US Election Coverage 2008

US Election Coverage 2008

obama kaanguka kifudi fudi, nnaona watoa michango ya kumuunga mkono wanahema wakitafakari watoke vp

Huu ni ushabiki tu, watoke vipi? Wameshampa pesa, also kumbuka ame-rasie a lot of money online kutoka sisi akina yahe (yaani oridnary Americans). Hillary ndiye aliye-raise through special interest and she collected only 13.2 M since January while Obama collected 32M. So hayo tuache. Mi naomba mahesabu hapa!
 
obama kaanguka kifudi fudi, nnaona watoa michango ya kumuunga mkono wanahema wakitafakari watoke vp

So far ngoma draw. BO kachukua 13 wakati Billary wamechukua 8. Sijui hizo tatu zilizobaki ni zipi. Baada ya super Tues, nafikiri mwenye wasiwasi zaidi ni mama. Maana States zilizobaki jamaa akikanyaga kule si unajua nini kitatokea..... Labda mama alie tena watu wamuonee huruma. Billary wanajua this is their last chance labda wasubiri mtoto wao. BO can try next time, ndiyo sababu mama anafikiri watu watamuonea huruma.
 
Thanks Mr Zero (ingawa naona unatoa michango mizuri hiyo jina haliendani na utashi wako)
Mimi wasiwasi wangu ni hiyo number of delegates, maana nilimsikia strategist wa Obama akisema ya kuwa if the difference of delegates ni 100 or less basi they have a chance! sasa hii California na New York ni delegates wengi!
NImefurahi ya kuwa Obama kabeba Missiouri na Minnesota but kwa sababu ni proportionate naye Mama kapata! So the question is the margin, how much? Hapa ni projections tu.. isije ikawa Gore vs Bush ya 2000 in Florida! BTW, Obama camp nimewasikiliza kwa makini walisema kuwa hawawezi kushinda California kwa sababu Mama alikuwa anaongoza kwa point 30 - 3 weeks ago - it is too much to catch up with, also a big percent was absentee ballotts.
Huko Texas Jaluo anaendeleaje according to polls?
 
Mwakilishi, thank you! It is below the 100 delegate difference , na ninafikiri there are other states to pick up. I think that Obama put it very well today that there will be time for setback na ile analogy aliyotumia ya community organizer was brilliant. I think that overall Obama did well to show that he is electable in rural white areas as well like Kansas! Unajua I find it mind boggling kwamba alishinda kwa margin kubwa hivyo in such a white rural state! With no name recognitition to fall back on (like Clinton), at such a young age, naomba hata HIllary supporters mkubali this guy has something special going for him. Also team yake ni kali sana! They are good strategists
 
hawa latina aka chicano ni washenzi kuliko wazungu na ni watu wa kujipendekeza sana na siku zote ushindi wao unategemea sisi lakini walichotufanya ndio tumejua vizuri ni watu gani hawa,,tutaona kama watashinda hata uchaguzi mmoja nchi hii tena maana siku zote tunawamwagia 95% zetu...No hay manera de que nunca voy a hacer eso
 
According to CNN so far Billary 825 na BO 732.

Sususviri, I think kama watakwenda kwenye State zilizobaki ku-campaign na kuvote one by one, nafikiri mama hatakuwa na ubavu wa kushinda. Umeona kila jamaa anakohutbia watu wanabadili mawazo. The guy is too smart for Billary Clinton.
 
Masanja,
Hillary anataniwa kuwa ni senator toka Punjab. Yaani, Sen. Hillary Clinton, D-Punjab. Nadhani umeipata hiyo!!
Billary wame-run divisive campaign na haya ndio matokea yake, come November common interests za hawa minorities zitawarudisha kundini na ku-vote nominee wa democratic.
Immigrants na minorities wengi wana tabia ya kuto kuelewana miongoni mwao, kwasababu ya competition ya jobs na resources nyingine. Watu weusi wanaona Latino wanachukua jobs zao na kufanya pay kushuka chini. Asians wao hasira yao na weusi ni juu ya crimes, maana jamaa wana-rob sana kwenye liquor na convinience stores zao!! Mwisho wa siku, wa kulaumiwa hapa ni Billary kwa kujaribu makusudi kabisa ku-take advantage ya issues kama hizi badala ya ku-unite. Ndio maana watu waerevu, wanakwenda na Obama. its all about change, change for the best....there is no white, black or brown america, there is just one america!!. Go Obama.

Wewe naona uko infatuated na Bill na Hillary maana kila kitu wewe unawalaumu wao tu....that is so lame
 
Nyani Ngabu, Hillary is one thing lakini BILLARY! Kwa kweli that couple wana ishu nyingi sana na ndiyo maana watu wengi hawampendi and everyone is wishing that they loose, including HOllywood and Media. lakini ungejiuliza ilikuwaje kwamba the Darlings of Hollywood, African Americans na media - the Clintons - wameshuka chati hivyo?! It is their behavior! Hakuna kusingiziwa ni ukweli. Na ukiangalia BIll is now very well behaved. I personally used to admire Bill ile mbaya! Lakini sasa he sounds so hollow next to Obama.
Kuhusu super delegates aliowapata Hillary kumbuka that they can also change their minds wakiwa katika convention! So we are definitely up for some very exciting time.
Lakini pamoja na ushabiki wote, I have faith in the American system, kwa hiyo hata BIllary wakishinda I must say that they deserve it, whatever we may say, maana the competition is tough!
 
Hii topic nimepoteza hamu nayo kabisa baada ya kuiona report ya Richmond! Tunakaa tunashabikia vya wengine wakati nyumba yetu inaungua!! Yaani imagine wote hapa tunavyoshadadia huu uchaguzi wa US as if Tanzania will become another US state Obama or HRC akishinda...

Richmond report is a grim reminder of our responsibility to liberate our country.....Iam sorry guys lakini mi sioni impact ya global politics katika maisha ya mtanzania wa kawaida..Things are so bad in our country.....That to discuss global politics unaonekana you are out of touch with reality in Tanzania. Anyway life goes on..
 
Nakuelewa unachosema ndugu yangu Masanja lakini kumbuka sote tumeshaongea sana kuhusu nchi yetu kwa nguvu zetu zote mpaka sauti zikatukauka. Tulichokipata ni kupuuzwa na kuonwa hamnazo na hawa Majambazi wa CCM. Imefika wakati watu wanatafuta angalau kitu au habari ya kuwafanya wafurahi kidogo, maana nchi yetu na viongozi wetu wanaendelea kutuongezea huzuni na hasira kila siku, na hii habari ya Uchaguzi wa Marekani angalau inatoa hiyo nafasi ya furaha kwetu sote.
 
Susuviri according to CNN political Ticker updated at 1028 EST Clinton 783 Obama 709 Del, matokeo ya New MExico bado hayajaisha kuingia ila Obama anaongoza 49% Clinton 48% precincts zilizoreport ni 92%.

Jumamosi ngoma ni Louisiana, Washington State na Nebraska, watu waspin lakini miezi miiwili iliyopita Clinton camp waliijua super tuesday itampitisha mama bila kipingamizi..

Masanja, hili report la Richmond linahitaji utumbo wa fisi kulidigest Duh!!!
 
obama kaanguka kifudi fudi, nnaona watoa michango ya kumuunga mkono wanahema wakitafakari watoke vp

Mkuu soma chini hapo,

If Clinton can't score a big win by early March, calls will begin in earnest for her to leave the race. And while all signs point to leads in both Ohio and Texas now, she may not have the same support in the four long weeks Obama has to play catchup.

For Barack Obama and Hillary Clinton, Super Tuesday was a draw. But that draw provided Obama with the opportunity to extend the nomination fight, and left Clinton, once again, ending an important round without landing the knock-out punch. The longer Obama dances and avoids the roundhouse, the more likely he will end up winning by surprising in a state he's not supposed to take.
 
Nyani Ngabu, Hillary is one thing lakini BILLARY! Kwa kweli that couple wana ishu nyingi sana na ndiyo maana watu wengi hawampendi and everyone is wishing that they loose, including HOllywood and Media. lakini ungejiuliza ilikuwaje kwamba the Darlings of Hollywood, African Americans na media - the Clintons - wameshuka chati hivyo?! It is their behavior! Hakuna kusingiziwa ni ukweli. Na ukiangalia BIll is now very well behaved. I personally used to admire Bill ile mbaya! Lakini sasa he sounds so hollow next to Obama.
Kuhusu super delegates aliowapata Hillary kumbuka that they can also change their minds wakiwa katika convention! So we are definitely up for some very exciting time.
Lakini pamoja na ushabiki wote, I have faith in the American system, kwa hiyo hata BIllary wakishinda I must say that they deserve it, whatever we may say, maana the competition is tough!

Nasikia watu wanasema Bill na Hillary wana ishu nyingi. Hebu nitajie hizo ishu walizonazo kiasi cha kuchukiwa kama vile ni wauaji!!! Hizo chuki zinaelekezwa kusikostahili. Anayestahili kuchukiwa ni Bush na Republicans walioidanganya Marekani na dunia nzima na kwenda kuvamia nchi ambayo hata haikuhusika na 9/11 na kusababisha maelfu kama sio malaki ya watu kuuwawa kwa uongo wao. Hebu nitajie kitu kimoja tu kinacholingana na uongo wa Republicans na Bush. Nini hasa Bill na Hillary walichofanya? Nielimishe ndugu yangu labda mimi sijui
 
Susuviri,

..watu wengi tunajiuliza Mama amewakosea nini hao wanaomchukia? kwasababu ukichunguza she was just a "first lady."

..Mzee Clinton alikuwa akiwapiga bao hao wanaoendeleza siasa za chuki huko Marekani. Kila walilojaribu Mzee alikuwa mjanja kuwageuzia kibao. Yeye akaonekana mzuri siku zote.

..Mfano mzuri ni ile sakata ya kufunga[shut-down] the federal government. Republicans walitegemea kutakuwa na backlash dhidi ya Clinton, lakini wao ndiyo wakaishia kubeba lawama na kuonekana wabaya.

..Vilevile Republicans walishindwa kumuweka Clinton ndani ya "box." Clinton alikuwa akichanganya sera za Republicans na Democrats na hiyo ikamfanya akose marafiki toka kambi zote mbili.

..Sasa ukirudi kwa Mama kwa kweli yeye yuko more disciplined and hard working kuliko Mzee. Tatizo ni kwamba she is lacking in political skills and tactics.

..Mimi nafikiri kwasababu Mzee Clinton yuko very elusive, basi hawa Republicans and Conservatives wameamua kumshambulia Hillary. Strategy yao inaonekana imefanya/inafanya kazi.

..Hillary ni sawa na Sumaye ktk siasa za Tanzania. Tulijua serikali inanuka rushwa lakini tungemnyooshea mkono Mkapa hakuna ambaye angetuamini. Kwa msingi huo tukaamua kumsakama Sumaye. Leo hii ukweli
unajulikana kwamba Mkapa alikuwa mlarushwa kuliko Sumaye.

Obama..Obama..Obama..

..I think it is looking good for him. For some reasons naona kama ana nafasi kubwa ya kushinda caucases zinazokuja.

Masanja,

..siasa za hapa Bongo ni michosho tu.

..Can you imagine kwamba tulifanya uchaguzi wa Raisi na hakukuwa na debate hata moja?!
 
Joka Kuu, Icadon, Susuviri na wengine, ni kweli siasa zetu za bongo ni za mwendawazimu, lakini at the end of the day Tanzania is the only place we proudly call HOME! twende wapi turudi wapi..Bongo ndo nyumbani kwa hiyo hatuna namna, the buck stops at our door.

Nyie jiulizeni watu wanakufa TZ kwa njaa, poverty now is synonimous with our identity, men and women are working so hard kwa mshahara wa elfu hamsini!!!! Here comes Lowassa and co. ambaye kodi zetu zimemhakikishia maisha mazuri mpaka afe, anatuibia namna hii..Can you imagine tunalipa 152M everyday to EL company????you guys Iam just droping tears kwenye hii keyboard! Its way too much..hawa jamaa wanatufikiria vipi raia Million 40 wa Tanzania? Inachosha wakuu!! Sasa hii mikataba mingine ambayo hatujui...ooooohhhh....

Surely the next generation will exhume our corpses..to examine what was the problem with our brains!!

Tuendelee kukataa issue..ila I guess tutakatika sisi kabla ya issue kukatika.
 
Masanja nitarudi kwenye ile topic ya umafia wa EL wa kujilipa 152M per day nikisikia amejiuzuru kwa sasa ngoja nijadili maslahi yangu hapa unyamwezini (my second home)
 
Koba,
good hapo juu!! jamaa ana sensionalize issue na hana tofauti na hillary (kulialia). Kuna watu hapa kiwanjani ni home kushinda bongo, watu wana watoto, majumba na carriers za kuangalia!!! kama wewe unakuja ktk hii thread kiushabiki tu basi sorry mwanakwetu, si wenzako maslahi yetu yapo ktk mstari. Siku za nyuma huuuko, huyu bwana nanilii alishatoa suggestion kwa moderators wafunge hii thread, kwa maelezo kwamba haisaidii Tanzania..............kwani kila kitu ndani ya JF lazima kiwe kina-impact TZ. NI ufisadi wa kifikra, ugaidi na udikteta, kufanya majaribio ya makusudi kufunga mijadala halali eti kwasababu tu wewe unadhani si ya lazima. Kwani kitu cha lazima kwako, lazima kiwe cha lazima kwa wengine?? Binafsi nilisha "quit" mambo ya TZ zamani, ndio maana hunioni tena kwenye kumi na nane za MKJJ..........utalia mpaka machozi ya damu, hakuna kitakacho badilika na come 2010, SISIEM kidedea, JK two term president!!. Kana unabisha haya, kalaga bao, Nyumba ni msingi burazakaka.......na isije ukawa unalia kwasababu si wewe unayekunja/chikichia mkwanja huo!!! kwikwikwikwikwikwi eti Tanzania.
 
Cilnton 974 Super Del 211
Obama 906 Super del 128

Tusubirie spin sasa, maana mambo ya inevitable nominee hayapo tena ni mwendo wa kufight mpaka mwisho.
 
Mkuu soma chini hapo,

If Clinton can't score a big win by early March, calls will begin in earnest for her to leave the race. And while all signs point to leads in both Ohio and Texas now, she may not have the same support in the four long weeks Obama has to play catchup.

For Barack Obama and Hillary Clinton, Super Tuesday was a draw. But that draw provided Obama with the opportunity to extend the nomination fight, and left Clinton, once again, ending an important round without landing the knock-out punch. The longer Obama dances and avoids the roundhouse, the more likely he will end up winning by surprising in a state he's not supposed to take.

...signature yako ukijumlisha na haya maneno juu,imefunga kazi!
 
Back
Top Bottom