endelea kusikitika kwani ni mara ya kwanza wewe kusikitika??ndugu zangu, si vyema kumtaja mtu jukwaani ama kumshambulia mtu direct kusiko na sababu za kutosha, joyce ni dada ninaemheshmu kwa jinsi alivyosimama kidete kutetea haki za wanawake pia ni kamanda anaependa haki kutendeka, ki ukweli namkubali sana. Hi leo ameniacha solemba, asubuhi aliweka fb post ya kumbukumbu ya mh kileo(kamanda wa ukweli) alipokuwa amekamatwa kwa kosa feki la ugaidi, alionesha ni kwa jinsi gani anavompenda mume wake hasa hasa kipindi hicho kigumu, kwa hili nilimsifu sana tena namimi ilikuwa ni siku ya kumbukumbu kwani kilichokuwa kimetendeka haikuwa haki(kulingana na hukumu ya mahakama). Kibaya sasa juu ya huyu dada ni pale alipokosa utu, ubinadamu, na hata kuingilia mahakama juu ya kesi ya mr&mrs mbasha, alivyoandika fb aliandika ktk namna ya kuonesha kuwa wanaume si watu, na wanastahli kufungwa maisha, kibaya zaidi ameandka as if yeye anaijua zaidi ndoa ya flora. Je, anajisikiaje mume wa mwenzake kufungwa jela? Je, amepoteza kumbukumbu ya kukamatwa kwa mume wake kunavouma? Je, amejuaje kuwa mbasha ndie mwenye kosa? Je, ni kweli ana lengo la haki sawa ama ukandamizi kwa wanaume? Wana jf simu yangu ndogo kwani ningepest chote alichoandka, my take tusipende kuingilia ndoa za watu hasa hasa kwa wenye hathi kubwa kama yake!
magezeti ya udaku yatakuponza sana wewe mtu mzima hatishiwi nyauHaya yote Gwajima kasababisha..
Joyce kiria ameweka wazi kuhusu sakata la mbasha na mkewe na kutanabaisha kuwa ni uonevu kumlaumu flora kwa sakata hili, kwa upande wangu mimi naona ni ukosefu wa akili kumlaumu flora kwakua kesi iliyopo kortini ni kuhusu ubakaji wa emanuel na wala si flora, aliefungua kesi si flora ni aliebakwa. sasa wajingawajinga wanakuja na kuponda ponda mara oh flora msaliti, chamuhimu ni mahakama ifanye kazi yake na vipimo vichukuliwe kama amebaka au laa, tunajua sayansi haitodanganya. baadhi ya watu humu ni wazusha mambo na nashangaa sana unazusha udaku hali ukijua haimsaidii mtuhumiwa zaidi ya kumdhalilisha.
UKIWA UNAMLAUMU FLORA JIULIZE.
yeye ndio kafungua kesi au laa?
mbasha alibaka au hakubaka?
je simu aliyompigia dada aliebakwa kumuomba msamaha ni kweli alipiga au hakupiga?
The bold
ndugu zangu, si vyema kumtaja mtu jukwaani ama kumshambulia mtu direct kusiko na sababu za kutosha, joyce ni dada ninaemheshmu kwa jinsi alivyosimama kidete kutetea haki za wanawake pia ni kamanda anaependa haki kutendeka, ki ukweli namkubali sana. Hi leo ameniacha solemba, asubuhi aliweka fb post ya kumbukumbu ya mh kileo(kamanda wa ukweli) alipokuwa amekamatwa kwa kosa feki la ugaidi, alionesha ni kwa jinsi gani anavompenda mume wake hasa hasa kipindi hicho kigumu, kwa hili nilimsifu sana tena namimi ilikuwa ni siku ya kumbukumbu kwani kilichokuwa kimetendeka haikuwa haki(kulingana na hukumu ya mahakama). Kibaya sasa juu ya huyu dada ni pale alipokosa utu, ubinadamu, na hata kuingilia mahakama juu ya kesi ya mr&mrs mbasha, alivyoandika fb aliandika ktk namna ya kuonesha kuwa wanaume si watu, na wanastahli kufungwa maisha, kibaya zaidi ameandka as if yeye anaijua zaidi ndoa ya flora. Je, anajisikiaje mume wa mwenzake kufungwa jela? Je, amepoteza kumbukumbu ya kukamatwa kwa mume wake kunavouma? Je, amejuaje kuwa mbasha ndie mwenye kosa? Je, ni kweli ana lengo la haki sawa ama ukandamizi kwa wanaume? Wana jf simu yangu ndogo kwani ningepest chote alichoandka, my take tusipende kuingilia ndoa za watu hasa hasa kwa wenye hathi kubwa kama yake!
endelea kusikitika kwani ni mara ya kwanza wewe kusikitika??
wakuu ngapi ngapi mpaka muda huu????????????????????
Naongea kwa ushahidi kabisa Joyce Kiria alikuwa ni changudoa cos niliwahi kuishi nae nyumba moja pale mitaa ya nyuma na mango garden chumbani kwake kila siku alikuwa akilala na wanaume tofauti binafsi nawakumbuka Ray na Ben Kinyaiya.Kuna siku alimuibia mteja wake wakaja askari kusachi chumba na Hugo baba ikawa aibu kwani mambo engine yaliyokutwa mule chumbani hadi leo nikimuangalia yule Dada siamini.Na alihama siku iliyofuata na kodi alirudishiwa.
Mkuu..., mbona mi sikuelewi..?!!MBONA KWENYE ILE THREAD YAEMMANUEL MBASHA HUKUHOJI??
kWA SABABU NI CCM MWENZAKO??
Ondoa ujinga huu hapa. Kwa kifupi FM sio wife material. Mwanamke -------- huivunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe. Mwambie huyo shosti wako amwalike kwenye "wanawake live show" auze sura!
Naongea kwa ushahidi kabisa Joyce Kiria alikuwa ni changudoa cos niliwahi kuishi nae nyumba moja pale mitaa ya nyuma na mango garden chumbani kwake kila siku alikuwa akilala na wanaume tofauti binafsi nawakumbuka Ray na Ben Kinyaiya.Kuna siku alimuibia mteja wake wakaja askari kusachi chumba na Hugo baba ikawa aibu kwani mambo engine yaliyokutwa mule chumbani hadi leo nikimuangalia yule Dada siamini.Na alihama siku iliyofuata na kodi alirudishiwa.
ndo tatizo la mkioana wote wana harakati hata kwenye majukumu ya kifamilia utaletewa vifungu vya sheriaHuyu kiria nae kwa kushadadia yasiyo mhusu sijuwi anakuaje anaacha kwenda kuwafichua wanaolazimishwa kupigwa 0713 na waume zao rolya huko anabaki kuropoka tu mrs chadema