Icadon
JF-Expert Member
- Mar 21, 2007
- 3,581
- 196
Nadhani MO imeshaitwa kwa Hillary, sema siamini juu ya AZ kama kweli imeenda kwa Hillary. Very interesting night..........
So far kura za kc na stl bado hazijamalizika kuhesabiwa.
Nadhani MO imeshaitwa kwa Hillary, sema siamini juu ya AZ kama kweli imeenda kwa Hillary. Very interesting night..........
Kubali ulikosea kuhusu AZ...
So far kura za kc na stl bado hazijamalizika kuhesabiwa.
nimekubali, nadhani ni ka-tv kangu ndio kana matege!!
Icadon
Issue Cali sio kushinda state ni kuweka gap ndogo na ku-pick delegates. lakini so far si haba, OB kaenda beyond xpectations.
So far kura za kc na stl bado hazijamalizika kuhesabiwa.
kama hivyo basi kazi ipo, maana Stl na KC wanugu ni wengi sana......ngoja nimcheck jamaa yangu in "the lou" anipe tamu tamu toka jikoni!
Acha hizo wewe.....asilimia zaidi ya 90 wamesharipoti na Baraka bado yuko nyuma
Hadi sasa kwa kuangalia hesabu za haraka haraka Obama anaongoza kwa namba za delegates, kwa hiyo mambo bomba tu. Naona Obama anataka kuongea sasa.
NN,
are you serious kumwita Obama, Osama au umekosea?? maan, kama umefanya hivyo purposely, nitakuogopa na lazima unakunywa sana haterode/ purdue juice.
Uncle Bichwa sijamsikia nadhani yupo Chicago au Beacon Hill anapiga whisky, maana hizo ndio zake...zee lile kwa mitungi, utafikiri komba!!.
Hahahaha Uncle bichwa ananifurahisha sana....mwenzake Kerry vipi?
11-7 ndio kushindwa? Leo Obama yuko hometown kwa hiyo amuamua ku-chill.Aaaagh speech ya Obama leo inaboa....naona kashindwa hadi kalegea
Hahahaha Uncle bichwa ananifurahisha sana....mwenzake Kerry vipi?
11-7 ndio kushindwa? Leo Obama yuko hometown kwa hiyo amuamua ku-chill.
Kerry sio mtu wa tungi, yule mke wake m-mozambique mnoko sana. lakini uncle bichwa partner wake wa tungi ni senator christopher dodd wa connecticut.
unasema obama kashindwa?? basi labda neno "kushindwa" lina maana nyingine siku hizi!!