Urusi yajiandaa na Vita ya Tatu ya Dunia (WW3)

Urusi yajiandaa na Vita ya Tatu ya Dunia (WW3)

Huyo urusi ndo anaitwa Gogu, na wanaomuunga mkono wanaitwa magogu. Ezekiel 38&39. Mwisho wao uko wazi jinsi watakavyo potezwa
Yaani nilichogundua humu ndani kila upande una mashabiki kama Simba na yanga . Basi ngoja nami nichague fungu lililobora-Urusi ashinde mashoga(US) wadundwe tu.
 
Gogu na Magogu (Iran, Russia and their allies) against Israel. Ezekiel 38 & 39
Acha kuwa radical kwa ajiri ya maandiko mnayoyatafsiri vibaya. Kuna watu linapokuja swala la imani hata uwezo wa kufikiri hupotea
 
israel wana influence kubwa huko marekani kwasababu marekani wengi ni born again(walokole),wanaona israel ni kabila la mungu,na hivyo wanawajibika kulisaidia kwa hali na mali,
lakini katika mgogoro kati ya marekani na Russia,
israel hawezi kuegemea upande mmoja kamwe kwani israel na russia pia wana uhusiano mkubwa,idadi kubwa ya wananchi wa israel,asili yake ni urusi
Kumbe hawa Mashoga ni Walokole huko Marekani?
 
Kumbe hawa Mashoga ni Walokole huko Marekani?
Marekani wanajiita the most civilized world, wanasema kuwa dunia huwa inawaonea wivu kwasababu ya kupiga kwao hatua katika maendeleo na ustaarabu. 70% ya wamarekani hawaijui sera yao ya mambo ya nje, hivyo hawajui nini taifa leo linafanya kwa mataifa mengine. Siku walivyopigwa na osama watu wengi waliuliza kwanini jamaa katupiga bila kosa? Wakaambiwa kuwa wanatuonea wivu kwa ustaarabu wetu. Hivyo kumwambia marekani akapigane vita ambayo itasababisha majeruhi nyumbani kwake ni kitu ambacho kitasababisha taharuki kubwa sana kwa wamarekani wengi wa kawaida ambao hawajazoea kuona bomu linapiga paa la nyumba yenye watu ndani. Mmarekani hapigani na mrusi ng'o kwa hivyo.
 
hiyo style ya Russia ni sawa na dume anaomba kuingiza kichwa tuu kwa demu.. kumbe dude halina mabega kichwa kikizama na kiuno pia kinazama. Alitangaza kuwa anaenda Syria kwa miezi Mitatu lakini lengo lilikuwa kwenda kukaa syria milele ndio maana juzi senate ya Mrusi imepiga kura na kuruhusu kuwa sasa jeshi laweza kukakaa syria kwa muda wowote ule linaotaka.
Alafu kumbe wanajua,,angalia hio video wanakiri kwamba wanajua siku moja asernal yao ya nuclear itakua neutralized kabisa na US[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Ndio maana England ishaona mapema na kujitoa umoja wa ulaya. Na yeye ndio anapokea kiwango kikubwa cha gesi kuingia ulaya ashaofia kushambuliwa hatari na ndio maana anajalibu kuwa pande zote
Kumbe hata hujui kinachoendelea wewe yaaan europe nzima mtu ambae hatumii gas ya mrusi ni England pekee, German peke yake anaitegemea kwa 40%england haitumii even 1%
 
Ni Worning au analialia Putin sikutambua kama muoga hivyo dah... Nilikuwa najua bonge la Ndava kumbe anatetemeka Mmarekani anavyojiimarisha Ulaya japo anazionya nchi hizo zilizowekewa mitambo ya kurushia makombora haswa Romania anadai anajua kwa sasa wanajaza makombora kwenye mitambo hiyo ila hajui kama hayo makombora ni ya nucler au lah ila anawasi wasi mkuu ni nuclear anadai anajisikia yupo kwenye hatari ya kuingia kaburini mmarekani anavyojiimarisha wakati walikubaliana waache kutengeneza silaha kali wao walikubali kwa kuwa walikuwa na hali mbaya kiuchumi na kutengeneza ni pesa nyingi sana wakaona kwanini wapoteze pesa... japo waliona watumie njia mbadala maana viwanda vya silaha vilikufa baada ya kuvunjika kwa ussr na hadi sasa hamna anayeamini wamerejea juu kisilaha na usuper power japo analia lia ati Obama sio...
mmarekani alikubali kusitisha kutengeneza silaha kali kiunafiki lakini anajua kuwa bado wanaendelea kutengeneza

Kiongozi lazima uwe mtu unayewaelewesha wananchi na wadau wengineo kwa ufasaha na uelewa wa dhati juu ya jambo ambalo aidha unategemea kulifanya ama umelifanya ili kuondoa uwezekano wa kutoeleweka ama kusababisha ukwasi katika fikra za watu hasa raia wako na washirika mbalimbali kwa makusudi mapana ya uendelezaji uhusiano mwema na wenye afya...Kufanya hivyo si WOGA bali kutekeleza wajibu wa kiongozi nao ni kuwatumikia kwa kubuni na kuweka mipango madhubuti ya kulinda maslai yao na kuongeza na kuboresha mazingira ya uendeshaji shughuri za kiuchumi na kidiplomasia haya yote hufanywa na kiasi kidogo cha watu kama wwaliopewa mamlaka katika idara mbalimbali hivyo ni lazima warudi kwa wananchi kuwaelewesha juu ya maamuzi ama mipango wanayopanga kuitekeleza ili kama taifa mipango hiyo itekelezwe kwa pamoja yaani viongozi na wananchi pia wadau mbalimbali.

Russia's leaked Status 6 nuclear "doomsday" weapon, a “robotic mini-submarine” that can make 100 knots with a range of 6,200 miles is a nuclear-armed dirty bomb:
putin-says-us-missile-shield-is-a-great-danger.jpg

BBC: Leo Poland na Lithuania Wanalalamikia Uwezo wa hizo zana kwani sio hizo inchi mbili tuu bali makombora haya yanaweza kupiga mji wote wa Berlin: "Deployment of Iskander missiles to Baltic outpost alarms neighbours but Russia says move is part of regular drill"
iskander teaser kaliningrad_0.jpg
 
Kiongozi lazima uwe mtu unayewaelewesha wananchi na wadau wengineo kwa ufasaha na uelewa wa dhati juu ya jambo ambalo aidha unategemea kulifanya ama umelifanya ili kuondoa uwezekano wa kutoeleweka ama kusababisha ukwasi katika fikra za watu hasa raia wako na washirika mbalimbali kwa makusudi mapana ya uendelezaji uhusiano mwema na wenye afya...Kufanya hivyo si WOGA bali kutekeleza wajibu wa kiongozi nao ni kuwatumikia kwa kubuni na kuweka mipango madhubuti ya kulinda maslai yao na kuongeza na kuboresha mazingira ya uendeshaji shughuri za kiuchumi na kidiplomasia haya yote hufanywa na kiasi kidogo cha watu kama wwaliopewa mamlaka katika idara mbalimbali hivyo ni lazima warudi kwa wananchi kuwaelewesha juu ya maamuzi ama mipango wanayopanga kuitekeleza ili kama taifa mipango hiyo itekelezwe kwa pamoja yaani viongozi na wananchi pia wadau mbalimbali.

Russia's leaked Status 6 nuclear "doomsday" weapon, a “robotic mini-submarine” that can make 100 knots with a range of 6,200 miles is a nuclear-armed dirty bomb:
View attachment 415167
BBC: Leo Poland na Lithuania Wanalalamikia Uwezo wa hizo zana kwani sio hizo inchi mbili tuu bali makombora haya yanaweza kupiga mji wote wa Berlin: "Deployment of Iskander missiles to Baltic outpost alarms neighbours but Russia says move is part of regular drill"View attachment 415165
Ni kweli mkuu sema watu hawajui madhara ya haya madubwasha.....!!!
 
Acha kuwa radical kwa ajiri ya maandiko mnayoyatafsiri vibaya. Kuna watu linapokuja swala la imani hata uwezo wa kufikiri hupotea
Sawa mwandishi Wa biblia na mjuzi Wa kufikiri! Keep on judging!
 
Na research ndio mrusi amewekeza..... Urusi sio North Korea..... Fikiria na nguvu aliyonayo China bado military yupo nyuma Sana ya Russia. Acha kujidanganya mambo ya uchumi kwenye nuclear war. Ndio Maana wakaja na kitu kinaitwa pre-emptive attack. Nchi zimewekeza kwenye strategic weapons. Weapons of high precision. Ni kitendo cha dakika tu story imeisha.
Oooh yes
 
U.S. and NATO wenyewe wameweka mpira kwapani. Kudaadeki
Putin kawapa straight up ,western medias waongo xana....
 
U.S. is not there for.peace kabisa yaani
Wako kwa ajili.ya.strategy interested ambayo ni oils na kuuza silaha zao tuu,
 
israel wana influence kubwa huko marekani kwasababu marekani wengi ni born again(walokole),wanaona israel ni kabila la mungu,na hivyo wanawajibika kulisaidia kwa hali na mali,
lakini katika mgogoro kati ya marekani na Russia,
israel hawezi kuegemea upande mmoja kamwe kwani israel na russia pia wana uhusiano mkubwa,idadi kubwa ya wananchi wa israel,asili yake ni urusi
Yaani wanaooana wanaume kwa wanaume ndio unawaita walokole??? Mmmhh...halafu walokole na waisraeli wana imani tofauti...hakuna kitu hapo!!! Yaani kiongozi mkubwa Wa nchi anafungisha vidume ndoa ili vioane??! Ujinga kabisa.
 
Back
Top Bottom