UPDATES: Mapokezi ya Dr. Ulimboka na yaliyojiri

UPDATES: Mapokezi ya Dr. Ulimboka na yaliyojiri

Ningekuwa na uwezo wa kimungu ningedeal na wewe mmbwakoko perpendicular maana kila uzi unaochangia ni uharibifu tu. I can imagine how your brain looks like. It must have a special provision to accomodate such a strange behaviour.

Njoo tukutane leaders club usiku saa nne "tuyamalize", unasemaje?
 
huu mwezi wa toba zaidi ya kushiba futari naona hauna manufaa mengine kwako...roho mbaya/chuki ndiyo kwanza vinaongezeka...

Swali la msingi; Atarudia? kama harudii, somo limemtosha. Au?
 
swali la msingi; atarudia? Kama harudii, somo limemtosha. Au?

toba usoni rohoni uasi ibilisi anakutumia opasavyo. Kiboko yetu mungu asiyedanganyika. Better repent and make things right with god for he is about to act on you. Usiseme sijakutonya
 
toba usoni rohoni uasi ibilisi anakutumia opasavyo. Kiboko yetu mungu asiyedanganyika. Better repent and make things right with god for he is about to act on you. Usiseme sijakutonya

Ni mimi wa ku repent au huyo alie sababisha vifo na mateso kwa wagonjwa wetu? Nna uhakika amepewa fursa ya kutubu kama anaelewa, aanze mara moja au atarudia?
 
Ni mimi wa ku repent au huyo alie sababisha vifo na mateso kwa wagonjwa wetu? Nna uhakika amepewa fursa ya kutubu kama anaelewa, aanze mara moja au atarudia?

Siku zako zinahesabika,kama ukifanikiwa kuliona jua la mwezi wa Tisa(September) Basi Mshukuru Mungu wako na usitoke katu kwenye Nyumba ya Ibada.
Huna tofauti na wale wanaume wanaotaka kuolewa na wanaume wenzao.sijui wanaitwaje vile?
 
Siku zako zinahesabika,kama ukifanikiwa kuliona jua la mwezi wa Tisa(September) Basi Mshukuru Mungu wako na usitoke katu kwenye Nyumba ya Ibada.
Huna tofauti na wale wanaume wanaotaka kuolewa na wanaume wenzao.sijui wanaitwaje vile?

Nani ataishi milele dunia hii? labda wewe!

Unaemtishia maisha ni Muislaam ujuwe. Tunapenda umauti kama mnavyopenda nyinyi uhai. Sisi tunaamini tunatembea na mauti yetu na ni kitu cha wakati wowote, wala hakina September wala wiki ijayo. Kwa hilo umeenda wrong number.

Nani anaetaka kukaa transit muda mrefu? labda punguani tu.
 
karibu bongo
issue yako ipo mahakamani na please hutakiwi kusema chochote kile kwa kesi iliyopo mahakamani maana kusema tu ni kuingilia mhimili wa mahakama
acha kumtishia uhuni wa ndugu zako ccm ndio uliotufikisha hapa. Dr. amini lazima ile mazima kwa ccm 2015
 
tunakutakia afya njema kama tulivyoomba ndio tunazidi tena kusema jina na Bwana Mungu na libarikiwe
 
Ikithibitika Ikulu Imehusika basi Bunge lipitishe hoja ya kutokuwa na Imani na Raisi. Nchi haiwezi kuongozwa na mtu anayevumilia au kuidhinisha mauaji ya raia.

Una maanisha bunge hili la ndiyooooooo au labda bunge la east africa??
 
Who does not know what the doctors wanted and who is behind them? They wanted to fill their bellies first and foremost and let the ill suffer and die in misery. That is a no no no no.

We will not tolerate the ****, let him be a lesson to anyone who plays with our sick.

Atarudia?
the good thing is ... you didnt set any timeline ya mtu kurudia au la!!! lets wait

and the best part of your post ni hapo kwenye red, yangu macho kama wewe ni mmoja wao na wao wanahisi hivyo.... coz sometimes unaonekana kiherehere
 
I'm sorry zomba I can't reason with you.
You cant reason Zomba, he is serving the purpose!!! and the stakes are high.... wengine wamesharudishwa maelezo; lazma apiganie kaugali la sivyo watampeleka kuishia TFF, maana hata yale mashirika yetu siku hizi juniors wanamdharau tu, si kama zamani??
 
Chama cha majambazi presha inazidi kupanda , na ole wenu mjaribu kumdhuru tena Uli, tutawatoa madarakani kwa mikono yetu nyambaf nyie wote.
 
Time to shame the devil! A hearty wellcome home dr. Ulli; take heart in the fact that hakuna mabadiliko (read mapinduzi) yasiyokuwa na wahanga! your blood and pain will not go in vain, karibu sana mwanakwetu, Dr Ullimboka mashujaa hawapewi pole; wewe ni shujaa, uliteguka ukaumia na sasa umerudi mapambano bado ni magumu, kamata tena rungu, mkuki na mshale uingie uwanjani. best wishes

Actually i can see ully joining politics as member opposition in near soon!! Just watch out
 
thank-you-god.jpg

by: Dr. Ulimboka
 
Back
Top Bottom