Unapojali watu...

Exactly! mimi nina udhaifu wa kulet people in, ni mtu matani and i'm all about loving life so i have this easiness about me kwahiyo watu wananichukulia poa which is not bad but wanavuka mipaka at times

Nimekuelewa sasa ED,

Kumbe masikini mko kwenye levels tofauti...Wakati wenzio wanawinda wewe unawachukulia kama watazamaji wenzio...

Pole sana....Kama hauko kwenye mawindo...kaa mbali na wenye silaha zao tena risasi zikiwa kwenye chemba...They will shoot any time without prior notice...Na ndicho kinachokupata!

Babu DC!!
 
King'ang'anizi kimeng'ang'ana tu mpaka kieleweke lol! Kila kikimcheck mtoto Eliza alivyoumbika kinasema habwagi mtu manyanga hapa!!! :)

Asante sana...........huyu wa kazini nimejaribu kumuweka sawa, lakini naona king'ang'anizi but you have a point nimemwambia regardless of his feelings lazima kazi ifanyike hakuna fikra mbaya nikuwekana wazi tu na kila moja ana uchaguzi wake
 
ED Please.........,

How many times do I have to say this?

Hao ni wanaume na siyo sanamu...unakuwa na ukaribu nao kiasi hicho kwa sababu gani?

Halafu unasema eti unapiga nao story hadi 2hrs at night?

I would never allow my self to be taken for granted kiasi hicho!!

Nita-hit hata kama sitapata target....bora lawama kuliko hasara!!

Pole lakini...kupotea njia ndio kuijua..hahahahahahahah!!

Babu DC!!

We mbabu wewe, mweh! kwani kumbe kila mfanyacho mnataka kuwa rewarded........................kuna tatizo kweli kufungua moyo kwa rafiki na kumkaribisha mpokeane mlivyo, no string attached? mi siogopi ukaribu ni madhaifu tu ndio uwa intimidated kitu kizuri kama hicho na kujiona hawastaili na kuishia kuharibu
 
Babu DC umenikumbusha mkaka moja, yeye alikuwa ni rafiki mzuri na alionyesha kila dizaini ya kunipenda lakini kwakuwa nilikuwa sim feel sikuwa namuelewa, kwahiyo nilitwaliwa kabisa mikononi mwake chini ya uangalizi wake........hasa nilipokuja achika ndio nae akafunguka na kueleza machungu yake kuwa mshikaji kaja kumpokonya halafu hata hivyo mshikaji hakuwa na mapendo ya kweli kama ya kwake, mimi nikamuuliza kwanini hukufunguka kitambo kile unakuja kusema sasa maji yashamwagika

Hayo ndiyo watu hawayataki,

We waache wajaribu bahati zao bwana..mwenda bure si mkaa bure...!!!

Babu DC!!
 
We mbabu wewe, mweh! kwani kumbe kila mfanyacho mnataka kuwa rewarded........................kuna tatizo kweli kufungua moyo kwa rafiki na kumkaribisha mpokeane mlivyo, no string attached? mi siogopi ukaribu ni madhaifu tu ndio uwa intimidated kitu kizuri kama hicho na kujiona hawastaili na kuishia kuharibu

Eti nini ED?

Huyo uliyemfungulia moyo wako ni nani?

Mie sijapenda hiyo kitu ya kumfungulia moyo mtu ambaye mko kwenye urafiki wa kawaida tu...tena awe ni dume la kweli.

Hata ningekuwa mimi ningefanya hivyo hivyo...samahani sana, naomba unielewe tu dada!!

Babu DC!!
 
Duh! hii sasa inakuwa karaha kubwa!!!

Ni karaha lakini nafikiri itakuja kuishia tu jinsi nitavyompuuza mwisho wa siku yuko wapi yule rafikiyo ukiwa na shida yuko tayari kukusikiliza wakati wowote? utapata wapi zile moments mlizofurahi pamoja bila ya wasiwasi? Unakuta umepoteza zaidi kwa hisia zipitazo. Nakwambia BAK you can always tell mtu anayesukumwa na hisia/tamaa za kupita na yule mwenye mapenzi ya kweli
 
Last edited by a moderator:
Wnaume vimbe wazitooo hao, hawabebeki! UKIWAPA MRAHISI, CHA WOTE, MAHARAGE YA MBEYA!!! UKIWANYIMA UMEWADHARAU! UMEWAONA MIZOMBIII! UJIFANYA UKO JUU, MSHAMBA!. Inshort wanaume HAWANA JEMAAA! We unaeamua KUMPA mpee, USIETAKA BAAAAAASS! LAWAMA HAZIISHI!!!

komaa mwangu husimpe mtu, hata akikulilia machozi ya damu. Funga vioo utambae mbele mwanakwetu ndiyo heshima kwa mwanamke. Ukijaribu umekwisha!
 
Eti nini ED?

Huyo uliyemfungulia moyo wako ni nani?

Mie sijapenda hiyo kitu ya kumfungulia moyo mtu ambaye mko kwenye urafiki wa kawaida tu...tena awe ni dume la kweli.

Hata ningekuwa mimi ningefanya hivyo hivyo...samahani sana, naomba unielewe tu dada!!

Babu DC!!

Sasa Babu na kuishi kote huko unadhani kufungua moyo ni sawa sawa na kufungua zipu? Moyo unafunguliwa kwa hisia mbalimbali, mimi kwangu kufungua moyo kwa mapendo ya kirafiki sio ishu.......sasa kama wewe hujui kupendwa na binadamu mwenzio, utakuwa dhaifu
 
Ni karaha lakini nafikiri itakuja kuishia tu jinsi nitavyompuuza mwisho wa siku yuko wapi yule rafikiyo ukiwa na shida yuko tayari kukusikiliza wakati wowote? utapata wapi zile moments mlizofurahi pamoja bila ya wasiwasi? Unakuta umepoteza zaidi kwa hisia zipitazo. Nakwambia BAK you can always tell mtu anayesukumwa na hisia/tamaa za kupita na yule mwenye mapenzi ya kweli

Anajua kuwa kwa kumpiga chini, lazima ufanye maamuzi magumu...Ndo mtaji wake huo dada!

Ukifanya mecho kidogo...next time wewe ndo unaanza kusumbua kwa kuwa atakuwa keshamaliza homework yake!!

Babu DC!!
 
Done......
sikulitegemea hili jibu. for God's sake, we are human beings not animals. mungu alituumba na akili na UTASHI. ni juu yako kuamua lipi nalitaka na lipi silitaki. utakaa mbali na wangapi? siku hizi hata baba zetu wanatutongoza, utakaa naye mbali pia?
kwani hao wanaume hawaelewi neno hapana? mbona huwa ni waelewa sana? tena kwa experience yangu mimi, kama mkaka akikutongoza na ukimkatalia kwa good reasons wanaelewa na heshima inapanda kuliko hata ungempa. kukimbia siyo best option my dear, ongea nao tu
 
Hakuna karaha hapo BAK,

Jamaa anaonesha msisitizo kwamba yuko serious....Akiachia hivi hivi atakuwa amejivunjia heshima zaidi!!

Babu DC!!

Heshima haijengwi chupini, sasa ndio hapo unapoweza kuwagundua wafujaji kutoka kwa wanaume wa kweli. Kwa haki akikulilia hali unaona kabisa jamaa kafa, kaoza huo ushujaa wa kitandani hamuna kitu
 
sikulitegemea hili jibu. for God's sake, we are human beings not animals. mungu alituumba na akili na UTASHI. ni juu yako kuamua lipi nalitaka na lipi silitaki. utakaa mbali na wangapi? siku hizi hata baba zetu wanatutongoza, utakaa naye mbali pia?
kwani hao wanaume hawaelewi neno hapana? mbona huwa ni waelewa sana? tena kwa experience yangu mimi, kama mkaka akikutongoza na ukimkatalia kwa good reasons wanaelewa na heshima inapanda kuliko hata ungempa. kukimbia siyo best option my dear, ongea nao tu

Sasa dada FP mtu amekwenda mbali nakuomba mahusiano ya mapenzi unadhani mahusiano ya urafiki yatakuwa kama mwanzoni? ukiendelea kaa nae karibu na hali kuna that "big elephant in the room" kweli inakuja? Heri kujiweka mbali kuepuka ile awkwardness
 
Ulikuwa wapi wewe @FP,

Mie namweleza huyu ED...eti anawafungulia moyo marafiki wa kawaida halafu ni wanaume....

Duuuuuhhhh...hapo hata mie ningeuvaa mkenge!!

Babu DC!!
 
Sasa dada FP mtu amekwenda mbali nakuomba mahusiano ya mapenzi unadhani mahusiano ya urafiki yatakuwa kama mwanzoni? ukiendelea kaa nae karibu na hali kuna that "big elephant in the room" kweli inakuja? Heri kujiweka mbali kuepuka ile awkwardness
ndo nimekuuliza utajiweka mbali na wangapi?
kama ulivyoanza hao watu wengine ni wakaribu sana na wewe na wanacontribute positively in your life, utakaa naye mbali tu sababu kakuomba mahusiano? kakubaka? huyo mtu anajua kuomba kuna kupewa au kukataliwa, sasa kwa nini umkimbie ukimkataa? labda kama yeye ndo ataamua kukaa mbali sababu kanyimwa, lakini wewe huna sababu ya kukaa naye mbali sababu umemnyima, unless useme kuwa nawe unavutiwa naye so unaogopa mwisho wa siku uta-fall
 
Anajua kuwa kwa kumpiga chini, lazima ufanye maamuzi magumu...Ndo mtaji wake huo dada!

Ukifanya mecho kidogo...next time wewe ndo unaanza kusumbua kwa kuwa atakuwa keshamaliza homework yake!!

Babu DC!!

We Babu unaonyesha we mkamiaji............na una kidaftari chako kimechorwa position zote na mbinu za ukabaji kama cha makocha........................yaani sikuwezi......lol
 
Back
Top Bottom