UPDATES: Mapokezi ya Dr. Ulimboka na yaliyojiri

UPDATES: Mapokezi ya Dr. Ulimboka na yaliyojiri

ha ha mwenyezi mungu uliye juu,tunashukuru sana kwa kumsimamia na kumrudisha salama mpigania haki za wanyonge.ameen
 
Ahimdiwe mungu muweza yote. Ulimbomboka mungu ankupenda ataendelea kukulinda. karibu home.
 
Hakika ni jambo la kumshukuru mungu.uhai wa dr umefichwa mbali na mungu dhidi ya serikali yetu katili. Wito wangu kwako dr hima tutajie watu waliokuteka na kukutesa kwa majina na nyazifa zao.dr kamwe husije kuadaika kutokuwataja watakuua hili unyamaze milele.fanya hima kumbuka samaki mkunje angali mbichi
 
dah Mungu Mkubwa sana ndugu zangu

siku zote huwaaibisha wabaya, watesi na wasengenyenyaji na wapora haki

Mungu azidi kumlinda kamanda wetu ulimboka
 
Ni kweli walimng'oa kucha pamoja na meno..
binaadam anaejua baada ya kuzaliwa ni kifo kinafuata,lkn c binadam kuua roho ya mtu ungali nawe wangoja kufa.prove that shame to u're boss whom u work on b/half
 
The movie goes on!!! Another episode is about to be aired out!!! Viewers are eagerly waiting!
 
Msishangae mkisikia Dr Ulimboka ameporomosha ghorofa haraka haraka na akisema: "mambo tumeshayamaliza; uchunguzi unaendelea".
 
Watu tuliopo ktk huu uzi ni zaidi ya 600,kweli kapicha kamoja tu? Wekeni picha jamani...
 
926447359.jpg
 
kwa wale tulioko maeneo ya airport tuwekeeni updates za mapokezi ya dr ulimboka.
kwa wale mlioko ndani kabisa ya vyombo vya usalama pia msisite kutupa updates za hali ya mambo.

UPDATES:dr ulimboka anatarajiwa kutua saa nane mchana huu

VIVA FOREVER DR ULIMBOKA GOD WITH YOU. Aibu kwao
 
Enhee, aelezee alikwenda kupokea rushwa usiku au ilikuwaje? ana mengi ya kujibu. Maan kuitwa bar usiku eti mkaongee kuhusu mgomo na yeye anakwenda tu? haiingii akilini unles kulikuwa kuna element za rushwa.

Jamaa waliompa kichapo walifanya kazi nzuri sana, artistically, kichapo cha maana bila kumtoa roho. Ilikuwa ni kumshikisha adabu tu ajuwe na wagonjwa wanaumwa vipi. Naona atakuwa sasa kaelewa kuumwa ni nini.

Nna uhakika ataufyata.
 
Kuunga kwako mkono kipigo cha Ulimboka kunaonyesha wazi jinsi Serikali yako ya CCM ilivyohusika kwa asilimia 100%
 
Back
Top Bottom