vitus juma
Member
- May 20, 2015
- 98
- 43
Eh mkuu hutaki tupone kwann, si usubiri kwanza tz ya viwanda inakujaMi sitaki tusalimike...nataka tuwe wa kwanza kupotezwa. Kiukweli kabisa napenda ww3 itokee
Eh mkuu hutaki tupone kwann, si usubiri kwanza tz ya viwanda inakujaMi sitaki tusalimike...nataka tuwe wa kwanza kupotezwa. Kiukweli kabisa napenda ww3 itokee
Mbona mara nyingi naona unaandika...halafu baadae ubajijibu mwenyewe??? Au mko wawili wenye majina yanayofanana?Comrade you are extremely accurate and correct Informed[emoji109] [emoji109] [emoji109]
Is just by mistake sometimes kamanda,vichwa vinakuwa haviko xawa yaaani,tusa mehane [emoji118]Mbona mara nyingi naona unaandika...halafu baadae ubajijibu mwenyewe??? Au mko wawili wenye majina yanayofanana?
Warusi watakuwa wazembe sana kama Hili ulisemalo likitokea.Hahahaha alafu wanasahau kuwa marekani kamtuma Edward snoeden kupeleleza urusi , na yuko kwenye payroll ya US kama alivyo OSAMA uko visiwani anakula raha, nahisi BALALI na OSAMA.wamejitolea kusemwa wamekufa kumbe wanakula.raha,
Mtakuja kugundua one day snowden anawageuka warusi na kusema aliyoyaona urusi,
Kama unajua KBG basi ujue ni tofauti na CIA au FIBWarusi watakuwa wazembe sana kama Hili ulisemalo likitokea.
Nalog off
Kabisa Mkuu, hivi vitu huwa vinapangwa.vita zote tatu za dunia zilishatabiriwa na albert pike na akasema ya tatu wazungu watatumia uislam km nguzo ya vita zionist Vs non zionist..miaka km 150 iliyopita kwahiyo mtu anayesema haitatokea amepotea ya kwanza na ya pili zimetima kwa sababu zile zile pike alizosema bado ya tatu ambyo nayo inatimia kwa style ile ile.....watu walitabiri sept 11 wakina cooper naikatokea kweli wakauawa kwa kutoa siri ...matukio makubwa yote yanapangwa kwa sababu maalumu ni ngumu kupangua
Mi mwenyewe nilimuona jamaa ndo anapita pamoja na kukandiwa lakn wapiNilisema Hillary hatoboi
NAHISI UNA CHETI FEKKIWakinukishe tu pumbavu zao, hii dunia imejaa majanga na matatizo kila uchao, umaskini, ufukara na mauaji na maradhi, magonjwa mateso ya kila aina. Kwanza walipuane kwa kutumia nyuklia dunia iishe, naomba na makombora mengine waelekeze huku Afrika, asibaki mtu kwenye hii dunia, kwanza ningekua hapo karibu na hizo nyuklia ndio wangekoma, maana ningeanza mwendo wa kubonyeza bonyeza tu.
YAANI AFANYE UTAFITI KUHUSU MAKOMBORA???Huu ndio ushabiki uchwara hivi umefanya utafiti lini na ukagundua kwamba Russia hana uwezo kijeshi zaidi ya USA?
Ulifanya utafiti lini na wapi ukagundua kuwa makombora ya urusi hayawezi kufika marekani ?
Ww sijui vingunguti halafu unajifanya unayajua mambo ya ndani ya usalama Wa nchi ya urusi na marekani wakat ya hapa Tz tu huyajui.. Kweli haya ni maajabu ya watanzania