Urusi yajiandaa na Vita ya Tatu ya Dunia (WW3)

Yaani wanaooana wanaume kwa wanaume ndio unawaita walokole??? Mmmhh...halafu walokole na waisraeli wana imani tofauti...hakuna kitu hapo!!! Yaani kiongozi mkubwa Wa nchi anafungisha vidume ndoa ili vioane??! Ujinga kabisa.
asilimia kubwa ya wamarekani ni watu wasioamini mambo ya kwenda church a.k.a wakristo jina.
Lakini kwa wale wanaosali asilimia kubwa ni walokole.
Uhusiano wao wa karibu na israel unakuja kwenye kale kakipengele kalikosema,"atakae kulaani nitamlaani"
hako walokole wamekashikilia sana na wako very dedicated kuisupport israel,
wayahudi nao wanawatumia tu,kwani imani ya kiyahudi na kilokole ni vitu viwili mbalimbali na kiukweli mlokole haruhusiwi kuhubiri imani yake nchini israel na ni marufuku kwa mkiristo kukutwa akimrubuni mtoto wa kiyahudi ili aokoke
 
Subiri Mungu akuite mlokole, maana sera yake ni kumuokoa amtakaye yeye.
 
USA mwenyewe katia mpira kwapani Kudaadeki anataka warudi tena mezani,concerning Syria .
Also Russia to build a permanent base in Syria now
 
Kama alivyo Maalim Seif kwa Dr. Shein na Jecha, John Kerry nae sasa anaomba Binsuda akamkamate Putin, ha ha!
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]

Huyo John Kerry atakuwa kanywa viroba tuu.

Anazani levo ya huyo Putin ni sawa kina mugabe, All Bashar na kina Kenyata.
Hahahahahahahahahahahahah

Na atakuja mpaka New York na watashindwa kumkamata zaidi ya kumsindikiza na macho tuu
 
uogomvi wa syria ni hatari mmarekani anasupport wanaoipiga serkl na urusi wanasupport serkl so chochote cha weza kutokea kila mtu hataki kushindwa
Plus mazungumzo ya Russia na USA yamevunjika
 
mkataba waliouvunja ni ule ambao marekani na urusi walikubaliana kuwa mrusi atakuwa akipeleka marekani makombora ya nyuklia yaliyochakaa ili mmarekani akayaharibu na ile uranium isiweze tumika tena katika silaha,pia marekani nao wanapeleka russia nao wanaharibu yale ya wa marekani,

sasa kumbe wakati warusi wanafanya kama walivyokubaliana,mrusi kagundua kumbe marekani yeye mjanja kweli,alikuwa akiyaharibu kwa namna ambayo mda wowote anaweza kureverce process na hiyo uranium ikaweza tumika upya katika mabomu,
ndo maana putin kasitisha huo mpango
Amegunduaje?
Ndo ujue intelligence ya Russia ni noma
 
Russia is very very calm Mkuu
Obama and is alliances NATOs is totally paranoid now as a Syria Russia iran Hezbollah winning da most crucial apocalypse battles of Allepo [emoji40] [emoji40] [emoji40]
Kuna tetesi wanajeshi wa marekani karibia 300 pamoja na waasi wamezungukwa east Allepo ndo sababu ya hizi kelele mara no fly zone mara raia wanakufa mara hospital imepigwa.
 
Obama He's really an idiot. He should learn from Putin - he should try to stay low key and do his thing. But no, he has to shout it from the rooftops,... action speaks louds dan words...
 
Kuna tetesi wanajeshi wa marekani karibia 300 pamoja na waasi wamezungukwa east Allepo ndo sababu ya hizi kelele mara no fly zone mara raia wanakufa mara hospital imepigwa.
USA and NATOs wanavuna walichopandikiza.now,wameshindwa kabisa kupigana na terrorist groups,matokeo yake Putin Iran's Syria Hezbollah they're winning now wameanza fitna zao kama kawaida yao unavyo wajuwa ni mabigwa wa fitna dunia hakunaga,
 
Evi
mkataba waliouvunja ni ule ambao marekani na urusi walikubaliana kuwa mrusi atakuwa akipeleka marekani makombora ya nyuklia yaliyochakaa ili mmarekani akayaharibu na ile uranium isiweze tumika tena katika silaha,pia marekani nao wanapeleka russia nao wanaharibu yale ya wa marekani,

sasa kumbe wakati warusi wanafanya kama walivyokubaliana,mrusi kagundua kumbe marekani yeye mjanja kweli,alikuwa akiyaharibu kwa namna ambayo mda wowote anaweza kureverce process na hiyo uranium ikaweza tumika upya katika mabomu,
ndo maana putin kasitisha huo mpango
give me some evidence please,or at least explain to me mechanism
 
Back
Top Bottom