Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,378
- 33,551
evidence?!!,,,what for?Evi
give me some evidence please,or at least explain to me mechanism
Are you somekind of a judge or something?
evidence?!!,,,what for?Evi
give me some evidence please,or at least explain to me mechanism
It's possible mkuu cos.she da Queen of warsHillary akiwa raisi vita ya tatu inanukia hilo at least naamini
Ha ha Kudaadeki...Wazichape tu wana laana
Imagination tuu hizoo hakunaga kitu Kama hichoo mkuu ktk usawaNa wakizichapa hii dunia si itakuwa Giza tupu.....
Lakini kama angekuwa yule mama Hillaly Clinton ktk utawala nazani ingekuwa habari nyingine hapo SyriaImagination tuu hizoo hakunaga kitu Kama hichoo mkuu ktk usawa
Ni ngumu mnoo
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Wakinukishe tu pumbavu zao, hii dunia imejaa majanga na matatizo kila uchao, umaskini, ufukara na mauaji na maradhi, magonjwa mateso ya kila aina. Kwanza walipuane kwa kutumia nyuklia dunia iishe, naomba na makombora mengine waelekeze huku Afrika, asibaki mtu kwenye hii dunia, kwanza ningekua hapo karibu na hizo nyuklia ndio wangekoma, maana ningeanza mwendo wa kubonyeza bonyeza tu.
We dont need war this time,when they fight young nations are the ones which suffers more,or pays the costIt's possible mkuu cos.she da Queen of wars
Nat like that brother,the matter of fact is putin kavunja mkataba wa kuharibu plutonium kwa ajili ya kujibu mapigo ya kuwekewa vikwazo na US pia us ameongeza hazina ya silaha nchi za Natoevidence?!!,,,what for?
Are you somekind of a judge or something?
Vita havina mpango wowote kabisa ktk lifestyle ya mwanadamu,ni balaa kwenda mbele,binadam anahitaji good times not hardtime bana...Nat like that brother,the matter of fact is putin kavunja mkataba wa kuharibu plutonium kwa ajili ya kujibu mapigo ya kuwekewa vikwazo na US pia us ameongeza hazina ya silaha nchi za Nato
Hillary akiwa rais ataongopa kupimwa mara , yaani kupimwa kama rais, pili kupimwa kama rais mwanamke na tatu kupimwa kama mwanamke wa kwanza kuwa rais wa Marekani. atataka kuonyesha kwa wamarekani kuwa sio dhaufu kibble. atakurupuka sana n.a. Dania itajuta kwa atakachokifanya kama kuwa raisLakini kama angekuwa yule mama Hillaly Clinton ktk utawala nazani ingekuwa habari nyingine hapo Syria
Hillary akiwa rais ataogopa kupimwa mara 3 , yaani kupimwa kama rais, pili kupimwa kama rais mwanamke na tatu kupimwa kama mwanamke wa kwanza kuwa rais wa Marekani. atataka kuonyesha kwa wamarekani kuwa yeye sio dhaifu kivile. atakurupuka sana na Dunia itajuta kwa atakachokifanya kama akiwa raisLakini kama angekuwa yule mama Hillaly Clinton ktk utawala nazani ingekuwa habari nyingine hapo Syria
Namngojea kwa hamu sana, maana huyo Mama Hillaly na yule mjeda Putin kwa jinsi walivyokuwa hawasomeki, sijui nani ataleta ubabe kwa mwenzie......!!!Hillary akiwa rais ataongopa kupimwa mara , yaani kupimwa kama rais, pili kupimwa kama rais mwanamke na tatu kupimwa kama mwanamke wa kwanza kuwa rais wa Marekani. atataka kuonyesha kwa wamarekani kuwa sio dhaufu kibble. atakurupuka sana n.a. Dania itajuta kwa atakachokifanya kama kuwa rais
Mkuu putin ana pumbuu kama ukubwa basi ni size ya sayari ya Jupiter'sNamngojea kwa hamu sana, maana huyo Mama Hillaly na yule mjeda Putin kwa jinsi walivyokuwa hawasomeki, sijui nani ataleta ubabe kwa mwenzie......!!!
Nahisi huyo mama ndio atadhalauliwa zaidi mwenzie.....!!
ni kweli mkuu bila warusi europe yote ingekuwa ugermanyMkuu putin ana pumbuu kama ukubwa basi ni size ya sayari ya Jupiter's
Kwani si basi westerners wanachonga mnoo and medias ndoo silaha zao kubwa
Kwani leo wanajifanya kusahau ati jinsi gani Russian walivyo waokowa hao wanajiita NATOs kutoka ktk mikono ya Dracula Adolf Hitler....