Unapojali watu... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Unapojali watu...

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Elizabeth Dominic, Oct 8, 2012.

 1. E

  Elizabeth Dominic Platinum Member

  #1
  Oct 8, 2012
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 4,547
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Nimeshindwa mtu wa kuzungumza naye kuhusu hili sababu naona linanizidi kidogo na kuni overwhelm kwa namna flani sababu limenitokea mfululizo
  Namjali kila moja kwa jinsi ninavyoweza na pia huwaeshimu kwa kuwachukulia ni kwanza ni binadamu wenzangu na pia ni kama marafiki pia kwasababu mazingira ya kazi yametufanya tuwe pamoja kila siku au matukio fulani yalituunganisha njia zetu.
  Lakini ndugu hawa kwasababu nawaonyesha upendo wa hali ya juu ambao hawakudhani wataupata kwa dada mimi bila kutegemea chochote kutoka kwao basi wao wakasoma tofauti na kudhani kuna hisia za mapenzi ya ziada na kuanza kujaribu kuchombeza na pale ninapowaeleza kuwa hivi ndivyo jinsi nilivyo na hakuna ziada zaidi ya upendo wa kibinadamu hutahayari na kushtuka kuwa mahusiano yetu hayatakuwa kama mwanzo.
  Niache kujali? niache kuwa binadamu mwema kwa wenzangu kwa kuhofia kero za kutongozwa na kuharibu mahusiano niliyoya cherish? Ni vipi unashindwa kuthamini pendo lisilohusisha ngono?
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Oct 8, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  kwa ufupi mwanume yeyote rijali
  ambae umeshaamua kuwa 'hutampa'
  kaa nae mbali
  kuepusha yoote haya
   
 3. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #3
  Oct 8, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,496
  Likes Received: 81,812
  Trophy Points: 280
  ...Usiache kujali, kutongozwa kwa mwanamke ni jambo la kawaida sana lakini si kila anayekutongoza lazima umkubalie ni kiasi cha wewe kumuelewesha tu kwamba hupendi kujiingiza katika mahusiano ya kimapenzi na huyo muhusika kwa sababu moja au nyingine wengi watakuelewa na kuacha madodoso yao ya kukutongoza.

   
 4. E

  Elizabeth Dominic Platinum Member

  #4
  Oct 8, 2012
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 4,547
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Tatizo si kuwakatalia ni pale unapokuwa umejenga aina ya uhusiano na mtu naye kuharibu kwa kusoma vibaya jinsi unavyomjali, ni kama hakutegemea au kuthamini ule upendo na heshima unayompa naye kugeuza hayo kama vile ulimtaka......................hakuwa na lazima ya kunitaka lakini anasukumwa na mawazo yake potofu
   
 5. E

  Elizabeth Dominic Platinum Member

  #5
  Oct 8, 2012
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 4,547
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Nikae mbali na wafanyakazi wenzangu, nikae mbali na rafiki wangu wa muda mrefu, nikae mbali na niliyeamini ni mshauri wangu wa kiroho.............yaani its terrible
   
 6. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #6
  Oct 8, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  Nikwambie kitu
  mwanaume hatongozi bahatimbaya
  probably toka mwanzo alipanga kukutongoza
  sasa keshakutongoza na umekataa
  basi kubali kuwa mahusiano yamebadiilika
  funga vioo tu sasa,bila kujali ni nani
   
 7. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #7
  Oct 8, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,496
  Likes Received: 81,812
  Trophy Points: 280
  ...Hili unalosema ni kweli kabisa. Wakati mwingine kujali kwako na kumheshimu muhusika kunaweza kuonekana kama vile ungependa kuwepo na uhusiano zaidi ya ule ambao tayari upo kati yenu. Jaribu tu kumuelewesha labda atakuelewa na mkabaki na uhusiano ambao wewe unaoutaka na siyo ule wa kimapenzi ambao muhusika anataka uwepo kati yenu.

   
 8. m

  mwanamabadiliko JF-Expert Member

  #8
  Oct 8, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 441
  Likes Received: 340
  Trophy Points: 80
  Usipende watu kwa kuwa karibu nao sana, unapaswa kupenda kwa kuheshim ili watu wasikuone unahisia nao na kukutongoza. Labda ufanye hivo kwa wanawake utaeleweka. Fanya wanaume wakuheshmu kama dada. Mama huruma we- ukimpenda mwanamume na K Mpe vinginevo jua wewe si shangaz yake asikutongoze. Halafu labda we mtoto mzuri ndo mana
   
 9. E

  Elizabeth Dominic Platinum Member

  #9
  Oct 8, 2012
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 4,547
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Duh! kwakweli lakini inaniachia simanzi na leo ndio kabisa moja nimemuita na kumkanya kwasababu ameharibu mahusiano hata ya kikazi kwa kuvuka mipaka sasa kaniacha hoi kwa kunieleza yuko radhi kibarua kiote nyasi, i'm really uncomfortable right now kwakuwa he is on my face like everyday
   
 10. E

  Elizabeth Dominic Platinum Member

  #10
  Oct 8, 2012
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 4,547
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Moja nimemueleza, mwengine sijui hata kwa kuanzia kwani huyo nilimchukulia kwa namna ya pekee na ndiye aliyekuwa my confidant ebu can you imagine?
   
 11. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #11
  Oct 8, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280

  huna jinsi
  funga vioo tu sasa
   
 12. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #12
  Oct 8, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,121
  Trophy Points: 280
  Wnaume vimbe wazitooo hao, hawabebeki! UKIWAPA MRAHISI, CHA WOTE, MAHARAGE YA MBEYA!!! UKIWANYIMA UMEWADHARAU! UMEWAONA MIZOMBIII! UJIFANYA UKO JUU, MSHAMBA!. Inshort wanaume HAWANA JEMAAA! We unaeamua KUMPA mpee, USIETAKA BAAAAAASS! LAWAMA HAZIISHI!!!
   
 13. E

  Elizabeth Dominic Platinum Member

  #13
  Oct 8, 2012
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 4,547
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Done......
   
 14. E

  Elizabeth Dominic Platinum Member

  #14
  Oct 8, 2012
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 4,547
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Halafu ukiwanyima wanakugeuza adui na huku mlikuwa mabeste...............hata sielewi
   
 15. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #15
  Oct 8, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Chuna kama unaona wanakusumbua au kukuchukulia kama open cheque. Kwa ufupi watu wanaodhani unawachombeza hawana maana. Hatuwezi kwa kufikiri kingonongono. Muhimu wape live kuwa wewe unajiheshimu na kupenda watu bila ujira. Wakizidi wambie una mchumba nadhani hii itakata nyodo na umbea.
   
 16. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #16
  Oct 8, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,121
  Trophy Points: 280
  Hahahaaaa! Hasira za MKOSAJI HIZO!!! Yaani aone KIDUDE kinaliwa na watu wengine, afurahiii tu!!! LOL! Dawa yao moja tu, ukikaa nao toka mwanzo unawatahadharisha una mtu, unampenda sanaaa! Full kuwaringishia! Ukijifanya usiri, wanaona nafasi iko wazi!
   
 17. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #17
  Oct 8, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,693
  Likes Received: 12,742
  Trophy Points: 280
  Naunga mkono hoja!

   
 18. E

  Elizabeth Dominic Platinum Member

  #18
  Oct 8, 2012
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 4,547
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Ha ha ha...........ukiwaambia una mchumba ndio wanaongeza maspidi.................lakini imekula kwao wamepoteza rafiki wa kweli
   
 19. E

  Elizabeth Dominic Platinum Member

  #19
  Oct 8, 2012
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 4,547
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Inabidi nikutafute unifundishe ugaidi.........teh
   
 20. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #20
  Oct 8, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,693
  Likes Received: 12,742
  Trophy Points: 280
  Hapo kwenye Zombiii ndio nooma!

   
Loading...