Urusi yajiandaa na Vita ya Tatu ya Dunia (WW3)

Urusi yajiandaa na Vita ya Tatu ya Dunia (WW3)

Marekan kazidiwa kete mpaka dakika hii, na ndug zake pale Allepo hawana silaha wala msosi, anataka tumia njia ya kupeleka misaada aweze fikisha silaha kwa jamaa zake, hapo mrusi kaweka stop anachanganyikiwa, na anafaham kabisa afipo fanikiwa kupeleka silaha Allepo inakuwa chin ya serikal na anakuwa kashindwa ktk uwanja wa vita
 
Labda wakubaliane wasitumie Nuclear, ila kama Nucler zitatumika basi Kizazi hiki kinaweza futika kabisa na tambua siraha za sasa ni bora kuliko za vita kuu ya 2.
Na tufutwe tu, maana hiki kizazi kila ninapojaribu kuangalia kinapoelekea hata sioni.
Naona kama kipokipo tu na wala hakina mission yoyote ile hapa duniani. Ni kizazi ambacho hakitofautiani kuku au mbuzi wa nyama choma.
 
Marekan kazidiwa kete mpaka dakika hii, na ndug zake pale Allepo hawana silaha wala msosi, anataka tumia njia ya kupeleka misaada aweze fikisha silaha kwa jamaa zake, hapo mrusi kaweka stop anachanganyikiwa, na anafaham kabisa afipo fanikiwa kupeleka silaha Allepo inakuwa chin ya serikal na anakuwa kashindwa ktk uwanja wa vita
Teh teh teh teh teh teh
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Marekan kazidiwa kete mpaka dakika hii, na ndug zake pale Allepo hawana silaha wala msosi, anataka tumia njia ya kupeleka misaada aweze fikisha silaha kwa jamaa zake, hapo mrusi kaweka stop anachanganyikiwa, na anafaham kabisa afipo fanikiwa kupeleka silaha Allepo inakuwa chin ya serikal na anakuwa kashindwa ktk uwanja wa vita
wanatia hadi huruma wale waasi maana wamewekwa katikati
1475828820307.png
 
Dunia bora ifutwe upya iundwe taifa jipya lenye kisasi kimpya kama taifa la Israel!
 
Gogu na Magogu (Iran, Russia and their allies) against Israel. Ezekiel 38 & 39
ISRAEL NDO INAMILIKI MAREKANI KAMA HUNA TAARIFA. wamarekani wenye asili ya israel ndo matajiri makubwa na wanaomiliki viwanda vya silaha Marekani, ndo maana marekani haifurukuti kwa israel.
 
Both Russia and US has MAJOR interest in Syria.
Syria represents the location of an oil pipeline that will allow the Saudi's to sell oil directly to Europe at a very cheap rate. This will SCREW Russia over.
HOWEVER, IF Russia is allowed to work unimpeded in the middle east, they will likely ally with Iran and Syria and try to push for the END of the petrodollar.
At the moment you can only buy massive quantities of oil legally with US dollars. That means that I need to first buy USD, then buy oil with that USD. This creates a shit load of demand for the USD. This is where USA stake in Syria is.
IF Russia kills the requirement of buying oil with only USD, the dollar will likely collapse on par with GBP and brexit's collapse. This will very likely bring the US into a massive inflationary crisis.
The central bank will raise rates quickly to escape hyperinflation, causing the stockmarket to crash, causing essentially a 2008 style recession and many peoples losing their job.
Both countries, Russia and the US are 'playing for keeps' here, and the result of this conflict will have a major impact on the living standards of the individuals in each nation for the rest of the decade at least
 
ISRAEL NDO INAMILIKI MAREKANI KAMA HUNA TAARIFA. wamarekani wenye asili ya israel ndo matajiri makubwa na wanaomiliki viwanda vya silaha Marekani, ndo maana marekani haifurukuti kwa israel.
israel wana influence kubwa huko marekani kwasababu marekani wengi ni born again(walokole),wanaona israel ni kabila la mungu,na hivyo wanawajibika kulisaidia kwa hali na mali,
lakini katika mgogoro kati ya marekani na Russia,
israel hawezi kuegemea upande mmoja kamwe kwani israel na russia pia wana uhusiano mkubwa,idadi kubwa ya wananchi wa israel,asili yake ni urusi
 
Likitumwa BULAVA TSAR AU SATAN Pale Pentagon itakuwa vizuri sana
 
Huko Moscow kwa sasa ni ful mandalizi ya WW3 na muda si mrefu jamaa atakinukisha hivyo tujiandae kwa janga kubwa sana la kibinadamu kwa sababu wakati wa vita kama hii hakuna kusafiri make huko juu ndo huwa njia ya Makombola kupita
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Murusi bana..
 
George Bush, Queen Elizabeth, and Putin
all die and go to hell.
While there, they spy a red phone and ask what the phone is for. The devil tells them it is for calling back to Earth. Putin asks to call Russia and talks for 5 minutes. When he is finished the devil informs him that the cost is a million dollars, so Putin writes him a check. Next Queen Elizabeth calls England and talks for 30 minutes. When she is finished the devil informs her that the cost is 6 million dollars, so she writes him a check. Finally George Bush gets his turn and talks for 4 hours. When he is finished the devil informs him that the cost is $5.00. When Putin hears this he goes ballistic and asks the devil why Bush got to call the USA so cheaply. The devil smiles and replies "Since Obama took over, the country has gone to hell, so it's a local call."
 
Karibu ulichoongea chote havina fact,

1. unasema najifanya mchumi uchwara kuliko Russia upo wrong sijifanyi ila vita ni automatic vinatia hasara na vikizidi lengo ulilojiwekea unaanza kutoa akiba yako... kuna makombora yalikuwa yanarushwa angani kutokea baharini yanapita juu ya anga la iran yanadondokea Syria nadhani walifanya twice ilaka kwao... wakaacha.

2.Hasara kama nilivyokuambia ukiplan vita unakuwa na bajeti yake so muda ukizidi unaanza kutoa silaha za akiba ndio hasara yake... same like Saudia kwa Yemen yaani ukiona mtu anaomba Mazungumzo ujue kesha zidiwa au hataki tena kuendelea kupata hasara. Sasa na Mmarekani kamstukia kamwambia no more mazungumzo endeleza kichapo umalize ugali wako...huku mboga imebakia mchuzi una chumvi nyingiiii😀😀😀😀

3.Urusi unaposema ina Wananchi wengi sana sijui umejisemea tu kama upo kijiweni sigimbi! Population ya Marekani ni zaidi ya million 320 na ushee na Russia ina Pupulation ya watu zaidi ya million 146 sijui ndio usichofahamu hicho na kama ulimaanisha idadi ya matajiri nchi hizo bado marekani yupo juu kwa ma billionaire tena wanalipa kodi sio Russia ni genge la Matajiri wakiongozwa na raisi wao

Marekani kulinda Maslai yake ipo kwenye Katiba yao na wanailinda katiba yao kwani ndio Jadi yao na kiongozi atakayeshindwa anajiuzulu tu anapisha mwingine... uzalendo..

Mkuu kusanya Nondo ndio uje i hope humu utajifunza Mengi sana ukishakubuhu kaongombee uongozi kwenye siasa utakuwa fit 2020[
Kuna vita gani marekani alipigana na akashinda....?
Tulieni, hii ni nadhalia tu hakuna ww3, marekakani hapendi vita ambayo ana uhakika kuwa kombora linaweza kutua kwenye ardhi yake na kuua japo mtu mmoja ndani ya ardhi ya marekani, ndiyo maana huwa wanapenda kukimbilia kupigania hukohuko mchokozi aliko ili kuepuka maafa yasifike kwake, ndiyo maana walihamaki kupita kiasi ilipopigwa WTO na OSAMA. nDIYO maana hafanyi kitu chochote kwa Korea ya kaskazini kwakua anafahamu kuwa Korea ana bastola inayoweza kupiga Alaska na kwingineko ndani ya Marekani. Marekani itakuwa tayari kuondoka Syria tena kiulaini ili kuepuka balaa la mrusi na wenzake. Anafahamu kuwa korea wala URUSI hawana cha kupoteza kama vita ikitokea. marekani ina cha kupoteza kingi kwakuwa ina vitega uchumu vilivyotapakaa dunia nzima, starehe na maisha ya kifahari ya kila aina ukilinganisha na urusi, china, korea kask. Itakuwa vigumu Marekani kuvilinda vitu vyake vyote kama vita kubwa ikizuka. Isitoshe Marekani anafahamu kuwa Urusi imefanya maandalizi makubwa na ya muda mrefu ya vita ya aina ya nuclear kuliko marekani. marekani sio wajinga wanapoona maisha na mali zao ziko hatarini, ndio maana walikimbia Vietnam na Somalia walipoona idadi ya marekani wanaouawa inaongezeka.
 
Maandiko matakatifu yanasadiki kuwa masharik ya kati ndiko balaa litaanzia hasa syria na israel, huu mchezo ulianza kama masihala lkn kadri siku zinavyosonga ndivyo umazid kukomaa na makundi kujuundataratib, wanaomfuata mrusi na wanao mfuata mmarekan
'....mji mtakatifu utakapozungukwa na majeshi ya kigeni..."
 
Marekani haipo katika bibilia lile si taifa original bali limeundwa kwa mchanganyiko wa watu mbali mbali japo mzungu anataka kulimiliki, hiyo vita hautaisikia mpaka mnakufa kizazi hiki chote ...mtasikia matetesi ya vita lakini hakuna cha vita kutokea...
na tumuombe Mungu isitokee, Amen!
 
ISRAEL NDO INAMILIKI MAREKANI KAMA HUNA TAARIFA. wamarekani wenye asili ya israel ndo matajiri makubwa na wanaomiliki viwanda vya silaha Marekani, ndo maana marekani haifurukuti kwa israel.
I KNOW THAT! LITTLE MINDS DOESN'T!
Ungeweza kuongeza na financial systems za marekani ambazo pia ziko under Jewish control.
That's why you will never see Israel been listed on the world's richest or poor countries.
 
Back
Top Bottom