hivi vasco anafunga ramadhan??? naona atakatiza mfungo! alaaniwe ZOKA masterminder wa haya mauaji! wataumbukajeeee leo??? welcome back dr. ulimboka!
Hakuna kinachoshinda sala. Tuzidi kumwombea Mungu amlinde. Hao waliotaka kumwua watakufa wao kwa mahangaiko ya moyo. Thank you God! Thank you Jesus!kwa wale tulioko maeneo ya airport tuwekeeni updates za mapokezi ya dr ulimboka.
kwa wale mlioko ndani kabisa ya vyombo vya usalama pia msisite kutupa updates za hali ya mambo.
UPDATES:dr ulimboka anatarajiwa kutua saa nane mchana huu
Dr Ulimboka ameshukuru Mungu wananchi,wanaharakati na madaktari.
Amesisitiza kwa sasa yuko fit na anaweza kufanya chochote!
Hakuna cha ku cross the line, kijitu kimoja kicheze na wagonjwa wetu maelfu kwa maelfu, halafu kitiwe adabu nyie mkionee huruma? roho za wangapi zimepotea kwa kukosa huduma ya madaktari. huyo hafai kuonewa huruma hata kidogo. Tena nasema waliomtandika, yeyote awae, kafanya kazi nzuri sana.
Yeye haja cross the line? anapohamasisha madaktari kugoma?
Huyo hukumu yake ni kifo, ashukuru mungu hao vijana walikuwa wanamtia adabu tu na hawakutaka kummaliza.
Atarudia?
Na kama mnamhitaji ahmed msangi yuko ubalozi wa uswisi anakula bata na vile vile mama yake yuko hoi kwenye hospital ya kariuk pale victoria
Hakuna cha ku cross the line, kijitu kimoja kicheze na wagonjwa wetu maelfu kwa maelfu, halafu kitiwe adabu nyie mkionee huruma? roho za wangapi zimepotea kwa kukosa huduma ya madaktari. huyo hafai kuonewa huruma hata kidogo. Tena nasema waliomtandika, yeyote awae, kafanya kazi nzuri sana.
Yeye haja cross the line? anapohamasisha madaktari kugoma?
Huyo hukumu yake ni kifo, ashukuru mungu hao vijana walikuwa wanamtia adabu tu na hawakutaka kummaliza.
Atarudia?
Zaburi ya 17 ya Prof. Mahalu
By zombaHakuna cha ku cross the line, kijitu kimoja kicheze na wagonjwa wetu maelfu kwa maelfu, halafu kitiwe adabu nyie mkionee huruma? roho za wangapi zimepotea kwa kukosa huduma ya madaktari. huyo hafai kuonewa huruma hata kidogo. Tena nasema waliomtandika, yeyote awae, kafanya kazi nzuri sana.
Yeye haja cross the line? anapohamasisha madaktari kugoma?
Huyo hukumu yake ni kifo, ashukuru mungu hao vijana walikuwa wanamtia adabu tu na hawakutaka kummaliza.
Atarudia?
!
Sometimes I wonder the way some people reason!
Who does not know what the doctors wanted and who is behind them? They wanted to fill their bellies first and foremost and let the ill suffer and die in misery. That is a no no no no.a sign of poor intelligence... we forget how many have died due to the missed opportunities that Drs. want
sadly, one crrap doent even know that Ulli alone would never influence anyone kugoma, it was the Drs. needs that pushed for the course
BTW, since when you started being part of the system??? au ni hiyo kutumuwatumwa ishakupa ego?
zomba, in this mission to teach him a lesson, you have failed miserably! Hata mseme nini that is the fact.
Ndugu yangu Zomba, Unahitaji maombi ya deliverance au ukapungwe hayo majini yaliyokufunga na kukupa roho isiyokuwa na chembe ya utu! kha! nyinyi ndo wanyonyaji wa damu za watanzania.!
Hakuna mtakalosema litaweza kuhalalisha ukatili huu
najua umeumizwa sana na tukio la leo.ni vyema ukazoea kwani matukio ya namna hii yatakuwa mengi kabla ya 2015.