Urusi yajiandaa na Vita ya Tatu ya Dunia (WW3)

Urusi yajiandaa na Vita ya Tatu ya Dunia (WW3)

1475842122808.jpg
 
Naunga mkono WW3 mia kwa mia. Rais Magufuli alisema kuwa kuna watu walijimilikisha bandari ya Dar Es salaam na kujiona kama mali yao na kusahau kuwa ni mali ya serikali. Hivyo hivyo yako mataifa humu duniani yamejimilikisha dunia kama kujiona kuwa mali yao na kusahau kuwa ni mali ya watu wote na mataifa yote. YAKO MATIFA AMBAYO yanaamini wao ndio wanaopaswa kuishi vizuri na wenye haki zote za kufanya wapendavyo bila kuhojiwa na mtu yeyote duniani. Mtu wao mmoja akifa wanaua kijiji kizima, maana wao ni bora mara 1000 kuliko wengine. KWA UCHUNGU, Ni bora dunia ianze upya na watu wapya watakaoheshimu utu wa watu wote bila kujali rangi, bara, dini na aina ya teknologia waliyokuwa nayo.
unataka new world order sio?
 
Hivi mkuu Elungata a.k.a chapombe ikipigika vita ya tatu ya dunia hivi kuna kitu kitakacho kuwepo kweli?
Na kama ikitokea basi ndio itakuwa mwisho wa dunia hakuna kitakachobaki
Mwisho wa dunia hautakuwa umefika ila ndio kuelekeA mwisho hizi tetesi za vita maandiko yalisha tabiri yatatokea! Na hakuna wa kuzuia
 
Unaijua Vietnam
Unajua kilichotokea Georgia 2008!
Vietnam Marekani alijiondokea mwenyewe kwa aibu baada ya kuona vita haviishi na askari wake wanakufa tu
Georgia ile ilipigwa na mrusi, aliingia hadi ndani na vifaru vyake, marekani yeye alikuwa akibweka huku kafyata mkia kama mbwa.
 
Ni Worning au analialia Putin sikutambua kama muoga hivyo dah... Nilikuwa najua bonge la Ndava kumbe anatetemeka Mmarekani anavyojiimarisha Ulaya japo anazionya nchi hizo zilizowekewa mitambo ya kurushia makombora haswa Romania anadai anajua kwa sasa wanajaza makombora kwenye mitambo hiyo ila hajui kama hayo makombora ni ya nucler au lah ila anawasi wasi mkuu ni nuclear anadai anajisikia yupo kwenye hatari ya kuingia kaburini mmarekani anavyojiimarisha wakati walikubaliana waache kutengeneza silaha kali wao walikubali kwa kuwa walikuwa na hali mbaya kiuchumi na kutengeneza ni pesa nyingi sana wakaona kwanini wapoteze pesa... japo waliona watumie njia mbadala maana viwanda vya silaha vilikufa baada ya kuvunjika kwa ussr na hadi sasa hamna anayeamini wamerejea juu kisilaha na usuper power japo analia lia ati Obama sio...
mmarekani alikubali kusitisha kutengeneza silaha kali kiunafiki lakini anajua kuwa bado wanaendelea kutengeneza
Unajihisi umeangalia peke yako hiyo video.Nani analialia?
 
Vietnam Marekani alijiondokea mwenyewe kwa aibu baada ya kuona vita haviishi na askari wake wanakufa tu
Georgia ile ilipigwa na mrusi, aliingia hadi ndani na vifaru vyake, marekani yeye alikuwa akibweka huku kafyata mkia kama mbwa.
Hahahahahahahahahahahah
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]

Chezea Mrusi wewe.....!!
 
Nimeangalia hii vid, nikagundua marekani ni maboya sana. Wanataka wao pekee wawe na kila kitu na asitokee yeyote juu yao! Hii haikubaliki
Hebu nisaidie mkuu kunifafanulia hiyo video jinsi Bwana mkubwa alivyo data....
 
Huko Moscow kwa sasa ni ful mandalizi ya WW3 na muda si mrefu jamaa atakinukisha hivyo tujiandae kwa janga kubwa sana la kibinadamu kwa sababu wakati wa vita kama hii hakuna kusafiri make huko juu ndo huwa njia ya Makombola kupita
tusubir tuone
 
Nimeanza kuhisi Warusi ndo wayahudi wa ukweli,sio hawa fake vibaraka wa Marekani.
 
Putin hamjajua anachotaka kukifanya...Putin warusi wananchi wake wanamuita vladimir vladimirovich..kwanza yeye hataki democrat wachukue nchi , anamtaka Triumph..sasa kaona upepo wa marekani unapoelekea donald anapoteza uchaguzi wazi wazi..Vladimir vladimirovich sasa hivi anaamua kuwapa presha wananchi wa marekani kwa kuvunja mkataba wa nyuklia. mazungumzo ya amani ya syria kuonyesha zana za kivita etc. na mengine mengi na vitisho vingi mtaviona tuu...
ila kwenye vita Putin hawezi kuingiza jeshi lake lipigane na marekani..financial russia haiko vizuri so far.
Sasa kama hayuko vizuri anatishia nini? Je mwenzake akifanya kweli itakuaje, acha fix ww
 
hii haiwezi kuwa vita ya tatu bali itakuwa vita ya mwisho, maana hawa jamaa wakipigana hakuna kinachobaki.
LAKINI maandiko yanasema vita vya mwisho vitakuwa ni vita vya gogu wa magogu, hawa wote, russia na usa wataungana kuwa kitu kimoja katika vita hiyo.
Sasa waungane kapigana na nani?
 
Back
Top Bottom