US Election Coverage 2008

US Election Coverage 2008

Aiseeh YN mbona unaniweka katika column ya Ngabu na Chelsea...hapa nahesabu states tuu kabla ya delegates,huyu bwege wenu Romney anachemka tuu hapa naona kwenye TV
 
Ebwana Mama anaongoza Arizona...thats whats up

I still can't get over MA....sijui bichwa yuko wapi usiku huu....halafu hivi na nyie mme-notice kuwa maseneta wote wa MA wana mibichwa mikubwa...?
 
OK nimeona FOX wamecall MN for obama...ngoja niongeze beer sasa.
 
Ebwana Mama anaongoza Arizona...thats whats up

I still can't get over MA....sijui bichwa yuko wapi usiku huu....halafu hivi na nyie mme-notice kuwa maseneta wote wa MA wana mibichwa mikubwa...?

...endelea na game yako ya pick & choose sisis tuynachojua ushindi ni wetu leo,kajiunge na Romney
 
NN,
luninga yako inaweza kuwa na "mtindio" wa ubongo, AZ ni Obama on top!!
Icadon,
Huo ushindi wa MN ni sooooo big, naona chamaa ana sweep midwest na ma-south kana hana akili nzuri!!
Koba,
polepole na hilo tungi, kesho ni siku ya kazi.......waliosema, ooooh jamaa anapata kura za weusi tu wapo wapi?? nataka maelezo juu ya UT, ND, KS, CO, CT of course kuna wanugu wengi hasa Hartford na New Haven, na AZ kwani naona anaongoza nataka kusikia juu ya latino votes!!! NN unaweza ku-spin.......usiwe na wasi juu ya MA, wewe subiri delegate counts maana najua big cities hasa Boston, Cambridge, Worcester na Springfield zitakuwa zime-deliver kwa OB.
 
NN,
luninga yako inaweza kuwa na "mtindio" wa ubongo, AZ ni Obama on top!!Icadon,
Huo ushindi wa MN ni sooooo big, naona chamaa ana sweep midwest na ma-south kana hana akili nzuri!!
Koba,
polepole na hilo tungi, kesho ni siku ya kazi.......waliosema, ooooh jamaa anapata kura za weusi tu wapo wapi?? nataka maelezo juu ya UT, ND, KS, CO, CT of course kuna wanugu wengi hasa Hartford na New Haven, na AZ kwani naona anaongoza nataka kusikia juu ya latino votes!!! NN unaweza ku-spin.......usiwe na wasi juu ya MA, wewe subiri delegate counts maana najua big cities hasa Boston, Cambridge, Worcester na Springfield zitakuwa zime-deliver kwa OB.

Check your facts again...
 
Ngabu BO kachukua Minnesota.hapo vipi maana whites ni95%...haha ahaha ahaha na usisahau kachukua na Idaho pia.
 
na mjue california tunagawana na big counties kama Los angeles BO lazima aibuke kidedea
 
hahahahaha aisee leo ni full shangwe hapa yaani tunakula Greens tu. Unajua hadi Nyani Ngabu amempigia kura Obama kule GA hahahahaha.
 
damn naona Colorado went to Obama...Ngabu popote ulipo kunywa kwa gharama yangu
 
hahahahaha aisee leo ni full shangwe tu hapa yaani tunakula Greens tu. Unajua hadi Nyani Ngabu amempigia kura Obama kule GA hahahahaha.

Aahahahahahaha....mazee unanichekesha hapa. Mi mwenzio kesho niko off...sasa hivi nazitwanga Heineken tu kama sina akili nzuri....Obama yuko pouwa tu lakini Mama is the best...
 
mama kaibuka kidedea Arizona..bao sasa ni 11-7 obama
 
mie nataka kusikia maelezo ya wale walosema kwamba, Obama kama Jesse...yaani atashinda black states tu!! naona wapo proved wrong, wameshindwa na kulegea. CO na AZ zinanukia kwenye column ya Obama. Lakini story kubwa hapa ni kushindwa vibaya kwa Romney.
NN, upo wapi? au "watoto wa jangwani"/ ma-kijani/heineken zinakufanya kitu mbaya?!!
 
Kubali ulikosea kuhusu AZ...
 
Naona whities wa CA wengi wamempigia Obama, wakati latinos wamempigia Clinton.
 
Back
Top Bottom