Basi! Fox News ina project Mama kashinda Cali....game over. Mi naenda kulala. Huyu Mama kweli kiboko.

Oh...check this out...tumshakubali another 4 debates lakini naona Osama anasuasua....we'll see
Naona unakimbia sasa NN, subiri usikie matokeo ya MO na Alaska hahah.
 
Nyani,
What do you have against Obama? He is not Osama and the game is not yet over. Kalale lakini hakikisha huamki na hang' o' ver.
 
Nyani,
What do you have against Obama? He is not Osama and the game is not yet over. Kalale lakini hakikisha huamki na hang' o' ver.

Nothing! I just like Clinton. But I can't stand people who hate Clinton for no apparent reason other than her being a Clinton...
 
Karl Rove tena?! wewe kweli utakuwa umeanza kuwa tingasi. Fisadi "boy genius," mzushi na anamtaka sana Hillary kwenye general election ili wapate revenge yao!.
Mie nipo disappointed na hawa "vipasa" wa Cali, ama kweli elimu ni nyeti ktk maisha.
 
Mazee sikimbii....
Hahahaha...hata Karl Rove anakiri ushindi wa mama uko convincing....thats whats up

Okay Mazee Obama kachukua MO sasa, hebu chukua Heineken nyingine maana Billary wako ndio boti yake inazidi kuzama.
 
Alaska nayo hiyoooo kibindoni kwa Mr. Change, kwahiyo GQ unasema kwamba projections za mapema kwamba MO imeenda kwa Clinton zilikuwa wrong?? waangalie, wasije kutuletea balaa kama la FL mwaka 2000. AZ hivi inaendeleaje?
 
duh heinken zitanywika hivyo?

mie niko mluo, ila nyepesi nyepesi kibaki hataki mluo ashinde
 
Alaska nayo ndani ya bag, MO winner take it all mwake sana hapo...Bad news kwa Billary campaign yake inanyemelewa na ukata ndio maana anataka wafanye debate kila week wakati mwenzake yuko fired up and ready to go around the country.
 
Wakulu hapa naona kijana anachukua hii nomination. Ila inaonekana wahamiaji wengi especially latino na wahindi wamemsupport mama...what do you think is the main reason...maana hata jamaa akienda kwenye general election bila hii support..inaweza ikamcost kiasi...In anyway he is running a good campaign and he deserves the win...

Anyway history is in the making I guess to have a son of immigrant do what he is doing, is a big reap forward.

By the way guys, do we dream when our children here in Tz will see and enjoy such kind of competitive democracy? I long for that day, though we may not live long to see it, but surely it will come one day. Na sisi tuache kuwa mashabiki wa wengine na badala yake tuwe tunashabikiwa! It is possible!


Let us learn from this US democracy and elsewhere..
 
Masanja,
Hillary anataniwa kuwa ni senator toka Punjab. Yaani, Sen. Hillary Clinton, D-Punjab. Nadhani umeipata hiyo!!
Billary wame-run divisive campaign na haya ndio matokea yake, come November common interests za hawa minorities zitawarudisha kundini na ku-vote nominee wa democratic.
Immigrants na minorities wengi wana tabia ya kuto kuelewana miongoni mwao, kwasababu ya competition ya jobs na resources nyingine. Watu weusi wanaona Latino wanachukua jobs zao na kufanya pay kushuka chini. Asians wao hasira yao na weusi ni juu ya crimes, maana jamaa wana-rob sana kwenye liquor na convinience stores zao!! Mwisho wa siku, wa kulaumiwa hapa ni Billary kwa kujaribu makusudi kabisa ku-take advantage ya issues kama hizi badala ya ku-unite. Ndio maana watu waerevu, wanakwenda na Obama. its all about change, change for the best....there is no white, black or brown america, there is just one america!!. Go Obama.
 
NN hupo hapo !!! kati ya 11 milion Votes za Dems difference ni 100K...
NM hiyo nayo ikikaa vizuri inakwenda kwa Wonder Boy
 
Obama kufanya vizuri mikoa ya kati kunaweza kuchukuliwa kama kauli ya watu kwa chama cha Democrats kuwa kama wanataka mgombea atakayeweza kupata kura za middle America inabidi wamchague Obama.

Of course hatujaongelea wapiga kura wa Republican.
 
Jamani, mi nilikufa moyo kabisa baada ya kuona mtoto wa kwetu Jaluo Jeuri akishindwa California! Unajua tunajipa moyo hapa lakini this is not good news. Mi nataka kujua margin tu maana bahati nzuri California siyo winner take all bali ni proportionate! Yaani hapa Bongo wengine mpaka tumechelewa kazini kwa ajili ya kuangalia ma boh Obama alivyoongea. Nasikitika tu hapa huwezi kununua Obama t-shirts na banners. Itabidi nitafute mtu anitumie au aniletee!
Lakini ingawa I am au courant in delegate count and the rest of the nittygritty issues, but leo nimepotea!
In number of states aliyoshinda, Jaluo kajitahidi lakini hii ya california na new york watu wanasema ni bad news for him. Sasa naomba msaada if there's anyone there awake?! Icadon?
 
obama kaanguka kifudi fudi, nnaona watoa michango ya kumuunga mkono wanahema wakitafakari watoke vp
 
Back
Top Bottom