Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,187
- 42,011
Kwani urafiki wenu una mda gani?
Sawa hiyo haikataliwi lakini kwakuwa nikaribu na mhusika nimesoma kabisa kuwa huyu hakuwa na sababu za ukweli na uzito kuleta mapenzi ni kuwa tu ameona ile care and attention unampa hivyo akawaimislead kuna ziada, mfano atasema huyu mdada ananisikiliza kwenye simu hata kwa zaidi ya masaa 2 na hunipa maneno mazuri ya faraja na kunitia nguvu pia hunieleza kwa hali ya ukweli wa moyo wake basi hudhani ile bond mliyojenga ni kitu kingine kumbe its simply that kuwa ni moyo wako kuwa uko wazi na wa ukweli basi hudhani ana access ya kutumia vibaya ule moyo wako