Upuuzi wa Joyce Kiria kuhusu Mbasha

Upuuzi wa Joyce Kiria kuhusu Mbasha

Status
Not open for further replies.
Mahakama ndo itamaliza tatizo kwa sasa sijui nani mkweli na nani muongo ......nipo katikati
 
Hata hivo Joyce unajitahidi kutoka kuwa mfanyakazi wa kazi za ndani hadi kuwa mwandishi wa habari, ni hatua kubwa sana!!!

Lakini vilevile sitegemei uwe na mchango wa mawazo wa maana zaidi ya huo ulioutoa!!!

Hivi tatizo ni kuwa alikuwa mfanyakazi wa ndani au hoja aliyoitoa? Hivi kuwa house girl ni kazi duni sana? Au kufanya kazi za ndani ni nini? Mimi naona ni kazi njema zaidi kuliko kuwa bar maid, kuliko kubweteka na kukaa bila kazi. Mfanyakazi wa ndani ni mtu muhimu sana kwenye familia, yeye ni mlezi muhimu sana kwa watoto na familia.
 
Atakuwa kainama kainua masaaabuuurrri yake akiwa mtupu akaanza kufikiri kanjanja namba moja anatetea haki za kijinsia akiamini kwamba mtua kiongelea jinsia anaongelea mwanamke she is a mere fool
 
Atakuwa kainama kainua masaaabuuurrri yake akiwa mtupu akaanza kufikiri kanjanja namba moja anatetea haki za kijinsia akiamini kwamba mtua kiongelea jinsia anaongelea mwanamke she is a mere fool

Duh! jamaa umetisha! umenikumbusha kauli ya meya wa jiji dhidi ya wabunge wa dsm.
 
Ni katika mtandao wake wa facebook anahisi mr anapenda beki tatu
 
Mmh dodoma imefunguliwa
Nilijua jk pekee
 
mdogo wangu joyce umesomea wapi uandishi wa habari? Bila shaka utanijibu RCT ulifundishwa na mwalimu gan somo la news writing and reporting? unajua maana ya news value? kwahiyo Flora na mume ni NEWS kwa sasa kwa mujibu wa news value. Hakika inauma kwa mwandishi kushindwa kujua maana ya news & news value? Dada yangu joyce nenda shule popote pale shule ni muhimu. Hujui maana ya kaz ya utangazaji na uandishi wa habari!!! Narudia tena Flora na mume wake ni news kwa sasa. RCT nimefundisha lkn output yangu ni competent not like this!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom