Dr ulimboka haogopi mauti tena.
Gwaride lisichelewe kupigishwa mbele ya Dr. Ulimboka
ningekuwa mimi singerudi!
......Pole sana Dr Ulimboka, Mungu yu mwema hakuna kulia tena, futa machozi yako.A touching pic
![]()
Enhee, aelezee alikwenda kupokea rushwa usiku au ilikuwaje? ana mengi ya kujibu. Maan kuitwa bar usiku eti mkaongee kuhusu mgomo na yeye anakwenda tu? haiingii akilini unles kulikuwa kuna element za rushwa.
Jamaa waliompa kichapo walifanya kazi nzuri sana, artistically, kichapo cha maana bila kumtoa roho. Ilikuwa ni kumshikisha adabu tu ajuwe na wagonjwa wanaumwa vipi. Naona atakuwa sasa kaelewa kuumwa ni nini.
Nna uhakika ataufyata.
Hakuna mtakalosema litaweza kuhalalisha ukatili huu
......Pole sana Dr Ulimboka, Mungu yu mwema hakuna kulia tena, futa machozi yako.
kwa wale tulioko maeneo ya airport tuwekeeni updates za mapokezi ya dr ulimboka.
kwa wale mlioko ndani kabisa ya vyombo vya usalama pia msisite kutupa updates za hali ya mambo.
UPDATES:dr ulimboka anatarajiwa kutua saa nane mchana huu
Dr Ulimboka ameshukuru Mungu wananchi,wanaharakati na madaktari.
Amesisitiza kwa sasa yuko fit na anaweza kufanya chochote!