Upuuzi wa Joyce Kiria kuhusu Mbasha

Upuuzi wa Joyce Kiria kuhusu Mbasha

Status
Not open for further replies.
Unajua kuna wakati nilimsikia huyu dada akisapoti pyramid scheme ya Telex free inayofanana sana na pyramid scheme ya Foreverliving..., sasa nikawa najiuliza.., hivi huyu anawezaje kupigia debe wizi wa mchana kabisa.., nikaja kuhisi atakuwa either degree yake ya uandishi wa habari haijamsaidia au either amerogwa! but as it turns out ni house girl...!! (Nadhani ni dara la 7)..,so now nimeelewa tatizo lilipo..., by the way utapeli wa telexfree umeshapigwa stop.

We Kama Hufahamu Joyce Kiria Tulia. Hana Degree Wa Diploma Yeyote.
 
Ukitaka kuuonekana mtu wa hovyo humu jf we mzungumzie kada wa cdm,na ukitaka upewe support na wengi we kizungumzie vibaya chama tofaut na cdm
Unajua kuna wakati nilimsikia huyu dada akisapoti pyramid scheme ya Telex free inayofanana sana na pyramid scheme ya Foreverliving..., sasa nikawa najiuliza.., hivi huyu anawezaje kupigia debe wizi wa mchana kabisa.., nikaja kuhisi atakuwa either degree yake ya uandishi wa habari haijamsaidia au either amerogwa! but as it turns out ni house girl...!! (Nadhani ni dara la 7)..,so now nimeelewa tatizo lilipo..., by the way utapeli wa telexfree umeshapigwa stop.
 
Vilevile ana mafaili yamejaa talaka na she is full of inferiority complex ni mttu ambae hawajahi kulielewa azimio la beijing ila anadandia ajenda ya gender kama anavyodandia ya tindikali iq yake kama ya mbuzi

Hapa mkuu, mimi hapana.........!
 
Kwa hiyo Joyce Kiria ana uhakika 100% Mbasha amebaka? ----- sana huyu mwanamke. Nadhani hajitambui

Huyu mama bila shaka katika maisha yake aliwahi kubakwa, hivyo akisikia mtu kabaka mambo ndiyo hayo ya kuamini kuwa kweli mtu huyo kabaka. Nakubali kuwa kweli kaandika ujinga.

Siku zote jamii huwafahamu vizuri watu wake kiasi kwamba kitu kikitendwa na mtu anayefahamika matendo yake, hata kama mtu huyo hajaonwa; jamii itamtaja mtu huyo maana matendo yake yanajulikana.

Hivyo, kama jamii inamtetea Mbasha; basi tendo hilo hajalitenda.

Kweli wengi walioko jela si kwamba ni wakosaji. Mbasha kama hujatenda hayo Mungu akusimamie na si mahakama.
 
Kumbe hakusoma huyu? Sijui anafikiri atapata umaarufu kwa kuandika uchafu huo. Ndivyo waivyo wanawake wengi siku hizi kazi yao kubwa ni kupost utumbo kwenye facebook zao. Ukimkosea anakuchukia na anaweza hata akakublock. Wao wanataka kusifiwa tu. Siku hizi ukitaka kuoa ndugu yangu fungua kwanza wall ya mwanamke kisha angalia anachopost kama ni utumbo achana naye. Kwa maneno hayo nadhani kama ni mwanamme basi anahasara. Nitamtafuta nimwaad kisha niwe namkosoa live.
 
Joyce kiria ameweka wazi kuhusu sakata la mbasha na mkewe na kutanabaisha kuwa ni uonevu kumlaumu flora kwa sakata hili, kwa upande wangu mimi naona ni ukosefu wa akili kumlaumu flora kwakua kesi iliyopo kortini ni kuhusu ubakaji wa emanuel na wala si flora, aliefungua kesi si flora ni aliebakwa. sasa wajingawajinga wanakuja na kuponda ponda mara oh flora msaliti, chamuhimu ni mahakama ifanye kazi yake na vipimo vichukuliwe kama amebaka au laa, tunajua sayansi haitodanganya. baadhi ya watu humu ni wazusha mambo na nashangaa sana unazusha udaku hali ukijua haimsaidii mtuhumiwa zaidi ya kumdhalilisha.
UKIWA UNAMLAUMU FLORA JIULIZE.
yeye ndio kafungua kesi au laa?

mbasha alibaka au hakubaka?

je simu aliyompigia dada aliebakwa kumuomba msamaha ni kweli alipiga au hakupiga?

The bold
 
Last edited by a moderator:
Kwa mfano kaandika hivi: Cristina anazunguka Dunia kwa Baiskel kwa nia ya kutokomeza ukatili wa Kijinsia kwa Wanawake. Alipofika Tanzania na kuelezea azma yake hiyo aliambiwa amtafute Joyce Kiria...

sijaelewa maana yake ninini hasa? inawezekana yeye anajiona kama ni mtu maarufu sana. sijui ana nini cha muhimu
 
Alikuwepo mama Terri bwana siku hizi sijui yuko wapi, sembuse yeye?
 
Katika ukurasa wake wa Facebook, mwana dada Joyce Kiria ameonekana akijaribu kumtetea Mwimbaji Flora Mbasha (Mwanamke mwenzie) kwa kile alichodai kuwa watanzania hasa vyombo vya habari kumhukumu dada huyo. Kiria amerejea habari iliyotolewa kwenye gazeti moja la Udaku nchini linalochapishwa na Kampuni ya Global Publishers na kunukuu kuwa habari iliyotolewa haikuwa inamtendea haki Mwanamke mwenzake huyo. Aidha, pamoja na kumtetea Flora Mbasha, Kiria ametoa Lugha ambazo wasomaji wa ukurasa huo wengi wao wamemponda na kumwona hajui alichoandika na kuingilia waziwazi masuala yaliyopo Mahakamani. Pata habari Nzima hapa:

https://graph.facebook.com/JoyceKir...41828.156178511224517/310469652462068/?type=1



RORA MBASHA POLE SANA...
NIJUAVYO MIMI NI KWAMBA, WAANDISHI WA HABARI NA VYOMBO VYA HABARI TUNAONGOZWA NA KANUNI NA SHERIA! NA KAZI KUBWA NI KUIELIMISHA JAMII BADALA YA KUKANDAMIZA NA KUPOTOSHA JAMII. KWA
JINSI HIYO NI LAZIMA IFIKE MAHALI TUONE KWAMBA KUMDHALILISHA MTU ,PAMOJA NA KUINGILIA UHURU WA MTU BINAFSI NI MAKOSA!

Kinachoe delea sasa ivi juu ya Flora&Mbasa ni kwamba tunaingilia maisha binafsi ya mbasha na mbaya zaidi tunamdhalilisha ''MWANAMKE'' Flora..kwa sasa tunauza sana magazeti na tunapata trafiki kubwa kwenye blogs zetu ili kujiingizia kipato..kwa Kumdhalilisha Flora ndicho kinachoendelea...

Kama tumeamua kuchukua jukumu la Mahakama sawa. Maana ndicho tunachokifanya kila kona kujaribu kutoa hukumu ya kesi hii! Mbaya zaidi 99% tunamuhukumu Flora eti kwa misemo kwamba MWANAMKE -------- hubomoa nyumba yake mwenyewe!

Ni lini huu mfumo dume ndani yetu utaondoka? Kosa linalomkabili mume wa Flora liko wazi wazi, na vitendo hivyo vinafanyika sana sana ndani ya nyumba zetu. Ni vitendo vya kumdhalilisha Mwanamke sana na vinatuumiza sana kina mama wengi. Hakuna mwanamke atakaependa kusikia mumewe kamdhalilisha kwa kulala na mwanamke mwingine. Tena mdogo wake??! Tena kwa kubaka! Hakunaaaaa! Hayupo huyo mwanamke...

Nikijaribu kuvaa viatu vya Flora ni vizito sana. Wala sijui ningefanya nini kwa maumivu ninayohisi....

Kinachoniumiza ni kwamba jamii imeacha HOJA ya msingi ambayo ni kitendo alichofanya Mbasha na ndicho kimempandisha kizimbani Mbasha!! na badala yake jamii kuanza kumuona Flora ni mkosefu kuliko aliyebaka..

Kwa maneno mengine ni kwamba tunabariki alichokifanya mbasha, na kwamba Mwanamke yeyote asichukue hatua yeyote endapo Mume atabaka au kutoka nje ya Ndoa yake.

Yaani mnatuambia wanawake wa nchi hii kwamba, ukimfumania mumeo au akibaka we umsamehe kimya kimya na maisha yaendelee! Mpaka sasa jamii haioni kwamba Mbasha amefanya kosa kabisa! Kana kwamba kama Mbasha hatakiwi kukemewa bali asifiwe mwanzo mwisho na zawadi apewe kwa kitendo hicho kama atakutwa na hatia kwamba amefanya...

yaan kwenye jamii yetu inaonekana mwanaume kua na mahusiano nje ya nyumba yake ni Sifa tena anapewa majina mazuri ya urijali! lakini kwa mwanamke ni umalaya na Ukahaba...

Hapo ndo napataga wazimu wa kichaga aiseee... Inaniumiza sana na kuna siku nilikaa nikaamua kuvunja ukimya juu ya hili jambo la michepuko tena nikawataja wazi wazi watu tunaowategemea wawe mifano bora lakini wao ndo waharibifu wakubwa! Cha ajabu jamii iliinuka juu yangu ila ukweli ulisimama na unabaki palepale kwamba mtu anapotoka nje ya Ndoa yake au nyumba yake ni MZINZI na anatakiwa akemewe bila kuangalia Hadhi yake.

kinachofanyika sasa kwenye jamii ni UNYANYASAJI DHIDI YA MWANAMKE NA UKATILI WA KIJINSIA pale tunapowaona wanaume WAzinzi ni marijali na Wanawake ndo Malaya na makahaba...

mbaya zaidi kuna baadhi ya wanawake wenzetu wanaushadadia huu MFUMO DUME kiasi kwamba wanakua mstari wa mbele kumnyooshea Flora vidole huku wakisahau kua mwenzio akinyolewa na ww zako tia maji..WANAWAKE TUSIMAME IMARA KUTOKOMEZA UKATILI NA MFUMO DUME kwenye jamii yetu...Kama kuna mwanamke atakaesherehekea mume wake akimbaka mdogo wake basi huyo amnyooshee kidole Flora...

Nasisitiza! ni kwa nn mwanaume husifiwa kwa uzinzi Na jamii inatetea???! HUU NI MFUMO DUME na ni Ukatili dhidi ya Wanawake...

MIMI JOYCE KIRIA NASEMA, MAADILI YAZINGATIWE NA WATU WOTE BILA KUJALI WADHIFA WA MTU. NA ENDAPO MTU AKIKENGEUKA BASI JAMII IMKEMEE VIKALI. BADALA YA KUTUKUZA UZINZI KWA KUANGALIA STATUS ZA WATU NA KUKANDAMIZA WANAWAKE....

kwa pamoja tunaweza kutokomeza ukatili huu.....

NOTE: WAKINA MAMA TUPIGE MAGOTI TUMLILIE MUNGU ASEME NA HAWA WATU WANAOTAWALIWA NA PEPO MCHAFU WA UZINZI..IN THE MIGHT NAME JESUS I PRAY....
 
Unajua kuna wakati nilimsikia huyu dada akisapoti pyramid scheme ya Telex free inayofanana sana na pyramid scheme ya Foreverliving..., sasa nikawa najiuliza.., hivi huyu anawezaje kupigia debe wizi wa mchana kabisa.., nikaja kuhisi atakuwa either degree yake ya uandishi wa habari haijamsaidia au either amerogwa! but as it turns out ni house girl...!! (Nadhani ni dara la 7)..,so now nimeelewa tatizo lilipo..., by the way utapeli wa telexfree umeshapigwa stop.

Your statement is too general' it's abusive kwahawa wadada!! The fact ni kwamba tunaowaita mahouse G' ni kutokana na hali ya maisha ndo inapelekea wao kufanya hiyo kazi.

Ukijaribu kufatilia wanakotokea utagundua yafuatayo;

1) walifaulu vizuri masomo yao darasa lasaba' wakakosa msaada wa kuendelea na shule.

2) walianza sekondari wakashindwa kuhitimu kutokana na kukosekana kwa pesa!

3) waliondoka kijijini kwalengo lakuja mjini kutafuta maisha' sasa mjini pagum watayaanzaje maisha basi wanaamua kutafuta kazi yoyote for a while!

4) NK ....,

NB; Wengi tupo tulipo sasa kwa malezi ya hao wadada' wengine mama zetu wametokea huko na walifanya kazi hiyo leo ni mama zetu.

Lakini ikumbukwe kwamba huo ndio mgawanyo wa kazi' haiwezekani wote tukafanya kazi moja!! Na tunategemeana sana' vinginevyo mambo hayataenda. So tuheshimu kazi yoyote! Ujinga wa mtu mmoja usiichafue jamii nzima.
 
Huyu si yule tulisikia anatembea na mnene fulani akiwa kwenye safari za kibunge?

Anataka kutwambia mke wa huyo mbunge anajisikiaje pale anaposikia mumewe anatembea na yeye Joyce

Anachofanya na anachokisema havifanani kabisa hapa kaamua kujaza tu jukwaa
 
Unajua kuna wakati nilimsikia huyu dada akisapoti pyramid scheme ya Telex free inayofanana sana na pyramid scheme ya Foreverliving..., sasa nikawa najiuliza.., hivi huyu anawezaje kupigia debe wizi wa mchana kabisa.., nikaja kuhisi atakuwa either degree yake ya uandishi wa habari haijamsaidia au either amerogwa! but as it turns out ni house girl...!! (Nadhani ni dara la 7)..,so now nimeelewa tatizo lilipo..., by the way utapeli wa telexfree umeshapigwa stop.

Ahaa kumbe! Sasa tumekupata ulichokua unamaanisha! Upeo wa kuchanganua mambo hayo ya mapiramidi kwa Kiria ni shida! Wala haijarishi yeye ni CDM au CCM.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom