Meridian bet na M-bet wajiandae kwa kuweka point nyingi kwa USA.Mimi nitakuwa naishangilia Urusi maana USA siipendi wamezidi masifa ni mawazo yangu
Nchi za Magharibi wasingemuacha angalia Gadaffi walicho mfanyia!Hamna rais namkubali kama Vladimir putin.Africa tumekosa watu kama kina Putin.tungepata watatu tu Africa ingekuwa inatoa misaada ulaya na marekan
Nchi za Magharibi wasingemuacha angalia Gadaffi walicho mfanyia!Hamna rais namkubali kama Vladimir putin.Africa tumekosa watu kama kina Putin.tungepata watatu tu Africa ingekuwa inatoa misaada ulaya na marekan
Hunielewi au huelewi?Hata sikuelewi unachoongea.... mara Vietnam mara Somalia? wakati ukweli marakani ndio anaogopwa sababu ana wingi wa silaha na ana uwezo wa kupigana kushinda vita ni kuamua tu the issue ni civilian pekee ndio wanalindwa ila uwanja wa mapambano hamna wa kitunisha kifua na Marekani.... Ndio maana Historia za Zamani ukisikia Jeshi limeshinda ni hakuna msalie huko mtoto mzee sijui mama mjamzito mifugo n.k yote ni kisu tu... Ndio maana kuna watu wanajidai ati Hezbollah kamshinda Muisrael my as. ukitizama unakuta wanalia lia hasara kuu wamepata kuanzia ya watu na silaha wameishiwa... MAREKANI HIVYO HIVYO ANAWAKOMESHA BALAA wajinga huja na kusema MArekani haijawahi shinda vita.... kaa hivyo hivyo ujuipooze
sasa uongo gani! kwani hujui zaidi ya asilimia 80 ya wamerekani ni wakristuHahah asee we umechanganyikiwa, naipenda Russia lkn kudanganya eti wamarekani wengi ni born again ni uongo first class.
huu Uzi una wenyewe dogo, hakuna chadema huku maana naona umekuja mbio kuchangia usikose poshoIkitokea vita itakua rahisi sana kuliko tunavyotegemea. Kuna mtu atapigwa hapa tutashangaa ni namna gani kapata kichapo ( Ila huu uzi umejaa chai balaa)
Unajua tofauti ya wakristo na Born again?sasa uongo gani! kwani hujui zaidi ya asilimia 80 ya wamerekani ni wakristu
Stories za vijiwe vya kahawa mnahamishia hapa JF! I am too old for them! Nina uhakika Hakuna hapa hata mmoja mwenye access na privileged information kuhusiana na mada husika! Zaidi ya kugoogle tu! Why shouldn't I google instead of reading materials from 2nd sources!huu Uzi una wenyewe dogo, hakuna chadema huku maana naona umekuja mbio kuchangia usikose posho
JOKEMeridian bet na M-bet wajiandae kwa kuweka point nyingi kwa USA.
Wazee wa kubet jiandaeni neema inakuja hii.
Mimi huwa Sibahatishi kama huamini tunaweka ushahidi tu...Dah! Hivi unachokiandika unakijua lakn au mihemko tu?
Ni vizuri kujadiliana na mtu mwenye ufahamu sasa wewe Hujui kama Moscow kajiandaa na wala hujui kama hawajajiandaa... Mkuu Tafuta mtu mwenye level yako... hapa Nondo zinashushwa kwa Nondo na sio maquestion markKwahyo unataka kuniambia kwamba Moscow hawajajiandaa kwa hilo?
Huu ushabiki wa vijiwen unauleta pasipo hata kutathmini
swali nzuri sanaaa, natamani nikujibu kwa ufasaha sana ili unielewe,,ila nipo barabarani..Hivi wakati mmarekani anampiga Gaddafi Mrussia alikuwa wapi jamani?
[emoji24]
Daaaah naomba ukipata muda unielezee vizuri na hili...swali nzuri sanaaa, natamani nikujibu kwa ufasaha sana ili unielewe,,ila nipo barabarani..
ok..Putin hakuwa rais kipindi kile na rais alikuwa ni medvedev classmet wa putin..kama unakumbuka baada ya mhula wa kukaa madarakani wa Putin kuisha alimuachia rafiki yake akapigga miaka mitano ili asivunje katiba yao baadae ndio P akarudi tena ..sasa wakati wanapiga kura ya kuivamia Libya Putin hakuwepo ila baada ya Russia chini ya Medvedev kukubali kwa kura .Putin alihojiwa akasema.Zachem vaivati livia? yani kwa sababu gani muivamie libya..but its was too late and Grave mistake. basi Qaddafi akauwawa..and by the time Sarkozy alikuwa ufaransa PM na Qadafi alikuwa amem finance sarkozy pesa nyingi sana ya election.imagine..ila sarkz akamfanyia mwenzake roho mbaya...
Sababu za vita?!Huko Moscow kwa sasa ni ful mandalizi ya WW3 na muda si mrefu jamaa atakinukisha hivyo tujiandae kwa janga kubwa sana la kibinadamu kwa sababu wakati wa vita kama hii hakuna kusafiri make huko juu ndo huwa njia ya Makombola kupita
Na wewe hatukuekewi nini unaongeaHata sikuelewi unachoongea.... mara Vietnam mara Somalia? wakati ukweli marakani ndio anaogopwa sababu ana wingi wa silaha na ana uwezo wa kupigana kushinda vita ni kuamua tu the issue ni civilian pekee ndio wanalindwa ila uwanja wa mapambano hamna wa kitunisha kifua na Marekani.... Ndio maana Historia za Zamani ukisikia Jeshi limeshinda ni hakuna msalie huko mtoto mzee sijui mama mjamzito mifugo n.k yote ni kisu tu... Ndio maana kuna watu wanajidai ati Hezbollah kamshinda Muisrael my as. ukitizama unakuta wanalia lia hasara kuu wamepata kuanzia ya watu na silaha wameishiwa... MAREKANI HIVYO HIVYO ANAWAKOMESHA BALAA wajinga huja na kusema MArekani haijawahi shinda vita.... kaa hivyo hivyo ujuipooze
Upo na Mkeo hapo umekaa mnasoma?Na wewe hatukuekewi nini unaongea
Gaddafi hakuwekeza sana kwenye jeshi, angewekeza kwenye jeshi kama China, India, Pakistan, wasingemgusaNchi za Magharibi wasingemuacha angalia Gadaffi walicho mfanyia!
Hatukuekewi bosi, usilazimisheUpo na Mkeo hapo umekaa mnasoma?