US Election Coverage 2008

US Election Coverage 2008

Nimeshangazwa sana na Obama kushinda states nyingi kuliko Hillary. Mimi nilidhani ingekuwa vice versa. Watu wengi wanaompigia Obama wanasema wanapata shauku kubwa kuona jamaa jinsi anavyoendesha kamoeni yake. Sasa unapoweza kuwapa watu wengi shauku basi hakuna wa kushindana na wewe labda Mungu tu. Obama pia ana momentum ambayo itamsaidia sana kujipatia ushindi mkubwa na hatimaye kuwa mgombea wa Democrats na Rais wa kwanza wa Marekani mweusi, huo ndio utabiri wangu...🙂
 
Huyu Osama wakimchagua watakuja kujutia uamuzi wao. Mimi namfananisha na Kikwete. More style but less substance.
 
Cilnton 974 Super Del 211
Obama 906 Super del 128

Tusubirie spin sasa, maana mambo ya inevitable nominee hayapo tena ni mwendo wa kufight mpaka mwisho.

Haya mambo ya delegates kila mtu anadai yeye kashinda sasa sijui nimwamini nani...
 
Nimeshangazwa sana na Obama kushinda states nyingi kuliko Hillary. Mimi nilidhani ingekuwa vice versa. Watu wengi wanaompigia Obama wanasema wanapata shauku kubwa kuona jamaa jinsi anavyoendesha kamoeni yake. Sasa unapoweza kuwapa watu wengi shauku basi hakuna wa kushindana na wewe labda Mungu tu. Obama pia ana momentum ambayo itamsaidia sana kujipatia ushindi mkubwa na hatimaye kuwa mgombea wa Democrats na Rais wa kwanza wa Marekani mweusi, huo ndio utabiri wangu...🙂

Kampeni ya jamaa inaanzia chini kwenye roots, watu wanafanya door to door campaign!! Code name yake ilikuwa inaitwa Walk For Change
Angalia hii video hapa
 
Cilnton 974 Super Del 211
Obama 906 Super del 128

Tusubirie spin sasa, maana mambo ya inevitable nominee hayapo tena ni mwendo wa kufight mpaka mwisho.

Haya mambo ya delegates kila mtu anadai yeye kashinda sasa sijui nimwamini nani...
 
Cilnton 974 Super Del 211
Obama 906 Super del 128

Tusubirie spin sasa, maana mambo ya inevitable nominee hayapo tena ni mwendo wa kufight mpaka mwisho.

Haya mambo ya delegates kila mtu anadai yeye kashinda sasa sijui nimwamini nani...
 
Haya mambo ya delegates kila mtu anadai yeye kashinda sasa sijui nimwamini nani...

I guess mambo yalianza kuwa mabaya Clinton camp mwezi wa kumi na mbili na alikuwa anajua Feb 5th angefunga mahesabu anasubiria convention pale Denver CO

soma hapo chini

WASHINGTON - Hillary Rodham Clinton loaned her campaign $5 million late last month as Barack Obama outraised and outspent her in the Democratic presidential race.

Clinton told reporters at her campaign headquarters in Arlington, Va., that she made the loan, adding, "I believe the campaign would have a great month fundraising in January. We intended to be competitive and we were."

Obama, riding a wave of fundraising both from large donors and small Internet contributors, collected a stunning $32 million in January. Clinton campaign chairman Terry McAuliffe said the Clinton campaign raised only $13.5 million for the month. The $5 million was in addition to that amount, Wolfson said.

On Wednesday, the Clinton campaign set a new goal of raising $3 million over the next three days through the Internet
 
NN,
Unavyoongea, utafikiri ni paid staffer wa Billary!! hiyo ya kumwita Obama "osama" na ku-compare na Kikwete ni below the belt.........
 
NN,
Unavyoongea, utafikiri ni paid staffer wa Billary!! hiyo ya kumwita Obama "osama" na ku-compare na Kikwete ni below the belt.........

Oyaaa vipi wewe? Kwani ninayosema ni uongo? Obama is more style than anything...all he talks about is change...change...change....where is the beef? I simply don't see it. Mna-brag na ushindi wa Utah, Idaho, North Dakota, Colorado, Georgia, South Carolina, Alabama....sehemu ambazo zitaenda Republican come November...good for him!

Halafu wajomba zako mbona sijawaona kabisa leo?
 
Clinton kashinda sehemu ambazo democratic yeyote atakayepata nomination atashinda anyway!! au hilo hulioni? change ina resonate south na kwenye plains, bibi yako ni establishment candidate, hana mpya.....Cali, NY,NJ etc zina prove huo ukweli!! Nam-compare na Michael Dukakis(siku hizi professor wa Northeastern University pale Roxbury)....angalia huyu bwana alishinda wapi na aliishia wapi!!.
 
Haya wewe endelea kujidanganya kuwa Osama Hussein ana chance na Red states ambazo kwenye uchaguzi mkuu huwa hata iweje zinaenda Republican...mimi namlimgamisha na Paul Tsongas....unamjua huyu? Kama humjui m-google.

Natabiri sasa hivi kuwa SC, GA, AL, zote zitaenda Republican kwenye uchaguzi mkuu no matter who the Democratic nominee is.
 
Hizo state ulotaja kwa ile turn out ya primaries zake kama nominee ni Obama hiyo rule of thumb inaweza kubadilika!!!!!mark my words.
Paul Tsongas nisimjue tena!!?? wakti alikuwa ni elected official hapa MA tena kuna Ukumbi mmoja mkubwa sana ktk University of Massachussetts, campus ya Lowell upo named after jamaa(Tsongas Arena)!! Mke wake alishinda uchaguzi mdogo wa US Congress mwaka jana kwa district ya Lowell, But Tsongas alishindwa primaries na kihoro chake kikamua muda mfupi baadae.

Naona kuna Cash crises ktk camp ya mama, mwezi january wamekopa mnyamwezi 5 mil, leo nasikia some staffers itabidi wafanyekazi kwa mkopo/bei ya dezo.....kwikwikwikwi, ki-mtumbwi kinazama hicho kwa mwendo wa kunyata. Primaries na caucuses za Sat/Sun mama ataloa ktk state zote saba, matumaini yake yanabaki TX, PA na OH, by that time mkulu OB atakuwa mbali sana!!! LOL.......magic word(s) hapa ni change, change and change, simple but loud and clear!! wamarekani ni wavivu wa kusoma "fine prints and btn the lines," so uki-complicate(kama mama) na wao wanalikoroga kwenye voting booth. Kumbuka, "its economu stupid".......mwambie a-keep it simple, ready on day one, haitoshi na ni more of the same.
 
Jamani mimi sina utaalam na uzoefu wa hii Race- naomba kuuliza,

Je ni nini kimefanya Hillary kumshinda Obana Califirnia na New York?

Je bado Obama tuwe na matumaini?
 
NY ni home state(adopted home) ya Clintons na Hillary ni junior US Senator toka NY. Cali ni latino factor, clintons wapo well established with looooong roots in the community. Kingine ni social and economic conflicts kati ya blacks na latino hasa in southern cali (LA, San Diego etc) ambazo clinton ali-take advantage of. Conflicts hizi ni juu ya jobs, political power na neighborhoods. Kwa mfano 'hoods ambazo zilikuwa traditionally black sasa zinakwenda latino, mfano Watts, South Central, Compton etc....kisa hapa latino wanakaa wengi wengi na kusaidiana, hivyo basi wanaweza kulipa kununua/rent na kwa maana hiyo bei zinaenda juu, inabidi wanugu wahame kwa kushindwa gharama and therefore wanabaki na hasira na chuki. Trend hizi zinaongeza political power ya latino(kama unajua jinsi representatives wanavyopatikana), hiyo ni political angle. Cha mwisho ni exactly kinachotokea sasa, kwamba ilikuwa blacks ndio largest minority na kuwa na ka-influence flani!! lakini sasa ni latino na attention yote kwao.......hivyo basi blacks wanajihisi economically, politically and socially threatened.
Lakini hapa wa kulaumiwa ni Billary, kwani badala ya ku-unite hawa watu kwa ku-run color blind campaign, yeye ka-capitalize!! Huyu mama ni fisadi, divider, power monger and very dangerous for america.
 
Ninaomba kusema hivi, baada ya kuufuatilia kwa makini huu uchaguzi wa jana, matumaini ya Hillary kushinda nomination ni madogo sana, na I am on the record labda waibe kura,

Kwa maoni yangu, huu uchaguzi ungefanyika next two weeks, Jaluo angemshdina vibaya sana Hillary, baada ya Hillary kushindwa kumshinda jana Jaluo, ambaye leo imethibitishwa kuwa anaongoza kwa delegates 13 zaidi ya Hillary, uwezekano hakuna,

Jaluo, ame-raise dola millioni 32 kwa mwezi huu tu, Hillary ame-raise millioni 16 tu! Wazungu wa South wamempigia kura Jaluo, sasa huko kwingine itakuwaje?

Jaluo go! run! Bado nina-believe Jaluo baby!
 
Mbona nimekuuliza kuhusu wajomba zako Bichwa na Fli-Flopper hujanijibu?
 
Ninaomba kusema hivi, baada ya kuufuatilia kwa makini huu uchaguzi wa jana, matumaini ya Hillary kushinda nomination ni madogo sana, na I am on the record labda waibe kura,

Kwa maoni yangu, huu uchaguzi ungefanyika next two weeks, Jaluo angemshdina vibaya sana Hillary, baada ya Hillary kushindwa kumshinda jana Jaluo, ambaye leo imethibitishwa kuwa anaongoza kwa delegates 13 zaidi ya Hillary, uwezekano hakuna,

Jaluo, ame-raise dola millioni 32 kwa mwezi huu tu, Hillary ame-raise millioni 16 tu! Wazungu wa South wamempigia kura Jaluo, sasa huko kwingine itakuwaje?

Jaluo go! run! Bado nin-believe Jaluo baby!

Mzee huku south zilikuwa primaries tu ambapo asilimia kubwa ya wapiga kura walikuwa weusi. Huku kusini weusi wengi ni Democratic na wazungu wengi wanavote Republican. Nina uhakika wa asilimia 110 kuwa hizi states zote zitaenda Republican. So hawa wazungu wa south waliompigia kura kwenye hivi vi-primary ni wachache mno kuleta tofauti kubwa ktk uchaguzi mkuu ambapo idadi kubwa ya watu watapiga kura na matokeo hayatakuwa tofauti na miaka ya nyuma. Jamani vi-caucus na vi-primaries sio uchaguzi mkuu.

Halafu hii ya Obama kuongoza ktk delegates sijui mnaitoa wapi maana kuna kila aina ya ripoti zinazoonyesha kuwa Mama anaongoza huku kampeni ya Obama wakidai na wao wanaongoza. Hapa hakuna uhakika kwa hiyo huwezi ukasema kwa mamlaka kuwa Obama anaongoza.
 
---sorry wakuu, out of topic:

Hivi wewe Nyani unamtokea Chelsea nini?!!!!! lol
 
Ngabu acha kujidanganya na hizo state kubwa alizoshinda mama,hata obama akisimama November lazima atawamwaga vibaya sana republican hizo state zote ambazo Clinton alishinda jana na ujue NY,California,NJ,MA, Republican chance ya kushinda ni zero,Obama anafanya vizuri sana Midwest kuanzia MN,Iowa,Missouri,ingawaje hii ni leaning republican na kumbuka Kansas ambako mama yake ametoka huko ni mtoto wa nyumbani na Hawaii wanamjua sana maana ni kwao huko na angalia lazima ammwage mama huko..General election akisimama na mccain yule babu atachapwa vibaya sana na kama unabisha subiri uone mambo,hiyo factor ya rangi sio kubwa kama statement ya mccain aliposema anategemea US itakaa iraq for the next 100 yrs na ipo kwenye record tunamsubiri kumpa tsunami yake,na lazima ukubali jaluo kwa campaign machine yake haijawahi kuonekana miaka mingi sana na siku zinavyozidi kwenda ndio wanazidi kumjua,nani alitegemea jana angeshinda delegates na more states kuliko Clinton
 
Back
Top Bottom