Urusi yajiandaa na Vita ya Tatu ya Dunia (WW3)

Urusi yajiandaa na Vita ya Tatu ya Dunia (WW3)

Daaaah naomba ukipata muda unielezee vizuri na hili...
Obama alihusika vipi ktk mauaji ya Gaddafi hadi aseme anajutia?
Asante.
Nifah dada yangu unaweza ukanishangaa ila sipendi sana kumuongelea Qadafi pamoja na kuwa alikuwa na mapungufu yake mengi ya udikteka na mambo mengine ila hakustahili kufa kwa staili ile,
Obama anajutia uamuzi wake kwa sababu US ina kura yake kubwa yenye nguvu kwenye G8 na G7.. n wao ndio waliidhinisha majeshi yao kwenda kuivamia libya kuwapa nguvu waasi wakiongozwa na huyu mama Clintoni..inauma sana my sister... Libya sasa hivi hapafai kabisa kumechafuka ..nchi haitawaliki..
kuna point moja ambayo USA wanaijua sana ila hawataki tu ama wanaleta ubishi..
ni kuwa you cant import democracy na kuna baadhi ya nchi lazima ziongozwe na madikteta watu wenye nguvu la sivyo hakutakalika..nchi nyingi zamiddle east democrac yao ni kuwa chini ya dikteta kwa mabavu..tangia vitabu vya dini ..
let me stop!
 
in short hakuna vita na Usa na Ru hawatakuja wapigane hata siku moja hizo zote ni ndoto...warusi hawapo tayari kwa vita yoyote japo jeshi lao lipo imara and stand by ..kitu cha kujiuliza ni kuwa usa wapo tayari kupokea mabomu pale new york na washington?
 
swali nzuri sanaaa, natamani nikujibu kwa ufasaha sana ili unielewe,,ila nipo barabarani..
ok..Putin hakuwa rais kipindi kile na rais alikuwa ni medvedev classmet wa putin..kama unakumbuka baada ya mhula wa kukaa madarakani wa Putin kuisha alimuachia rafiki yake akapigga miaka mitano ili asivunje katiba yao baadae ndio P akarudi tena ..sasa wakati wanapiga kura ya kuivamia Libya Putin hakuwepo ila baada ya Russia chini ya Medvedev kukubali kwa kura .Putin alihojiwa akasema.Zachem vaivati livia? yani kwa sababu gani muivamie libya..but its was too late and Grave mistake. basi Qaddafi akauwawa..and by the time Sarkozy alikuwa ufaransa PM na Qadafi alikuwa amem finance sarkozy pesa nyingi sana ya election.imagine..ila sarkz akamfanyia mwenzake roho mbaya...
Ata hivyo Medvedev alichofanya kabla ya US na washirika wake kuivamia Libya walikaa chini wakaelewana mambo kadhaa la kwanza ilikua ni kuhakikisha raia wa Urusi waliokuwepo pale Libya wanaondoka wote kabla ya uvamizi wa majeshi ya ushirika na pia uwekezaji wa Russia Ktk miradi ya nishati pale Libya ilindwe na baada ya vita Russia iendelee kupata fursa za uwekezaji km ilivyokua kwa Gadafi lkn US na washirika wake walitekeleza moja tu la kuwaacha raia wa russia wote watoke ndio wakavamia libya . Kilichotokea tena Russia anajifunza Ktk hilo na mataifa ya Magharibi yalipotaka kuipora Ukrain Mrusi hakutaka itokee km ilivyotokea Libya. Akaivamia hiyo nchi Ktk part ya Cremea na kuikalia na kupiga kura ya kujitenga kutoka Ukrain.

Kitu km hichi ndio kinaendelea pale Syria. Mrusi ana maslahi yake syria hivo hataki yaharibiwe na ndio maana anatumia nguvu zake kuulinda utawala wa Damascus. Hivyo ndio ilivyo ata kwa utawala wa uliopo Iran. Atawalinda zaidi.
 
well said bro!!
ila usa mimi namuona kama mharibifu tu na hana tofauti na mtu anayerusha jiwe au maji juu afu anakaa hapo hapo yanamrudia..kwa sababu issue ya Libya us anawapa silaha wale jamaa wanaompiga Asad na wale jamaa wengine makundi yao yana connection na ISIS, silaha zingine zinachukuliwa na isis nz zinawageukia..
in short sijaelew mission ya usa pale syria zaidi tu ya kuiharibu nchi ya watu then ataodnoka na kuiacha ikiwa kama libya..after some years watakuja tena kutoa matamko kama libya wanavyotoa matamko kuwa walibugi....
 
in short hakuna vita na Usa na Ru hawatakuja wapigane hata siku moja hizo zote ni ndoto...warusi hawapo tayari kwa vita yoyote japo jeshi lao lipo imara and stand by ..kitu cha kujiuliza ni kuwa usa wapo tayari kupokea mabomu pale new york na washington?
Kwa hali ilivyo sasa Russia wako tayari kupigana na yoyote yule ndio maana wameenda pale Syria wazi wazi ila US ndio hataki kupigana na Russia kwasababu yuko pale Syria kwa kujificha sio wazi wazi yani waseme wazi kua US yuko syria kupigana na Asaad. Akisema hivyo lazima wazichape. Lkn anachofanya US anasema anawapiga magaidi kumbe anawasapoti waasi wanaotaka kumuangusha Asaad. Na cha kushangaza hao magaidi kila siku wanapata maguvu na Russia ilipoanza kuwachapa wale Washington ikiwaita magaidi vilio vikaanza kusikika Pentagon.. [emoji23] [emoji23]

Kwahiyo US ikijiweka wazi hapo syria wanachapwa live.
 
US pale Syria in wafundisha hao magaidi na makundi mbali mbali ili wamuangushe Asaad lkn US yuko na hofu kubwa ya kuwapa silaha nzito nzito na zuri kwasababu akiwahofia hao waasi kumcharaza US mwenyewe kwa silaha zake mwenyewe km wale jamaa waluvyouvamia ubalozi wa US pale Benghazi na kumuuwa balozi wa US nchini Libya. Ndio maana unaona waasi wa Syria wanashindwa kusonga mbele. Akiweza US apeleke askari wake live mstari wa mbele wa mapambano au atumie Jeshi la anga kukata mfumo wote wa kujilinda wa Syria kitu ambacho ameshachelewa maana tayari mrusi ameshacover sehemu zote na tayari mrusi anailinda Syria toka ndani ya Urusi yenyewe na ndani ya syria na pia mrusi anataka kurudi kijeshi Cuba na Vietnam hasa kutokana na kile kinachoendelea Syria.

Kwahiyo US ni waharibifu tu mkuu
 
Nikisomaga nyuzi kama hizi uwa naishia kucheka tu..... Huyu anasema teknolojia, yule anasema makombola mara kile...

lakini wote tunasahau hili kuwa VITA NI WATU....
 
Nikisomaga nyuzi kama hizi uwa naishia kucheka tu..... Huyu anasema teknolojia, yule anasema makombola mara kile...

lakini wote tunasahau hili kuwa VITA NI WATU....
Vita ni watu ndio lkn kutokana na maendeleo ya Technology ya silaha watu wanakua salama zaidi labda zitupwe silaha za maangamizi lkn mara nyingi vitu vinavyolengwa Ktk vita ni kuharibu mifumo yote ya kujilinda na kushambulia ili adui aje kukukalia atakavyo. Ukijitia jeuri sn basi unashushiwa mizigo mizito zaidi lkn dunia ya leo mtu aweza kua amekaa kambini kwake Chukwani akarusha kitu akakiongoza mpk Texas akakiamuru kilipue bomu kikashusha mzigo. Hii ni smartwar sio km ile vita ya kumuondoa Nduli watu walikua wanatambaa kutoka Chabakali mpk Lusumo... [emoji23] [emoji23] [emoji23] wenye vitovu vikubwa matumboni mwao walikuwa wa napata shida ndio maana majeshi yetu huku Ktk usaili wao hawataki mtu asiekua na miguu isiyokua na uvungu maana hawawezi tembea sn na wenye vitovu vikubwa.
 
Hizi maniacs western wanaonekana kushawishi kuwa wanaweza kufanya chochote wanachotaka kwa Russia, kwa sababu Russia atarud chini? Hakuna njia kabisa, Wakati Washington ni sigara ambayo iko ktk shimo ardhini na microparticles ya neocons vaporized ni yaliyo kupitia stratosphere, Itakuwa wame chelewa mno kurekebisha mambo .And kama hii ina maana vita na Urusi, itakuwa vita kwa kufungwa kwa boarders ya Syria? nadhani si. Hakika zaidi ya warmongering, hii ni Bloodlust Urusi ni super powers na taifa hiloo kubwa lenye nguvu zaid kwa sasa. limekuwa likitenda haki ktk hi duniani kuliko Marekani na nchi za magharibi
French regime has gone down the drain today, it calls for grounding SAAF, establishing a NFZ and does not point to the fact to split the moderats & al Qaeda, a pathetic performance by the French diplomacy, clearly in bed with terrorism. The resolution is made to be rejected, hopefully Russia, China and other countries reject it and showing the stupidity of this proposal. gays bustards

Sent from my LG-D958 using JamiiForums mobile app
 
Kwa hali ilivyo sasa Russia wako tayari kupigana na yoyote yule ndio maana wameenda pale Syria wazi wazi ila US ndio hataki kupigana na Russia kwasababu yuko pale Syria kwa kujificha sio wazi wazi yani waseme wazi kua US yuko syria kupigana na Asaad. Akisema hivyo lazima wazichape. Lkn anachofanya US anasema anawapiga magaidi kumbe anawasapoti waasi wanaotaka kumuangusha Asaad. Na cha kushangaza hao magaidi kila siku wanapata maguvu na Russia ilipoanza kuwachapa wale Washington ikiwaita magaidi vilio vikaanza kusikika Pentagon.. [emoji23] [emoji23]

Kwahiyo US ikijiweka wazi hapo syria wanachapwa live.
Uko sahihi mkuu, Urusi inafahamu ukubwa wa tatizo la syria na wanawafahamu wote walioko nyuma ya adui kuanzia Uturuki, Saudi hadi Marekani. lakini urusi imejipima na kuamua hiki anachokifanya syria. watu wasiichulie poa urusi
 
Russia alikuja Syria kupigana kwa miezi michache tu ! lakini cha Ajabu takribani mwaka na siku kadhaa anashindwa kuja na Mbinu ya kumaliza vita isiyojulikana itaisha lini ambayo akiendelea kuwa kichwa ngumu itamgharimu mabilioni ya dola na kushindwa kuiendesha, hapo ndio utajua Russia sio mjinga kama hizo propaganda za WW3.
Russia anachoumiza dunia ni silaha za Nyuklia ila sio powerful kama mnavomjadili
Russia anaiumiza dunia kutokana na silaha za nyuklia alizonazo ....hapo hapo unasema sio imara. Uimara nini kwa hatua ya kwanza kama si Weapons....utapigana kama huna siraha?
 
in short hakuna vita na Usa na Ru hawatakuja wapigane hata siku moja hizo zote ni ndoto...warusi hawapo tayari kwa vita yoyote japo jeshi lao lipo imara and stand by ..kitu cha kujiuliza ni kuwa usa wapo tayari kupokea mabomu pale new york na washington?

Hii ndio sababu pekee ambayo inafanya vita hii isitokee. Mmarekani anajua kabisa Mrusi ana uwezo wa kuyamimina ma SATAn pale kwa akina Pdidy na hata kama ataweza kuzuia atazuia machache na mengine yatapita. Sidhani kama yuko tayari yale madude ya 20,000 kiloton of TNT yashuke kwake.

Kwa faida ya wasiojua ni kuwa, yalle mabomu ya hiroshima na Nagasaki yalikuwa na energy ya 15 kiloton of TNT, sasa hivi vichwa vinavyoweza kupakiwa kwenye R-36 (ss-18 Satan by NATO) ni mchanganyiko wa 750 kiloton hadi 20,000 kiloton (Nguvu yake ni mara 1333 ya yale ya nagashima). Hata tamp na ukichaa wake hawezi kurisk hiyo kitu.

So hakuna vita hapo.
 
Back
Top Bottom