UPDATES: Mapokezi ya Dr. Ulimboka na yaliyojiri

UPDATES: Mapokezi ya Dr. Ulimboka na yaliyojiri

Yani mngeacha malumbano mngejielekeza kwenye kuapload picha sisi tulio st.johans huku texas tungepata taarifa full.
 
The fact is, he learned his lesson. Ask him, Atarudia? au wewe kachukuwe nafsi yake, unangoja nini?

teh teh teh....ndo matatizo yenu. Mnajua kila kitu so you are ready to take anything. Ntachukuaje kitu kisichonihusu? Sina matatizo hayo ya ujuaji unaowasumbua wengi mpaka wanaishia kushindwa miserably. I do what am capable of doing. But you are not alone....kama Nyerere alivyoshindwa teh teh teh. Kwahiyo tunwakumbuka pia kwa kushindwa kwenu katika hili kama mnavyomkumbuka Nyerere.
 
Sasa tumpeleke dr.ulimboka pale MOI kuna OC-CID wa kawe tukafanye gwaride la utambulisho
 
Aibu ya kwanza itawakuta kamanda KOVA, mbunge Eg, StellaManyanya, kiongozi aliyelifungia Gazeti la Mwana Halisi, ambao kwa mshangao wa Wtz wameonyesha juhudi za kuficha ukweli wa kilichomkuta Dr,Ulimboka ngoja tuone watasemaje ??????????? tumuombeeeeeeeeeee kijana wa watu apate Afya njema katika mapambano haya ya kuwafia Watanzania.
 
Sasa Shaidi Numba Moja yupo!! Sasa Bado Kova ataendelea na cinema Bila Kumshirikisha?
 




images



DKULIMBOKA8.JPG


DKULIMBOKA12.JPG













423535_3522668914174_1570824360_n.jpg








Yani mngeacha malumbano mngejielekeza kwenye kuapload picha sisi tulio st.johans huku texas tungepata taarifa full.
 
Hawa wauwaji kweli ITV, STAR TV na Chanel ten imekuwa habari ya kwanA TBC hata muktasari hakuna kama sio wahusika ni nini

Sorry to say Mshana hataruhusu kurushwa kwa habari hizi maana yeye alikubali kutumwa kutekeleza maazimio ya aliyemteua. Ambaye angethubutu ni Tido Mhando ambaye kwa mantiki hii aliondolewa TBC ambaye aliikomboa the so called TVT from death. Na kwa sasa TBC itakufa kifo cha asili kama Mshana ataendelea kuwepo pale. Record my words and the date 13th Aug 2012. Kwa mantiki hii, mtoto kama ni mtiifu hawezi kwenda kinyume na matakwa ya mzazi, that is our TBC!!! Television ya SSM, a very biased media house!!! Your credibility is low!!!
 
Rama yupo wapi??!!

Alikuwa amefichwa jumba moja pale Ada Estate sijui kama bado yupo au ameshapotelea kusikojulikana!!! Hiki ni kisasi hadi kizazi cha nne. Watu wa Mbeya mpo!!! Do whateve you can. Nawaamini mkiamua mnaweza kumfikia aliko, wasafa and the like si lazima mahakamani. Yafanyike mahakama na hukumu za jadi, maliza kazi kwa muda mfupi. Sorry to say this.
 
Swali la msingi; Atarudia? kama harudii, somo limemtosha. Au?

Hukumsikiliza wewe mwana Chama cha Mwabwepande? Alisema amerudi yuko fiti kwa lolote!!! The sentence carries a lot!!! Haogopi!!! Na siku aliyoondoka akiwa kwenye strecher alisema "Ninaondoka, damu iliyomwagika ikawe chachu ....malizia". Hakutetereka akisema hayo maana alijua anaweza kufa au kupona but kwa chachu ya ukombozi!!! Ukombozi wa kweli damu lazima zinamwagika na Dr. SU amethibitisha hilo. Alithubutu, Amethubutu na Ataendelea kuthubutu hadi kieleweke. Yaani hospital ya Taifa haina hata vifaa vya maana na vya kutosha. His Excellence Mai Kibaki amewaaibisha sana!!! We do not have standards na hapo unatetea udhaifu na ulegelege!! Give us a break!! I am a Tanzanian who love Tanzanians no matter what!! Liwalo na Liwe!!! Ni upepo tu utapita!! Who told you?
 
Una roho mbaya wewe kupe! Yawezekana wewe ni mmoja wa wale waliomteka na kumtesa. Unamwita mwenzio marehemu mtarajiwa wewe una mkataba na Mungu kuwa utaishi milele hapa duniani? Utatangulia wewe.

You have said it all !
 
Finally, tumshukuru Mungu kwa vinubi na vinanda!! Jina la Bwana Yesu liinuliwe palipo juu siku zote. Tunakuombea Dr. Steven Ulimboka na familia yako. Mungu akupe ulinzi wa malaika wake 14 kama ule aliokupa kule msitu wa Mwambwepande hata fisi na simba hawakuweza kukurarua kwa kuwa msiti ule una kila mnyama!! Mungu ni mtetezi wako na kwa ujio wako imedhihirisha kuwa Watanzania wanakupenda, wazee, watoto na kwa vijana na hawakutaka kabisa kusikiliza propaganda za Chama cha Mwabwepande!! Hapa kuna fundisho kwa serikali yetu. Jana nilitegemea katika news nione labda wanaompokea ni madaktari wenye suti zao na hadhi, kumbe madaktari wenyewe ni wachache ila waliongezwa umati na Watanzania Wazalendo wa nchi hii ambao hawapati health security hasa wanapoenda hospital ya taifa kama Muhimbili na kukuta hakuna vipimo ila wanaandikiwa wavifuate Aghakan, Regency, Hindu Mandal, and the like ambapo hawawezi kuvilipia. At the same time tuna unprioritized spending za kutisha katika posho na mambo mengine inferior kabisa!!! Why trading off humah wellbeing in health? Watanzania wameamka na mapokezi ya jana kwa Dr. SU ni ushuhuda. Wait for 2015!!! less than 3 years to come!!! Enough is enough!!
 
quote_icon.png
By zomba
Enhee, aelezee alikwenda kupokea rushwa usiku au ilikuwaje? ana mengi ya kujibu. Maan kuitwa bar usiku eti mkaongee kuhusu mgomo na yeye anakwenda tu? haiingii akilini unles kulikuwa kuna element za rushwa.

Jamaa waliompa kichapo walifanya kazi nzuri sana, artistically, kichapo cha maana bila kumtoa roho. Ilikuwa ni kumshikisha adabu tu ajuwe na wagonjwa wanaumwa vipi. Naona atakuwa sasa kaelewa kuumwa ni nini.

Nna uhakika ataufyata.

Too low my friend!
TUMBIRI (PhD, University of HULL, HULL City - United Kingdom),






Tumbiri hujaipatia vizuri, This is not only too low, but less than low. Zero or negative.


 
Niliona mapokezi ya Dr Ulimboka JNIA.Kweli Mungu amemwokoa Dr kutoka kwenye mikono ya mibaya.Watanzania tunataka huduma na matibabu bora kama ya nchi za wenzetu.Wangapi tunaweza kumudu gharama ya matibabu ya Dr Uli?Naomba tupate katiba itakayotupatia fursa ya kupata matibabu bora,elimu bora na huduma nyingine za jamii.Viongozi wote watibiwe katika hospitali za umma,watoto wa viongozi wa siasa wasome shule za umma;kama huwezi hayo achia ofisi yetu.Kiongozi wetu atokane na sisi.
 
karibu bongo
issue yako ipo mahakamani na please hutakiwi kusema chochote kile kwa kesi iliyopo mahakamani maana kusema tu ni kuingilia mhimili wa mahakama

hapa si wa wanamziba mdomo , mi nadhani Mungu amemwaibisha shetani hivyo ya kale yapita tazama yamekuwa mapya Jina la Bwana lihimidiwe , hizo ligi za mahakama amwachie Mungu only God knows what will happen next ,
WE SHALL OVERCOME,
WE SHALL OVERCOME SOMEDAY,
OH DEEP IN MY HEART ,
I DO BELIEVE ,
WE SHALL OVERCOME SOMEDAY.

THE LORD WILL SEE US THROUGH
 
Back
Top Bottom