Wala hakuna shida.., kwani mi nimeulizaje.., swala lilikuwa ni kujaribu kutafuta sababu ya uharo anaofanyaga..., sasa shida iko wapi hapo..???!
shida ipo sana! mbona mwigulu nchemba anaongea uharo na ana masters? being a house girl has nothing to do with one's understanding capacity!