Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,024
- 59,684
mimi naona mmarekani ni msshenzi na mharibifu... waarabu ni watu wa ajabu sana na nadhani mmarekani bado hajawasoma vizuri waarabu...waarabu hawaiwezi demokrasi ya marekani..waarabu wanataka kutawaliwa na kidume mmoja kwa nguvu na kibabe..anzia sauri arabia kuna kidume mmoja ambaye ni ukoo wa kifalme... hakuna mjinga mwingine kujifanya yeye ndio mtawala only ukoo wa kifalme..njoo iraq kulikuwa na kidume mmoja sadam hussein,,..njoo Libya kulikuwa na kidume mmoja Qaddafi.. na sasa syria kuna kidume Asad... kosa kubwa ambalo Obama amesema kuwa alikosea ni kumuua qadafi.. ni kosa ambalo hata yeye analijutia..na sasa hivi nchi haikaliki na inatumika kupitisha watu kwenda kuzamia ulaya..sasa syria ..marekani hamtaki asad ..na mrusi anamtaka asad..kwa sababu asad akitoka unadhani nani atatawala? nchi htatawalika itakuwa kama libya na mrusi hataki huu upumbavu wa marekani wa kuharibu nchi za watu..go Rusiia ..go Putin