Jackbauer
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 6,068
- 2,225
hakuna aliyetegemea mapokezi ya namna hii hata kidogo.bado kamanda Ulimboka ni mwiba kwa serikali,tusubiri tuone!Time to shame the devil! A hearty wellcome home dr. Ulli; take heart in the fact that hakuna mabadiliko (read mapinduzi) yasiyokuwa na wahanga! your blood and pain will not go in vain, karibu sana mwanakwetu, Dr Ullimboka mashujaa hawapewi pole; wewe ni shujaa, uliteguka ukaumia na sasa umerudi mapambano bado ni magumu, kamata tena rungu, mkuki na mshale uingie uwanjani. best wishes