Upuuzi wa Joyce Kiria kuhusu Mbasha

Upuuzi wa Joyce Kiria kuhusu Mbasha

Status
Not open for further replies.
Kwa Emmanuel Mbasha kamhukumu kabisa kwa kuthibitisha kwamba kamdhalilisha mwanamke. Kwa Flora wanachosema watu kuwa mwanamke -------- ataivunja nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe yeye anaona hiyo ni kauli ya kuingilia utu wa mwanamke...huyu Kiria anajua asemalo au ndio kukurupuka ki Vicky Kamata kutaka kurekebisha nyota bila kufanya chunguzi??...haoni na yeye mwenyewe alivyoingilia Mahakama kwa kumtia hatuani bw.Emmanuel Mbasha??
 
Housegirl kaishia hapo fikra zake, mpigieni makofi tu yanatosha

Huyo housegel unayemdharau ana akili nyingi kuliko ata mke wako km una mke,kila kitu apo nyumbani anafanya yy,chukua majukumu yake cku moja uone km ni rahic km hatukuti mavi mpk kwenye sufuria,plz jmn mcwadharau wadada wa kazi ni watu mhm sana maishan mwenu nakushangaaa unavyoponda.wakisema siku wagome warudi kwao wote uone km mambo yako yataenda sawa,wanaumuhimu wa hali ya juu maishan mwetu soooo plz muache kuwadharau.
 
Mbona kaandika point... upumbavu gani kaandika sasa...nahisi we mleta mada ndo --------. Jamaa amebaka subiri mahakama iamue
 
Kwa Emmanuel Mbasha kamhukumu kabisa kwa kuthibitisha kwamba kamdhalilisha mwanamke. Kwa Flora wanachosema watu kuwa mwanamke -------- ataivunja nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe yeye anaona hiyo ni kauli ya kuingilia utu wa mwanamke...huyu Kiria anajua asemalo au ndio kukurupuka ki Vicky Kamata kutaka kurekebisha nyota bila kufanya chunguzi??...haoni na yeye mwenyewe alivyoingilia Mahakama kwa kumtia hatuani bw.Emmanuel Mbasha??


Sijui kwa nini huu waraka wake nimeudharau hivyo.


#1 Haelewi vitu vinavyofanya tukio kuwa habari na bado anawapondea waandishi wa habari kwa kuliandika tukio hili na akionacho yeye ni kuwa hapa mwanamke ndiye anaye dhalilishwa.

#2
Hakufikiria kuwa kisheria anaweza kuitwa mahakamani kuthibitisha hiyo kauli yake kuwa ' Mbasha amebaka'

xxxxxx

#3 ....Akijaribu kulikosoa na andiko bila hata kujua lina maana gani au hata hajielewi ni kipi anaandika??!!


"Kila mwanamke aliye na hekima hujenga nyumba yake; Bali aliye -------- huibomoa kwa mikono yake mwenyewe. (MIT. 14:1 SUV)




Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Hizi haki sawa zao zinawapeleka pabaya itabaki palepale mwanamke anaegegedwa na wanaume kibao ni Malaya hakuna jina la kujazia hapo
 
Ni aibu ma GT kumjadili mtu mwenye uwezo na akili ndogo kama huyo kibwengo watu wengi humu hawamtetei Mbasha bali hawapendi jinsi mke wa Mbasha alivyo mhukumu kabla ya mahakama, sasa mwingine nae anakuja kuhukumu kama alikuwepo wakati mbasha anabaka, kenge kabisa.
 
Dada Joyce, anazungumzia upande mmoja yeye aangalii ni kwa nini watu wanamtetea Mbasha. Watu hawamtetei Mbasha kwa kuwa ni wanaume, hata wanawake ambao angalau wanaujua ukweli wanamtetea huyu Bwana. Iweje leo mimi nikosane na mume wangu halafu niondoke nyumbani na kwenda kuishi kwenye hoteli? Hizo gharama analipa nani? Na tukio la huyu Bwana kubaka linatokea wakati Flora yuko hotelini anatanua.

Mimi sihukukumu mtu lakini inawezekana kwamba Mbasha alibaka, na inawezekana kabisa ikawa ni kwamba hakubaka bali ni tukio la kutengeneza. Lakini ile Audio iliyowekwa hapa Mbasha akimwomba radhi shemeji yake aliyembaka ilikuwa ni ya kupikwa kama sehemu ya mpango mzima wa kumfunga Mbasha?

Nani ana majibu.

Tiba
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom