Unapojali watu...

BAK nakubali hata mdada inaweza tokea kuanguka kwa rafiki wa muda mrefu lakini kuna rank ya urafiki na mazoea ambapo mtu anatoka kwenye urafiki anakuwa kama 'kaka'

sasa kaka anapoanza 'kengeuka' kwa hisia, it's sad.

Fika huwezi msaidia, na hutaki mpoteza maana hata familia zenu zinafahamiana.
Waweza vunja urafiki, lakini why??

It's sad!

Mtambuzi, wala siharibu, lakini ni kitu nimekiona jana na leo na bado cha moto kichwani.

mmhhhh nini hiko cha moto?
is that serious?
 
Pole mamaa. Inatokea all the time, ni afadhali umemkataa uadui wake sio sawa na mngekuwa wapenzi afu mkakosana. Mapenzi huhaeibu urafiki. He is a grown up, he will get over it. Mpe muda tu, urafiki utarudi japo si katika level ilw tena.
 
...Inakuwa ngumu sana. Na mara nyingi dada wa namna hii ni yule ambaye hana mafanikio katika uwanja wa kimapenzi kiasi ambacho amefikia kukata tamaa...Sasa anakugeuzia kibao kama rafiki kwa sababu tu mnaelewena sana kama marafiki na mmefahamiana kwa muda mrefu hivyo anaomba muingie katika mahusiano ya kimapenzi ambayo ni zaidi ya urafiki wa kawaida.

BAK nakubali hata mdada inaweza tokea kuanguka kwa rafiki wa muda mrefu lakini kuna rank ya urafiki na mazoea ambapo mtu anatoka kwenye urafiki anakuwa kama 'kaka'

sasa kaka anapoanza 'kengeuka' kwa hisia, it's sad.

Fika huwezi msaidia, na hutaki mpoteza maana hata familia zenu zinafahamiana.
Waweza vunja urafiki, lakini why??

It's sad!

Mtambuzi, wala siharibu, lakini ni kitu nimekiona jana na leo na bado cha moto kichwani.
 
BAK, ngumu mno basi tu.

Bora ukianza kumtamani rafiki wa muda mrefu omba likizo ya kuonana naye mara kwa mara hadi shetani apite.
 
Last edited by a moderator:
wewe hujanielewa i guess
mimi napinga wao kukasirika wewe kuwakataa
sipingi wao kukutongoza
walichotakiwa kufanya ni kukubali wamekukosa
na maisha yaendeleee.....

Nishakusoma..........ishu kwanini atongoze isipo lazima kwa kusoma ovyo hisia zako na si kwamba amekudondokea kivileee ni kuwa tu ashajua your vulnerability
 
..Ndo hapo shetani naye akatae kupita lol!...halafu huyo rafiki mko ofisi moja au ofisi za jirani.

BAK, ngumu mno basi tu.

Bora ukianza kumtamani rafiki wa muda mrefu omba likizo ya kuonana naye mara kwa mara hadi shetani apite.
 
Ushujaa wa kuvua pichu labda

Ninavyofahamu mimi, shujaa ni yule mwenye ujasiri wa kuthubutu, sasa kama mtu unathubutu hilo ni kosa? kumbuka katika kuthubutu kuna kufanikiwa na kutofanikiwa, lakini kutofanikiwa ni hatua muhimu kuelekea katika kufanikiwa kwani hapo mtu unakuwa umejifunza somo kubwa maishani............
Na somo hilo litakusaidia kutorudia kosa siku nyingine utakapokuwa unathubutu.....LOL
 
Pole mamaa. Inatokea all the time, ni afadhali umemkataa uadui wake sio sawa na mngekuwa wapenzi afu mkakosana. Mapenzi huhaeibu urafiki. He is a grown up, he will get over it. Mpe muda tu, urafiki utarudi japo si katika level ilw tena.

Toto lina akili hili..... Namshukuru Mungu kwa kuzaa chema...
 
he he he, hatuko ofisi moja ila eti hali halali kwa kuniwaza mie.

Akiniwaza tu anamaliza kichane cha ndege.

Uzuri hajasema kama ameoteshwa.

..Ndo hapo shetani naye akatae kupita lol!...halafu huyo rafiki mko ofisi moja au ofisi za jirani.
 
Ninavyofahamu mimi, shujaa ni yule mwenye ujasiri wa kuthubutu, sasa kama mtu unathubutu hilo ni kosa? kumbuka katika kuthubutu kuna kufanikiwa na kutofanikiwa, lakini kutofanikiwa ni hatua muhimu kuelekea katika kufanikiwa kwani hapo mtu unakuwa umejifunza somo kubwa maishani............
Na somo hilo litakusaidia kutorudia kosa siku nyingine utakapokuwa unathubutu.....LOL

Kwahiyo ushujaa kumbe haupimwi na aina ya tendo utendalo alimuradi you are persistent...................mfano kuna shujaa wa kuhonga mademu.............lol
 
...Haya bana ngoja aanze kutafuta kazi hapo kwako :) au ofisi ya jirani ili iwe rahisi kwake kukamilisha lengo lake.

Back
Top Bottom