Unapochat na mume/mke wa mtu usiku mzito

Unapochat na mume/mke wa mtu usiku mzito

Niko wozap tayari mama...... kwa ajili yako tu.

Sema utakacho nikutendee....

Kitu kimoja ambacho hujakijua: Nilikupenda kabla hujajua kupendwa. Na hutaachwa kupendwa wakati nikiwa bado hai.

Na hayo maneno anapewa huku ukiwa na mchepuko pembeni. Bazaz katika ubora wake
 
Mapenzi upofu haoni kabisa, hakawii kusema mimi mchonganishi. Ila niseme nini tena hata mimi nina moyo, namsubiria kama fisi anayesubiri mkono wa binadam udondoke
Hahahha hapo kwa cacico, utasubiri sana. Hiyo ni mali yangu peke yangu!!
 
Last edited by a moderator:
Jamani hii kuchat na mke/mme wa mtu imeharibu ndoa nyingi sana. Kisa kujifanya wanaondoleana stress so bad. Ndoa ziheshimiwe na watu wote. Nawakemea kwa JINA LA MUNGU ALIE HAI WAVURUGA NDOA WOTE,wanaojifanya kuchat na waume/wake za watu eti just for company au for relief. Wameharibu ndoa nyingi na kusababisha matatizo mengi sana ktk ndoa mf. Waume/wake kuwapuuza wenza wao.wamewangiza wahusika ktkmitego mikubwa hata kuwatumia picha za kuonyesha maumbile yao ili kuwatega. Wewe mwanamke unaefanya hivi ushindwe kwa jina la Yesu

Walegeee
 
hubby wa mimi ni kuhusu mashamba y azabibu kule chamwino! ndio haswaaaa tulikuwa tunachat na shemeji Kaizer! mume wa mimi, hebu kuja wozap, japo kuna sheria mpya ya matusi ila naomba unitongoze upyaaaaa! nna hamu tu mimi!

halafu umwambie ni wakati wa mavuno sasa, tupo shambani tunavuna. Zabibu 'zinalipa'
 
FaizaFoxy hakosekani jukwaani usiku wa manane.
 
Last edited by a moderator:
Eti ukiulizwa kirahisi tu unajibu sisi ni marafiki wa kawaida.

Jamani urafiki gani huo na mke/ mume wa mtu usiku wa matisa?

Cha mtu huliwa na mtu na chuma ndicho huliwa na kutu.

Huyo mume/mke hajui yuko ndoani au??

Eeeembu nipshee miee
 
halafu umwambie ni wakati wa mavuno sasa, tupo shambani tunavuna. Zabibu 'zinalipa'
hahahahaha shemeji usinvunje mbavu, maana baada ya utumbo wa dr slaa jana, mbavu sina tena zilizosalia wallahi! Ni ndoto hiyo shemeji niliota!
 
Mpe Uhuru Achati Hadi Asubui,na Ukitaka Awe Na Aibu Na Wewe Tafuta Wa Kuchati Nae Na Hadi Unacheka Sana Na Kutabasamu.Afu Hela Ya Meza Mkiamka Unaacha2000
 
mmh! hyo ni hatar xana maana kadr mtakavyo endelea kucht, kibao kinaweza kubalka mkaombana michezoooo!
 
Nimekubamba unachepuka we mwanamke. Sasa utakoma......
atoto my beibe wea a yuu?

Unadhani nachepuka basi bebiii? Akaa... Sichepuki bana, nilitaka tu nimwambie anikome kunipigia usiku ukiwa bafuni
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom