Upuuzi wa Joyce Kiria kuhusu Mbasha

Upuuzi wa Joyce Kiria kuhusu Mbasha

Status
Not open for further replies.

Mkare_wenu

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2011
Posts
1,714
Reaction score
448
Huu ndo upumbavu ulioandikwa na Joyce Kiria facebook saa 1 lililopita;-


RORA MBASHA POLE SANA...
NIJUAVYO MIMI NI KWAMBA, WAANDISHI WA HABARI NA VYOMBO VYA HABARI TUNAONGOZWA NA KANUNI NA SHERIA! NA KAZI KUBWA NI KUIELIMISHA JAMII BADALA YA KUKANDAMIZA NA KUPOTOSHA JAMII. KWA
JINSI HIYO NI LAZIMA IFIKE MAHALI TUONE KWAMBA KUMDHALILISHA MTU ,PAMOJA NA KUINGILIA UHURU WA MTU BINAFSI NI MAKOSA!

Kinachoe delea sasa ivi juu ya Flora&Mbasa ni kwamba tunaingilia maisha binafsi ya mbasha na mbaya zaidi tunamdhalilisha ''MWANAMKE'' Flora..kwa sasa tunauza sana magazeti na tunapata trafiki kubwa kwenye blogs zetu ili kujiingizia kipato..kwa Kumdhalilisha Flora ndicho kinachoendelea...

Kama tumeamua kuchukua jukumu la Mahakama sawa. Maana ndicho tunachokifanya kila kona kujaribu kutoa hukumu ya kesi hii! Mbaya zaidi 99% tunamuhukumu Flora eti kwa misemo kwamba MWANAMKE -------- hubomoa nyumba yake mwenyewe!

Ni lini huu mfumo dume ndani yetu utaondoka? Kosa linalomkabili mume wa Flora liko wazi wazi, na vitendo hivyo vinafanyika sana sana ndani ya nyumba zetu. Ni vitendo vya kumdhalilisha Mwanamke sana na vinatuumiza sana kina mama wengi. Hakuna mwanamke atakaependa kusikia mumewe kamdhalilisha kwa kulala na mwanamke mwingine. Tena mdogo wake??! Tena kwa kubaka! Hakunaaaaa! Hayupo huyo mwanamke...

Nikijaribu kuvaa viatu vya Flora ni vizito sana. Wala sijui ningefanya nini kwa maumivu ninayohisi....

Kinachoniumiza ni kwamba jamii imeacha HOJA ya msingi ambayo ni kitendo alichofanya Mbasha na ndicho kimempandisha kizimbani Mbasha!! na badala yake jamii kuanza kumuona Flora ni mkosefu kuliko aliyebaka..

Kwa maneno mengine ni kwamba tunabariki alichokifanya mbasha, na kwamba Mwanamke yeyote asichukue hatua yeyote endapo Mume atabaka au kutoka nje ya Ndoa yake.

Yaani mnatuambia wanawake wa nchi hii kwamba, ukimfumania mumeo au akibaka we umsamehe kimya kimya na maisha yaendelee! Mpaka sasa jamii haioni kwamba Mbasha amefanya kosa kabisa! Kana kwamba kama Mbasha hatakiwi kukemewa bali asifiwe mwanzo mwisho na zawadi apewe kwa kitendo hicho kama atakutwa na hatia kwamba amefanya...

yaan kwenye jamii yetu inaonekana mwanaume kua na mahusiano nje ya nyumba yake ni Sifa tena anapewa majina mazuri ya urijali! lakini kwa mwanamke ni umalaya na Ukahaba...

Hapo ndo napataga wazimu wa kichaga aiseee... Inaniumiza sana na kuna siku nilikaa nikaamua kuvunja ukimya juu ya hili jambo la michepuko tena nikawataja wazi wazi watu tunaowategemea wawe mifano bora lakini wao ndo waharibifu wakubwa! Cha ajabu jamii iliinuka juu yangu ila ukweli ulisimama na unabaki palepale kwamba mtu anapotoka nje ya Ndoa yake au nyumba yake ni MZINZI na anatakiwa akemewe bila kuangalia Hadhi yake.

kinachofanyika sasa kwenye jamii ni UNYANYASAJI DHIDI YA MWANAMKE NA UKATILI WA KIJINSIA pale tunapowaona wanaume WAzinzi ni marijali na Wanawake ndo Malaya na makahaba...

mbaya zaidi kuna baadhi ya wanawake wenzetu wanaushadadia huu MFUMO DUME kiasi kwamba wanakua mstari wa mbele kumnyooshea Flora vidole huku wakisahau kua mwenzio akinyolewa na ww zako tia maji..WANAWAKE TUSIMAME IMARA KUTOKOMEZA UKATILI NA MFUMO DUME kwenye jamii yetu...Kama kuna mwanamke atakaesherehekea mume wake akimbaka mdogo wake basi huyo amnyooshee kidole Flora...

Nasisitiza! ni kwa nn mwanaume husifiwa kwa uzinzi Na jamii inatetea???! HUU NI MFUMO DUME na ni Ukatili dhidi ya Wanawake...

MIMI JOYCE KIRIA NASEMA, MAADILI YAZINGATIWE NA WATU WOTE BILA KUJALI WADHIFA WA MTU. NA ENDAPO MTU AKIKENGEUKA BASI JAMII IMKEMEE VIKALI. BADALA YA KUTUKUZA UZINZI KWA KUANGALIA STATUS ZA WATU NA KUKANDAMIZA WANAWAKE....

kwa pamoja tunaweza kutokomeza ukatili huu.....

NOTE: WAKINA MAMA TUPIGE MAGOTI TUMLILIE MUNGU ASEME NA HAWA WATU WANAOTAWALIWA NA PEPO MCHAFU WA UZINZI..IN THE MIGHT NAME JESUS I PRAY....
 
wachungaji wengi na watu wa makanisa watageuka kuni siku ya hukumu//
 
Joyce Kiria mpaka leo ana ndoa ngapi??? Housegirl anabaki kuwa housegirl tu. Ndio akili yake ilipoishia.
 
joyce kiria anaweza kutuambia kwanini alitemwa na dj nelly? kwanin aliachwa na lema? akitoa majibu ndiyo tuanzie hapo
 
1.) MBASHA ni RIJALI KWA KUBAKA (if Alibaka, japo si sahihi kubaka)
2.) FLORA ni MALAYA kwa kugongwa na GWAJIMA..,
am out...!
Teh teh teh mbavu zangu mie teh teh em ngoja nipate viroba vyangu nilale you made my day!!
 
Kana kiherehere sana haka kamwanamke!!!nakachukia kama nn sijui!!
Kenyewe kanamhukumu Mbasha kama nani?mahakama yenyewe haijatoa hukumu kenyewe tayari kana laani.
Kutafta kiki kwenye matatizo ya mwingine,mxxuuuuuuuuuu.....
 
Hata hivo Joyce unajitahidi kutoka kuwa mfanyakazi wa kazi za ndani hadi kuwa mwandishi wa habari, ni hatua kubwa sana!!!

Lakini vilevile sitegemei uwe na mchango wa mawazo wa maana zaidi ya huo ulioutoa!!!
 
Mbasha kama kweli alibaka ni wa ajabu sana! Akina Aisha, Mwanaidi, Maria, Ashma wanaojiuza hajawaona? AFUNGWE TU
 
Huyu mwanamke saa nyingine anajitoa ufahamu nimeamini sasa!
 
joyce kiria mpaka leo ana ndoa ngapi??? Housegirl anabaki kuwa housegirl tu. Ndio akili yake ilipoishia.

kweli kaka hata vipindi vyake vinaboa nafikiri darasa la saba d linamuathiri house girl ni house girl hana hata uwezo wa kuongea la maana just a fool
 
Kana kiherehere sana haka kamwanamke!!!nakachukia kama nn sijui!!
Kenyewe kanamhukumu Mbasha kama nani?mahakama yenyewe haijatoa hukumu kenyewe tayari kana laani.
Kutafta kiki kwenye matatizo ya mwingine,mxxuuuuuuuuuu.....

sasa ukimchukia yeye inamsaidia nini!?
 
Baada ya kupitia comment flani flani humu nimeanza kupata picha kwamba Joyce Kiria alikuwa house girl.., hivi kuna ukweli juu ya hili au...?!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom