TULIONDOKA KWA MACHELA TUMERUDI TUNATEMBEA SERIKALI CHEZEENI WATU MSIMCHEZEE MUNGU HATA KIDOGO-DK
hangwe na vifijo vilirindima na vinaendelea kurindima hapa uwanja wa ndege wa jnia
pale kamanda incharge sijui nimuite general dk ulimboka ama ...anyway utamalizia
alipotokeza kwa miguu yake akishuka kutoka kwenye ndege na akitembea kwa miguu
ilikuwa ngumu kujua nini kimeendelea wapo waliosema jamani mbwite wayanga ndio
anakuja ama lah..la hasha ni kamanda wetu mkuu wa kikosi
dk ulimboka on ground dk chache zilizopita;katika mahojiaano kijana amenifurahisha kwa kumtukuza mungu na kusema aliumizwa vibaya amewasamehe wote waliomtendea maana walichofikiria mungu amekwenda kufanya tofauti yake..na mwisho kuomba serikali wwaendelee kuchezsea watu lakini
wasimchezee mungu wake wa nazareth
mwisho tunakuomba uzidi kumuombea kijana wetu na mapambano bado yanaendelea na ma dk wote wanatarajia kufanya mkutano mkubwa wiki ijayo ikiwa ni pamoja na kurudi kwenye mgomo kwa ajili ya kupata haki yao n a naamini mungu atatuonyesha wazi alimfanyia haya yote dk ulimboka
mungu akutie nguvu ukipata muda dk tuonane nina kaua chako nimeogopa kukurushia jamaa wasije nitupa msitu wa mpande ..tunakupenda tuko nyuma yako kamanda usiogope
Edit Post
Reply
Reply With Quote
