Urusi yajiandaa na Vita ya Tatu ya Dunia (WW3)

Hivi mkuu Elungata a.k.a chapombe ikipigika vita ya tatu ya dunia hivi kuna kitu kitakacho kuwepo kweli?
Na kama ikitokea basi ndio itakuwa mwisho wa dunia hakuna kitakachobaki
Labda wakubaliane wasitumie Nuclear, ila kama Nucler zitatumika basi Kizazi hiki kinaweza futika kabisa na tambua siraha za sasa ni bora kuliko za vita kuu ya 2.
 
halafu unaposema kuwa europe&america zitakuwa majivu ina maana wakati wa vita watakuwa wamesimama tu hawapigani au?? kwani america na europe hawana silaha kama za urusi ?? sijakuelewa ujue kamanda jaribu kufafanua kidogo
vita itapiganwa europe,middleeast na marekani.

America kusin,africa,australia na sehemu za asia wanaweza kusalimika.

Russia si iko europe
 
Maandiko matakatifu yanasadiki kuwa masharik ya kati ndiko balaa litaanzia hasa syria na israel, huu mchezo ulianza kama masihala lkn kadri siku zinavyosonga ndivyo umazid kukomaa na makundi kujuundataratib, wanaomfuata mrusi na wanao mfuata mmarekan
 
Na haitotokea.
kama marekani ataamua kupotezea,inaonekana mrusi ameshaamua liwalo na liwe,kitendo cha kushusha leo anti missile kule syria kinaeleza kuwa hali inaweza kuwa mbaya,mrusi hajawahi kuitoa Gladiator ama s-300v-m nje ya mipaka yake hii inadungua makombora,wakati huohuo marekani,CIA NA PENTANGON kesho wanakutana kupanga jinsi watakavyomshughulikia assad.
Obama peke yake ndo anaweza kuzuia vita isipigwe huko
 
Marekani haipo katika bibilia lile si taifa original bali limeundwa kwa mchanganyiko wa watu mbali mbali japo mzungu anataka kulimiliki, hiyo vita hautaisikia mpaka mnakufa kizazi hiki chote ...mtasikia matetesi ya vita lakini hakuna cha vita kutokea...
 
nimeicheki hiyo HAKIKA ni hatari hata nzi hakatizi zile radar ni hakika
 
Marekani haipo katika bibilia lile si taifa original bali limeundwa kwa mchanganyiko wa watu mbali mbali japo mzungu anataka kulimiliki, hiyo vita hautaisikia mpaka mnakufa kizazi hiki chote ...mtasikia matetesi ya vita lakini hakuna cha vita kutokea...

Akili kubwa lazma itawale akili ndogo
Mzungu lazima ata make sure others races remain under her control
 
Back
Top Bottom