Unapojali watu...

Nikupe tip moja ya kurahisisha maisha. Hao marafiki zako wa kiume, share nao relationship yako kwenye issues ambazo ziko positive. Muongelee mpenzio, na wakutanishe. Na wakikutaka usipandishe vioo dramatically. Joke around it, mtanie kuwa wewe kimeo kunizidi hata hunifai etc. That way uadui hautakuwa na nafasi, unahitaji tu kuwa muangalifu na mazingira yasimshawishi sana.
Japo wapo maaluni. Nina rafiki tulikutana.comference mbali,tukawa tunawasiliana sana baada ya hapo. Tukakutana in a town kwa miezi miwili akiwa na wanae na wakanizoea hadi mama yao akanijua sana. Afterwards nashangaa ananitaka. Nikamuambia utaharibu urafiki. So huwa namtania unampa lini mkeo talaka nihamie huko kuishi na wanao? Inabidi tucheke tu.

Kuna mkaka wa ofisini alikuwa close na mie, akaanza kunitolea mimacho. Nikajiwekea ulinzi. Nikamtania na kuanza kumuita sweetie mbele za watu na kujitambulisha kama small house yake. Nikamtambulisha hadi kwa Paw wangu kuwa ndo mume mwenzie na nikamuambia na mkewe asihofu namlindia kazini (Paw usisome hapa baba eeh). 4 years later tuko marafiki wa shida na raha, na uwazi wetu unatuaminisha hatutateleza. Na nahakikisha hanisimulii stress za nyumbani kwake na mie stress zangu naweka kando kabisaaa
Miaka kadhaa ya kutosha...........halafu hili suala limekuwa sugu linajitokeza mara kwa mara
 
Hahaha, unanikumbusha kuna mkaka tunamtaniaga yeye wa kibisa manake hatumuoni na mtu. Mie nawaambia kamjaribisheni ila msilete matokeo,lol. Hata wa kibisa anaweza kushukiwa na roho mtaka vitu pakageuka uwanja wa mauaji.
hakunaga linyoka la maonesho
huwa yanakusanya nguvu tu.

hii tafsiri yake labda uende kwa babu kimbiji. Sijamuelewa manake mateka nae!
King'asti, hebu nitafsirie hapa
nshavuta yale makitu.
 
Last edited by a moderator:
hahaha Elizabeth Dominic ushauri wa dada yangu King'asti apo juu unadai uwakutanishe na mpenzi wako wafahamiane. Je inakuwaje kama huna mpenzi? utawakutanisha na nani?

Bottom line mi naona wooote hao hujavutiwa nao kimapenzi tu.....akitokea mmoja akauteka moyo wako mazima bhaaas ushauri wa hapa utakuwa tofauti kidogo

kama walivosema The Boss, Dark City na @FP....angalia saana mazingira unayowajengea...hakuna mwanaume mwenye akili zake timamu atakayeona shida kujaribu bahati yake. Ni KAWAIDA kabisa

Kuhusu kuharibu urafiki ;ukishamkatalia' ni dhahiri, kasema lara 1 kwamba lazima 'roho iume' kitu kutwaliwa mikononi mwa 'aliyekilea' bila mrabaha!

Morning!
 
Last edited by a moderator:
Nikupe tip moja ya kurahisisha maisha. Hao marafiki zako wa kiume, share nao relationship yako kwenye issues ambazo ziko positive. Muongelee mpenzio, na wakutanishe. Na wakikutaka usipandishe vioo dramatically. Joke around it, mtanie kuwa wewe kimeo kunizidi hata hunifai etc. That way uadui hautakuwa na nafasi, unahitaji tu kuwa muangalifu na mazingira yasimshawishi sana.
Japo wapo maaluni. Nina rafiki tulikutana.comference mbali,tukawa tunawasiliana sana baada ya hapo. Tukakutana in a town kwa miezi miwili akiwa na wanae na wakanizoea hadi mama yao akanijua sana. Afterwards nashangaa ananitaka. Nikamuambia utaharibu urafiki. So huwa namtania unampa lini mkeo talaka nihamie huko kuishi na wanao? Inabidi tucheke tu.

Kuna mkaka wa ofisini alikuwa close na mie, akaanza kunitolea mimacho. Nikajiwekea ulinzi. Nikamtania na kuanza kumuita sweetie mbele za watu na kujitambulisha kama small house yake. Nikamtambulisha hadi kwa Paw wangu kuwa ndo mume mwenzie na nikamuambia na mkewe asihofu namlindia kazini (Paw usisome hapa baba eeh). 4 years later tuko marafiki wa shida na raha, na uwazi wetu unatuaminisha hatutateleza. Na nahakikisha hanisimulii stress za nyumbani kwake na mie stress zangu naweka kando kabisaaa

Hii formula yako ni nzuri lkn inaweza isi apply kwa kila mtu.. kuna watu ni sugu balaa
 
kujali watu na kuwapenda, ule upendo wa agape siyo mbaya kabisa, na ndo urafiki. mtu hawezi kuwa rafiki yako kama humjali wala kumpenda. lakini matendo yako je yanafanana na mtu anayejali au kupenda kwa agape? au ndo kutega tu watu halafu ndo unasema unawapenda?

Upendo wangu wa agape dada FP i do not cross the line its them hawajui nini maana ya kuonyeshwa mapendo ya kirafiki
 
Last edited by a moderator:
Nikupe tip moja ya kurahisisha maisha. Hao marafiki zako wa kiume, share nao relationship yako kwenye issues ambazo ziko positive. Muongelee mpenzio, na wakutanishe. Na wakikutaka usipandishe vioo dramatically. Joke around it, mtanie kuwa wewe kimeo kunizidi hata hunifai etc. That way uadui hautakuwa na nafasi, unahitaji tu kuwa muangalifu na mazingira yasimshawishi sana.
Japo wapo maaluni. Nina rafiki tulikutana.comference mbali,tukawa tunawasiliana sana baada ya hapo. Tukakutana in a town kwa miezi miwili akiwa na wanae na wakanizoea hadi mama yao akanijua sana. Afterwards nashangaa ananitaka. Nikamuambia utaharibu urafiki. So huwa namtania unampa lini mkeo talaka nihamie huko kuishi na wanao? Inabidi tucheke tu.

Kuna mkaka wa ofisini alikuwa close na mie, akaanza kunitolea mimacho. Nikajiwekea ulinzi. Nikamtania na kuanza kumuita sweetie mbele za watu na kujitambulisha kama small house yake. Nikamtambulisha hadi kwa Paw wangu kuwa ndo mume mwenzie na nikamuambia na mkewe asihofu namlindia kazini (Paw usisome hapa baba eeh). 4 years later tuko marafiki wa shida na raha, na uwazi wetu unatuaminisha hatutateleza. Na nahakikisha hanisimulii stress za nyumbani kwake na mie stress zangu naweka kando kabisaaa

Hiyo nzuri sana na nadhani it can work........................lakini hawa ving'ang'anizi nitatupa kulee............nafungua ukurasa mpya yakija tokea nitatumia mbinu hiyo
 
Elizabeth Dominic nimeku-pm picha zangu waonyeshe!!!
Dat shud do the trick...af baadaye ukiwa na mmojawapo jus flash me ntakupigia ndo wajue am real!
ucpate shida na mm nipo...
v a lovely day my dia!!![/QUOTE
We Mentor kwani unadhani mtu akijua uko kwenye relationship ndio anaacha? ndio anakuwa kama motivated kuongeza juhudi
 
Last edited by a moderator:
hahaha Elizabeth Dominic ushauri wa dada yangu King'asti apo juu unadai uwakutanishe na mpenzi wako wafahamiane. Je inakuwaje kama huna mpenzi? utawakutanisha na nani?

Bottom line mi naona wooote hao hujavutiwa nao kimapenzi tu.....akitokea mmoja akauteka moyo wako mazima bhaaas ushauri wa hapa utakuwa tofauti kidogo

kama walivosema The Boss, Dark City na @FP....angalia saana mazingira unayowajengea...hakuna mwanaume mwenye akili zake timamu atakayeona shida kujaribu bahati yake. Ni KAWAIDA kabisa

Kuhusu kuharibu urafiki ;ukishamkatalia' ni dhahiri, kasema lara 1 kwamba lazima 'roho iume' kitu kutwaliwa mikononi mwa 'aliyekilea' bila mrabaha!

Morning!

Ah ha ha ha kaka Kaizer nimeona wamejua kuwa mimi ni single basi ndio wanajishaua kumbe kuwa single ni maamuzi tu it doesn't mean kuwa i'm looking, siezi angaika kuwa convince kuwa nina mwanaume kama ukiwa ni rafiki yangu nielewe kama nilivyo, like BAK said NO means simply NO hakuna njia nyingine
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha...........................usimpimie huyu mbabu, eti nimelaumiwa kwa kufungua moyo.....................

Sasa wewe ED, watu unawaonesha msosi wa nguvu...na wakati huo njaa wanayo tena sana ...Na hapo hapo hutaki kuwapakulia. Unategemea watakuelewa kweli?

Kwangu mie, liwalo na liwe....Siwezi kukubali kupata uclers bure kuishia harufu ya msosi tu wakati naweza kuweka order hata kama watakataa kuniletea full menu!!

kazi kwake sasa ED kama anataka kumpa na dinner, lakini kaombwa, ana haki ya kutoa au kukataa

Ila lolote atakaloamua, life will never be the same...The guys know this fact na ndiyo silaha wanayoitumia!!

kujali watu na kuwapenda, ule upendo wa agape siyo mbaya kabisa, na ndo urafiki. mtu hawezi kuwa rafiki yako kama humjali wala kumpenda. lakini matendo yako je yanafanana na mtu anayejali au kupenda kwa agape? au ndo kutega tu watu halafu ndo unasema unawapenda?

This view can be very correct...Watu wote hatuwezi kuwa na interpretation inayofanana especially tunaposoma picha!!

....Kufungua moyo si sawa sawa na kufungua zipu.

Source: Elizabeth Dominic

Sawa, ila huo moyo unamfungulia nani?

Ukinifungulia tu lazima kieleweke...otherwise tufanye paperwork mapema ili nijue stock zangu ni kiasi gani!!

Siwezi kulea mwana swala kwa ajili ya wengine eti kwa sababu wananizidi mbio...Kwani hata kama wana mbio zaidi yangu, wote si tunaweka msosi tumboni?

All animals are equal bwana....habari ya others are more than equal siwezi kuipa nafasi...lol!!

Kwa hiyo, ni lazima mtu ujaribu bahati yako. By the way, utategemeaje kupewa bila kuomba??

lakini pia asiwakatalie wote,amkubalie japo mmoja awe kinga yake!!!te te te ha ha ha!

Hilo nalo neno...Unawakatalia wote halafu unadai ni marafiki zako??

Huyu ED hayuko serious kabisa.....lol!!

Komaa na msimamo wako. Atakuja kuelewa mbele ya safari.

Una hakika na unayoyasema?

Unajua malipo ya mwanamume ambaye hakati tamaa?

Haya bwana, kalaghabaho!

Babu DC!!
 
Nikupe tip moja ya kurahisisha maisha. Hao marafiki zako wa kiume, share nao relationship yako kwenye issues ambazo ziko positive. Muongelee mpenzio, na wakutanishe. Na wakikutaka usipandishe vioo dramatically. Joke around it, mtanie kuwa wewe kimeo kunizidi hata hunifai etc. That way uadui hautakuwa na nafasi, unahitaji tu kuwa muangalifu na mazingira yasimshawishi sana.
Japo wapo maaluni. Nina rafiki tulikutana.comference mbali,tukawa tunawasiliana sana baada ya hapo. Tukakutana in a town kwa miezi miwili akiwa na wanae na wakanizoea hadi mama yao akanijua sana. Afterwards nashangaa ananitaka. Nikamuambia utaharibu urafiki. So huwa namtania unampa lini mkeo talaka nihamie huko kuishi na wanao? Inabidi tucheke tu.

Kuna mkaka wa ofisini alikuwa close na mie, akaanza kunitolea mimacho. Nikajiwekea ulinzi. Nikamtania na kuanza kumuita sweetie mbele za watu na kujitambulisha kama small house yake. Nikamtambulisha hadi kwa Paw wangu kuwa ndo mume mwenzie na nikamuambia na mkewe asihofu namlindia kazini (Paw usisome hapa baba eeh). 4 years later tuko marafiki wa shida na raha, na uwazi wetu unatuaminisha hatutateleza. Na nahakikisha hanisimulii stress za nyumbani kwake na mie stress zangu naweka kando kabisaaa

Ndo maana wewe ni Komando wa kweli,

Ila King'asti ukumbuke kuwa unapojihisi kuwa wewe ni mjanja, na wenzio nao wanajitahidi kuonesha ujanja wao.

I am sure siyo kila siku wewe ndo utaibuka mshidi. Itakuwa ni mwendo wa ndege mjanja........lol!!

Wosia ambao nilishawapa wajukuu zangu wenye biology iliyokamilika, ni kuendelea kujaribu bila kuchoka....

Kukata tamaa haipo kwenye package niliyowakabidhi...

Hivi yuko wapi mzee mwenzangu Asprin anipige tafu hapa?

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
hahaha Elizabeth Dominic ushauri wa dada yangu King'asti apo juu unadai uwakutanishe na mpenzi wako wafahamiane. Je inakuwaje kama huna mpenzi? utawakutanisha na nani?

Bottom line mi naona wooote hao hujavutiwa nao kimapenzi tu.....akitokea mmoja akauteka moyo wako mazima bhaaas ushauri wa hapa utakuwa tofauti kidogo

kama walivosema The Boss, Dark City na @FP....angalia saana mazingira unayowajengea...hakuna mwanaume mwenye akili zake timamu atakayeona shida kujaribu bahati yake. Ni KAWAIDA kabisa

Kuhusu kuharibu urafiki ;ukishamkatalia' ni dhahiri, kasema lara 1 kwamba lazima 'roho iume' kitu kutwaliwa mikononi mwa 'aliyekilea' bila mrabaha!

Morning!

Ulikuwa wapi na wewe Kaizer?

Naamini tungeshamaliza hii kazi ya kumsaidia ED asiwe bahili kupitiliza...lol!

Halafu tabia yako ya kupotea siyo nzuri mkuu. Wenzio tutakuja kuhisi kuwa umefichwa barabara ya 20 pale mjini Tanga na nguo zimelowekwa kwenye maji yenye hiriki, tangawizi na limao...kama barbecue vile!!

Aluta continua,

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Wanaume ni wagumu sana kuelewa.. hawana urafiki 'wa kawaida' hata siku moja. Hata akijifanya hana mpango siku moja atakugeuka tu. hawa ni ma - aquitance siku zote.

Halafu usithubutu hata siku moja kutoka na dume la namna hiyo halafu mkapiga kilaji hadi kulewa....

Haki ya nani kesho yake unaweza kukuta mitandao yote iko ON and USED....bila wewe mwenye ku-subscribe...!!

Achana na wanaume wewe!

Nina experience na wenye macho makavu tena hata hawajalewa..Lakn niliwashinda...usishtuke babu.....
 
Tatizo si kuwakatalia ni pale unapokuwa umejenga aina ya uhusiano na mtu naye kuharibu kwa kusoma vibaya jinsi unavyomjali, ni kama hakutegemea au kuthamini ule upendo na heshima unayompa naye kugeuza hayo kama vile ulimtaka......................hakuwa na lazima ya kunitaka lakini anasukumwa na mawazo yake potofu
mawazo yake potofu ndio yanayomfanya awaze upumbavu wake lakini wewe kama binaadamu una roho njema na akili zilizo sawa.mwambie ukweli kama haelewi tupa huko kwanini kukaa na mtu ambae haelewi.
 
Hiyo nzuri sana na nadhani it can work........................lakini hawa ving'ang'anizi nitatupa kulee............nafungua ukurasa mpya yakija tokea nitatumia mbinu hiyo
we eliza wewe utaniudhi kama haelewi anazidi kung'ang'ania tupa kule,vipi kujipatia stress zisizo na msingi tupa hata jalalani uchafu huo.
 
Nina experience na wenye macho makavu tena hata hawajalewa..Lakn niliwashinda...usishtuke babu.....

Sawa kabisa ZD,

Naamini ED atasoma hapa....Yaani kama tu anakomaa wakati wote mko wazima kabisa...Imagine mmeshapata kama viroba vitatu...si itakuwa balaaa!!

Anyway..we men are special in the sector and that is our own profession!!

Babu DC!!
 
Back
Top Bottom