Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,560
- 7,914
Urais wa Samia kwa sasa hauna maana yoyote ile wala faida yoyote zaidi ya utumwa tofauti na alivyo anza ndio ulikuwa urais asione aibu kujiuzuru.
Asione haibu kusema nimechoka watanzania walinikataa nimelazimisha lakini nimechoka hata miezi minne haijaisha lazima aseme nimeacha mauwaji na utekaji wa maiti za watanzania.
Sasa anaishi kama kasongo yeye anakimbia kimbia kisha anaingia kwenye vishimo kujificha yeye sio kasongo ni binadamu.