herikipaji
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 1,199
- 1,378
Huwa najaribu kufanya ubunifu/kutengeneza kinga ya nuclear bomb. Wataalamu wa Nuclear Physics mpoo..
Haswaaaaa ndio maaana alimsihi Putin wakatishe mashambili ili awapitishie siraha waasi kwa kutumia magari ya misaada.kisha akawafyatulia kombola wanajeshi wa Syria zaidi ya 61 Na kuleta visingizio kuwa in bahati mbaya.Anajua kiwa wakikombia Allepo vita kashindwa mmarekan hapo
Unajifanya mchumi uchwara kuliko hao Russia wenyewe.Ok Hivi Unajua Gharama za Siku Moja Russia inatumia? na bado kuna siku ngapi zimebakia hadi kumalizika hiyo vita unayodai mji mmoja tu umebakia? kumbuka Russia ilikuwa the same kule Afghanstan hadi akakimbia mwenyewe... Vita si lelemama au mchezo wa kuigiza... Kumbuka Tanzania tulihemeshwa Uchumi ukashuka maana miaka ile pesa yetu ilikuwa tofauti ndogo sana na dollar ya kimarekani
Weweeeee mbona Obama alikiri ktk kosa kubwa alilolifanya ni kumuua Gaddafi?mmarekani ajampiga Gaddafi, Gaddaf alipigwa na Wafaransa wa kiisaidiwa na jeshi la NATO
Karibu ulichoongea chote havina fact,Unajifanya mchumi uchwara kuliko hao Russia wenyewe.
Pale hakuna cha gharama wala cha hasara
sababu wale ni washirika wakubwa sana na kuna mikataba wamewekeana ktk suala la ulinzi na kijeshi. Ndio maana usishangae kumuona Mrusi yupo pale.
Na ujue kuwa Urusi ina wananchi wengi sana kuliko huyo Mwenye uchumi mkubwa lakini kwake hajali zaidi ya kulinda maslahi yake.
Hata kama Alikiri but tuliona Marekani akijitoa na kuipisha Nato japo naye ni Mwanachama.... ila Lawama zote kaangushiwa British...Weweeeee mbona Obama alikiri ktk kosa kubwa alilolifanya ni kumuua Gaddafi?
Magu hatabilikiHehehe bashiri Tanzania atakuwa upande wa nan, wa TRUMP au PUTTIN?
Kwahiyo unataka kusema Obama ni mwendawazimu kukiri hadharani kuwa anajutia sana kumuua Gaddafi?Hata kama Alikiri but tuliona Marekani akijitoa na kuipisha Nato japo naye ni Mwanachama.... ila Lawama zote kaangushiwa British...
Nadhani Marekani anajuta kujiondoa kwani alistahili yeye kumuua Gaddafi anyway labda zile jamaa zilifadhiliwa na Marekani so zikawa zinatumika kama Remote controller tu
Siku uliposikia au kuona video ya Sadam uliona Askari wa Marekani au Obama Mwenyewe? wewe ndio unajitia Mjuaji... nadhani umechanganya Gaddafi na Osama pole Sana Hata Mimi Naweza kiri Hadharani nimetembea na wewe huku watu wanatambua sikufahamu na wala hatutakujakufahamiana pengine... usipokubali hili tuanze na evidance Pengine Obama nae Anatafuta Kick tu. Mimi vitu ambavyo naviandika huwa sipendi kubahatishaKwahiyo unataka kusema Obama ni mwendawazimu kukiri hadharani kuwa anajutia sana kumuua Gaddafi?
Hivi jamani kwanini watu mnapenda kujitia wajuaji hata katika matamko yaliyotolewa na watu wengine?
Anyways...afadhali kidogo ktk mistari yako ya mwisho umekiri hilo.
That is economical BLOCUkitaka kujua tuu kuwa Brazil no Pro Russia.....
Kama unaelewa maana ya BRICS hapo ndio wa ubishi, na istoshe wengine wa wanataka kujiunga hapo.....
Wewe dogo umenichekesha sanaNdo nimepata ajira mwaka jana [emoji22][emoji22][emoji22]
Hana upandeMagu hatabiliki
Ulifanya research kuhusu technology gani ya kijeshi na chuo gani?mkuu mimi nilifanya reseach ya chuo bila pesa
Mkuuu mi ntatumiaa hata mchanga mawe yakiishaPutin is very straight and confident, na yupo muwazi sana,anachotaka yeye ni ile balance of power ambayo ilikuwepo zamani iendelee kuwepo ili Marekani asijifanye yeye ndo polisi wa dunia na kunyanyasa watu,Nimependa alivyowaambia hao vibaka wa Marekani kuwa anajifanya hajui kinachoendelea ila Anajua kila kitu na amekuwa akijipanga toka mwanzoni mwa miaka ya 2000,na uchumi wake upo vizuri....Mimi ntatumia hata mawe na ntakuwa upande wa Urusi.