Upuuzi wa Joyce Kiria kuhusu Mbasha

Upuuzi wa Joyce Kiria kuhusu Mbasha

Status
Not open for further replies.
Gwamahaka,ningekupa like kama nisingetumia simu.
Watu huwa wanadharau Sana kazi za watu kwani yeye mwenyewe utakuta kaponea kulelewa na hgirl
 
Binafsi sijawahi kumsapoti Joyce kiria.,Ni moja ya watu wanaoamini katika mawazo yao na kulazimisha kila mtu akubaliane nao.Hana tofauti na Rafiki yangu Kibonde
 
Hata hivo Joyce unajitahidi kutoka kuwa mfanyakazi wa kazi za ndani hadi kuwa mwandishi wa habari, ni hatua kubwa sana!!!

Lakini vilevile sitegemei uwe na mchango wa mawazo wa maana zaidi ya huo ulioutoa!!!

yote maisha tu,mbona humshangai George simbachawene toka kuwa kondakta wa urafiki bus Leo naibu waziri ardhi au kanjanja nkamia Leo wazir wako kudadako!
 
Gwamahaka,ningekupa like kama nisingetumia simu.
Watu huwa wanadharau Sana kazi za watu kwani yeye mwenyewe utakuta kaponea kulelewa na hgirl

Nilikuwa nataka kujua mtu anaeongea uharo kama ule huwa ana-background gani.., sasa nikahic kama napata majibu..., ila nimeuliza tu..
 
Baada ya kupitia comment flani flani humu nimeanza kupata picha kwamba Joyce Kiria alikuwa house girl.., hivi kuna ukweli juu ya hili au...?!!!

Naona kama mnaishiwa vya kupost sasa!! Nini hii sasa?

Kama huna chakupost soma vya wenzako tu..!

Nonsense
 
Housegirl kaishia hapo fikra zake, mpigieni makofi tu yanatosha
 
Jamani hili suala ni la undani zaidi.
Isijekuwa ni issue imepangwa.
Ukaja kusikia Mbasha amefungwa kifungo cha maisha halafu baada ya Mwaka ukasikia Flora ameolewa kimya kimya
Maana siku hizi watu wataka kuchukua mzigo wana mbinu nyingi sana.
 
Hembu huu uzi ufutwe,yaani uzi wa juu unachangia hili hili kisha mtu anatoka anaanzisha lake.
Kwani sio kazi.
 
Ndugu zangu, si vyema kumtaja mtu jukwaani ama kumshambulia mtu direct kusiko na sababu za kutosha, Joyce ni dada ninaemheshmu kwa jinsi alivyosimama kidete kutetea haki za wanawake pia ni kamanda anaependa haki kutendeka, ki ukweli namkubali sana. Hi leo ameniacha solemba, asubuhi aliweka fb post ya kumbukumbu ya Mh Kileo(kamanda wa ukweli) alipokuwa amekamatwa kwa kosa feki la ugaidi, alionesha ni kwa jinsi gani anavompenda mume wake hasa hasa kipindi hicho kigumu, kwa hili nilimsifu sana tena namimi ilikuwa ni siku ya kumbukumbu kwani kilichokuwa kimetendeka haikuwa haki(kulingana na hukumu ya mahakama). Kibaya sasa juu ya huyu dada ni pale alipokosa utu, ubinadamu, na hata kuingilia mahakama juu ya kesi ya Mr&Mrs Mbasha, alivyoandika fb aliandika ktk namna ya kuonesha kuwa wanaume si watu, na wanastahli kufungwa maisha, kibaya zaidi ameandka as if yeye anaijua zaidi ndoa ya Flora. Je, anajisikiaje mume wa mwenzake kufungwa jela? Je, amepoteza kumbukumbu ya kukamatwa kwa mume wake kunavouma? Je, amejuaje kuwa Mbasha ndie mwenye kosa? Je, ni kweli ana lengo la haki sawa ama ukandamizi kwa wanaume? Wana jf simu yangu ndogo kwani ningepest chote alichoandka, My take tusipende kuingilia ndoa za watu hasa hasa kwa wenye hathi kubwa kama yake!
 
Vilevile ana mafaili yamejaa talaka na she is full of inferiority complex ni mttu ambae hawajahi kulielewa azimio la beijing ila anadandia ajenda ya gender kama anavyodandia ya tindikali iq yake kama ya mbuzi
 
Baada ya kupitia comment flani flani humu nimeanza kupata picha kwamba Joyce Kiria alikuwa house girl.., hivi kuna ukweli juu ya hili au...?!!!

Utakuwa ni mkimbizi kutoka Somalia uliyeingia nchini kupitia panya road!
 
Naona kama mnaishiwa vya kupost sasa!! Nini hii sasa?

Kama huna chakupost soma vya wenzako tu..!

Nonsense

Unajua kuna wakati nilimsikia huyu dada akisapoti pyramid scheme ya Telex free inayofanana sana na pyramid scheme ya Foreverliving..., sasa nikawa najiuliza.., hivi huyu anawezaje kupigia debe wizi wa mchana kabisa.., nikaja kuhisi atakuwa either degree yake ya uandishi wa habari haijamsaidia au either amerogwa! but as it turns out ni house girl...!! (Nadhani ni dara la 7)..,so now nimeelewa tatizo lilipo..., by the way utapeli wa telexfree umeshapigwa stop.
 
Aaah,huu upuuz achana nao.
Tukilala MBASHA,TUKIHEMA MBASHA,TUKILA MBASHA,EEEH
 
Vilevile ana mafaili yamejaa talaka na she is full of inferiority complex ni mttu ambae hawajahi kulielewa azimio la beijing ila anadandia ajenda ya gender kama anavyodandia ya tindikali iq yake kama ya mbuzi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom