UPDATES: Mapokezi ya Dr. Ulimboka na yaliyojiri

UPDATES: Mapokezi ya Dr. Ulimboka na yaliyojiri

Acha hizo! Hao walijua fika wanachokifanya. Sheria ichukue mkondo wake vinginevyo tutamsihi mungu wetu ambaye ni msikivu atoe hukumu sawa sawa na matendo yao kama hawatakiri hadharani na kutubu. Hiyo ndiyo sheria ya mungu! Tusidanganyane hapa

Hapa hatuna serikali
 
There are currently 715 users browsing this thread. (207 members and 508 guests)
:A S-coffee:
 
Si busara kujibizana na wehu! naona tuna mwehu humu jamvini, tumpuuze na kujinyea kwake!
 
Mwambieni mkulu arudi nyumbani,eti anakagua mashamba ya nanasi Ghana.ha ha haa
 
Kuna tetesi kwamba huyu kamanda wetu anapigiwa magoti na serikali (Ikulu) kwamba pindi atakapozungumza, asitaje kwamba Ikulu yahusika kutekwa na kupigwa kwake, kwamba amkane Rama. Nadhani kuna namna alivyotayarishiwa kujenga hoja hii.

Inasemekana mpango huu unaratibiwa na Mzee Mengi, kwani kama mnavyofahamu Mengi ametoa mchango mkubwa sana kifedha kwa ajili ya matibabu ya Dr Ulimboka. halafu pia inafahamika jinsi Mengi anavyomuabudu JK.

Kuna mambo mawili hapa: Ulimboka akikubali mpango huo, basi atakuwa amejimaliza, kwani TISS wataogopa kwamba kuna siku anaweza kuropoka na kusema yaliyo ukweli. Hivyo watahakikisha haishi muda mrefu.

Pili, bora aseme lile la ukweli kwamba Ikulu ilihusika kwani atakuwa amejiwekea kinga ya kutomalizwa maisha yake -- TISS wataogopa kwani kidole kita-point kwao kwamba ni wahusika wa kifo chake kwa kuwa atakuwa amewaumbua.

Nakiri tena hizi ni tetesi, lakini ni very plausible scenario.


Yes -- quite plausible. Siku zote huwa namuona Mengi kama ni kikwazo kikubwa cha ukombozi (2nd liberation) wa taifa hili. Pamoja na u-philanthopist wake na misaada mingine kwa jamii na kuonekana kupigana na ufisadii, lakini simwoni kama ni mtu wa wa kutaka mabadiliko.

Sijui kitu gani kinamfanya aamini kabisa kwamba CCM ndiyo inaweza kupigana na ufisadi kwa mfano.

Huyu jamaa haaminiki, ana mambo ya kichinichini sana dhidi ya wapenda mabadiliko ya kweli.
 
Zomba utakuwa ni mchawi wewe! Pamoja na pumba zako, you have crossed the line now! Kichaa ni hukohuko uzrmn kwenu!

Hakuna cha ku cross the line, kijitu kimoja kicheze na wagonjwa wetu maelfu kwa maelfu, halafu kitiwe adabu nyie mkionee huruma? roho za wangapi zimepotea kwa kukosa huduma ya madaktari. huyo hafai kuonewa huruma hata kidogo. Tena nasema waliomtandika, yeyote awae, kafanya kazi nzuri sana.

Yeye haja cross the line? anapohamasisha madaktari kugoma?

Huyo hukumu yake ni kifo, ashukuru mungu hao vijana walikuwa wanamtia adabu tu na hawakutaka kummaliza.

Atarudia?
 
Hakika kama Mungu akiwa upande wetu hakuna atakaye kuwa kinyume chetu. Hakuna silaha itakayo inuka juu ya wale wamtegemeao Bwana itakayo itakayofanikiwa. Karibu Dr. Ulimboka. Kwa watanzania wenzengu, uko wapi ushujaa wetu, uko wapi moyo wa uzalendo na mshikamano! Tunampokea Dr. Ulimboka kwa shangwe na kama shujaa na kweli ni shujaa.

Lakini yako wapi maagizo yake, uko wapi msimamo aliokuwa amesimamia hata kumfikisha hapo, Yako wapi yale aliyoyasimamia kwamba madaktari hakikisheni mnaungana kupata suluhu ya matatizo ya vitendea kazi vyenu, maslahi yenu na mzingira bora ya kufanyia kazi. Kuko wapi kumuunga kwetu mkono iwapo hakuna tulichofanikiwa hata sasa huku tukiwa tayari tumerudi kazini.

Je tumesahahu kuwa sivyo alivyotuhusia wakati anaangwa pale Uwanja wa ndege kwenda South Africa kwa matibabu. Je ni kweli aliteseka pasipo
UJUMBE WA KWELI, NA UNAHAMASISHA LAKINI MKONO WA BABA MWANAASHA UNATISHA ASIKUAMBIE MTU
 
Nasikitikakuwaarifu kuwa hakuna jipya aliloacha Dr. SU ambalo halijarekodiwa. Kilichobaki ni kukamilisha ushahidi na kuweka bayana kwa maneno yake mwenyewe.... Usalama wake ni juu ya MUNGU WAKE nanyi ndugu zake... waliobaki watakamilisha hesabu. Kwa Mungu haki huhesabiwa kwa dhahabu na fedha kama thamani ya binadamu...
 
Kurejea nyumbani ni jambo moja jema. Wasi wasi ni je hao akina Ighondu, Zoka na mabwana zao waliowamuru wamuue wataacha kujaribu tena ili kuondoa udhia? Je usalama wake umehakikishwa kisheria? Ni mapema kushangilia kwenye nchi ya kifisadi na kijambazi. Time will surely tell.
 
Hawa wauwaji kweli ITV, STAR TV na Chanel ten imekuwa habari ya kwanA TBC hata muktasari hakuna kama sio wahusika ni nini
 
Thank God for bringing back home dr. Ulimboka safely and healthy .GLORY TO GOD &SHAME ON THIS CORRUPT JAKAYA GOVT.
 
Serikali tafuteni hii kitu...
ct-scan.jpg

CT-Scan.jpg
 
Je habari maelezo walokuwa na hii habari au ilikua yakustukiza.
 
Jamani acheni Mungu aitwe Mungu. Hivi hii sirikali na washirika wao (mafisadi) hawamuogopi? Jinsi anavyopangua pasi zao kila wanapolikaribia goli? wakifuma penalti anapangua! yaani hawajiulizi tu? Wanashindana na Mungu aliyesema hatamwacha mwenyehaki wake aadhirike? Hata huyo shetani nguvu yake hawajui kapewa na MUngu? Hivyo anaicontrol kwa remote! Haya bana endeleeni kushindana na Mungu. Mimi mwenzenu namwogopa kama nini!
 
Back
Top Bottom