Kuna tetesi kwamba huyu kamanda wetu anapigiwa magoti na serikali (Ikulu) kwamba pindi atakapozungumza, asitaje kwamba Ikulu yahusika kutekwa na kupigwa kwake, kwamba amkane Rama. Nadhani kuna namna alivyotayarishiwa kujenga hoja hii.
Inasemekana mpango huu unaratibiwa na Mzee Mengi, kwani kama mnavyofahamu Mengi ametoa mchango mkubwa sana kifedha kwa ajili ya matibabu ya Dr Ulimboka. halafu pia inafahamika jinsi Mengi anavyomuabudu JK.
Kuna mambo mawili hapa: Ulimboka akikubali mpango huo, basi atakuwa amejimaliza, kwani TISS wataogopa kwamba kuna siku anaweza kuropoka na kusema yaliyo ukweli. Hivyo watahakikisha haishi muda mrefu.
Pili, bora aseme lile la ukweli kwamba Ikulu ilihusika kwani atakuwa amejiwekea kinga ya kutomalizwa maisha yake -- TISS wataogopa kwani kidole kita-point kwao kwamba ni wahusika wa kifo chake kwa kuwa atakuwa amewaumbua.
Nakiri tena hizi ni tetesi, lakini ni very plausible scenario.