Upuuzi wa Joyce Kiria kuhusu Mbasha

Upuuzi wa Joyce Kiria kuhusu Mbasha

Status
Not open for further replies.
Ndugu zangu, si vyema kumtaja mtu jukwaani ama kumshambulia mtu direct kusiko na sababu za kutosha, Joyce ni dada ninaemheshmu kwa jinsi alivyosimama kidete kutetea haki za wanawake pia ni kamanda anaependa haki kutendeka, ki ukweli namkubali sana. Hi leo ameniacha solemba, asubuhi aliweka fb post ya kumbukumbu ya Mh Kileo(kamanda wa ukweli) alipokuwa amekamatwa kwa kosa feki la ugaidi, alionesha ni kwa jinsi gani anavompenda mume wake hasa hasa kipindi hicho kigumu, kwa hili nilimsifu sana tena namimi ilikuwa ni siku ya kumbukumbu kwani kilichokuwa kimetendeka haikuwa haki(kulingana na hukumu ya mahakama). Kibaya sasa juu ya huyu dada ni pale alipokosa utu, ubinadamu, na hata kuingilia mahakama juu ya kesi ya Mr&Mrs Mbasha, alivyoandika fb aliandika ktk namna ya kuonesha kuwa wanaume si watu, na wanastahli kufungwa maisha, kibaya zaidi ameandka as if yeye anaijua zaidi ndoa ya Flora. Je, anajisikiaje mume wa mwenzake kufungwa jela? Je, amepoteza kumbukumbu ya kukamatwa kwa mume wake kunavouma? Je, amejuaje kuwa Mbasha ndie mwenye kosa? Je, ni kweli ana lengo la haki sawa ama ukandamizi kwa wanaume? Wana jf simu yangu ndogo kwani ningepest chote alichoandka, My take tusipende kuingilia ndoa za watu hasa hasa kwa wenye hathi kubwa kama yake!

Uliyoandika yanatosha usipest utamshushia hathi Kiria.
 
Your statement is too general' it's abusive kwahawa wadada!! The fact ni kwamba tunaowaita mahouse G' ni kutokana na hali ya maisha ndo inapelekea wao kufanya hiyo kazi.

Ukijaribu kufatilia wanakotokea utagundua yafuatayo;

1) walifaulu vizuri masomo yao darasa lasaba' wakakosa msaada wa kuendelea na shule.

2) walianza sekondari wakashindwa kuhitimu kutokana na kukosekana kwa pesa!

3) waliondoka kijijini kwalengo lakuja mjini kutafuta maisha' sasa mjini pagum watayaanzaje maisha basi wanaamua kutafuta kazi yoyote for a while!

4) NK ....,

NB; Wengi tupo tulipo sasa kwa malezi ya hao wadada' wengine mama zetu wametokea huko na walifanya kazi hiyo leo ni mama zetu.

Lakini ikumbukwe kwamba huo ndio mgawanyo wa kazi' haiwezekani wote tukafanya kazi moja!! Na tunategemeana sana' vinginevyo mambo hayataenda. So tuheshimu kazi yoyote! Ujinga wa mtu mmoja usiichafue jamii nzima.

Sasa mkuu..,hayo maelezo yako mazuri namna hiyoo.., yanamuondolea vip J.K Mkongo hiyo status ya u-house girl..?!
 
Issue sio kuwa yeye ni chadema ama ccm. Mtu yeyote mwenye utu atahakikisha anaweza kumpa nafasi ya future msaidizi wake. Binafsi kila maid ninaekaa nae lazima nijadiliane nae mambo ya shule na ikiwezekana hata digirii nitampatia!

So, Joyce Kiria hajawahi kuficha. Alikuwa hausigelo, na amepigana na vikwazo vingi ikiwemo mitazamo hasi na kufika hapo alipo. Amekubali kuwa mfano kwa mahausigelo wote kuwa unaweza kubadilisha future yako. Badala ya kukaa na mahausiboy wa jirani fooling around, jnajiongeza unapata mume wa maana.

zaidi mie namfurahia henry kileo, mwanaume wa haja na mwenye career ya siasa lakini anamsupport mkewe na anamsaidia kujiongeza. Tunahitaji watu wengi zaidi kama nyie!
Ukitaka kuuonekana mtu wa hovyo humu jf we mzungumzie kada wa cdm,na ukitaka upewe support na wengi we kizungumzie vibaya chama tofaut na cdm
 
Last edited by a moderator:
Baada ya kupitia comment flani flani humu nimeanza kupata picha kwamba Joyce Kiria alikuwa house girl.., hivi kuna ukweli juu ya hili au...?!!!

hiki sio kitu cha ajabu kabisa,godwin gondwe alikuwa msafisha vyoo wa bugando hosp kama sikosei but leo yuko wapi?
 
House girl ndio anaonekana bonge la mtangazaji. Niliona alivyoingizwa kingi na yule mdada wa Babati.
 
Huyu Mugro, unategemea ataongea nini zaidi. She so stupid, blabber mouth ....................! She real makes sick
 
Ushamba na ujinga mbaya sana.. so akiwa hg kuna shida..
 
Tz tuna tatizo la msingi. Eti huyu house anaandika upuuzu tuna tuna tunausoma. Nimepost nami najiona mpuuzi sana. Imebidi tu
 
maelezo yote haya ya joyce kiria je yatakuwa na maana ikiwa mahakama itabaini kuwa mbasha hana hatia?????
 
usilazimishe unachoamini wewe kila mwanamke afuate. usituharibie wake zetu kama umezoea kubadili wanaume kila mara kutokana na kujifanya unajua sana haki za wanawake ni wewe. kaa kimya kama huna la kuongea.
 
Tz tuna tatizo la msingi. Eti huyu house anaandika upuuzu tuna tuna tunausoma. Nimepost nami najiona mpuuzi sana. Imebidi tu

Kuwa house girl siyo dhambi. Wako housegirls ni university material. Isipokuwa ni opportunity ilikosekana. Nina ushahidi wa housegirls walioendelezwa kielimu baadaye wakawa watu wakubwa. Kwa hiyo Joyce asihukumiwe kwa kazi aliyofanya zama hizo. Je umejiuliza amefikaje kwenye nafasi aliyo nayo?
 
Kwa hiyo Joyce Kiria ana uhakika 100% Mbasha amebaka? ----- sana huyu mwanamke. Nadhani hajitambui


Katika hata huyu Joyce Kiria kapotoka sana. Hakuna mwenye ushahidi wa kumnyooshea kidole Flora au Mumu wake. Kuingiza uanaharakati katika mambo ambayo hayajathibishwa pasi na shaka ni jambo la hatari sana.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom