Bigirita
Platinum Member
- Feb 12, 2007
- 16,042
- 7,474
Script writer: Ikulu
Director: Pinder
Locations Manager: Side Mwema
Production: Mabwepande
Title: Liwalo na Liwe
Hahahahhaaa!!!!
Distribution: CCM
Script writer: Ikulu
Director: Pinder
Locations Manager: Side Mwema
Production: Mabwepande
Title: Liwalo na Liwe
Enhee, aelezee alikwenda kupokea rushwa usiku au ilikuwaje? ana mengi ya kujibu. Maan kuitwa bar usiku eti mkaongee kuhusu mgomo na yeye anakwenda tu? haiingii akilini unles kulikuwa kuna element za rushwa.
Jamaa waliompa kichapo walifanya kazi nzuri sana, artistically, kichapo cha maana bila kumtoa roho. Ilikuwa ni kumshikisha adabu tu ajuwe na wagonjwa wanaumwa vipi. Naona atakuwa sasa kaelewa kuumwa ni nini.
Nna uhakika ataufyata.
Hakika MUNGU ni mkubwa!!
watanzania hatutakaa tuchukie mbona yamefanyika makubwa kuliko la ulimboka tukaishia kuchekacheka tu kama vasco wetu siku zikasonga kama kulianzisha ilikuwa siku ile alipookotwa mabwepande leo ameshapona ndio tukasirike acha kujidanganya nachelea kusema sisi watanzania ni wapole zaidi ya kondoo jike!
binaadam anaejua baada ya kuzaliwa ni kifo kinafuata,lkn c binadam kuua roho ya mtu ungali nawe wangoja kufa.prove that shame to u're boss whom u work on b/half
Pole sana daktari Ulimboka, sasa eleza kwa uwazi bila kumwogopa yeyote kuhusu kilichotokea msituni na wahusika wote ulioweza kuwatambua.
Liwalo na liwe, kama noma na iwe noma. Hakuna cha upepo tu utapita bali ni KIMBUNGA KITAEZUA MAPAA NA KUBOMOA MAJUMBA.
Too low my friend!
TUMBIRI (PhD, University of HULL, HULL City - United Kingdom),
tumbiri@jamiiforums.com
Welcome home but watch your back and your tongue.