Mke awaunga kwenye Group moja michepuko 7 wa mume wake

Mawele

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2023
Posts
934
Reaction score
3,250
Habari wana Jukwaa

Wifi yangu mmoja ambaye ni mke wa Kaka yangu wa hiari amefanya jambo moja ambalo mume wake amejikuta mtu kati kwenye group la Wasap baada ya mke wake kuchukua namba za michepuko 7 wa mume wake na kuwaweka pamoja.

BAada ya kuwaweka kwenye group, alimuweka mume wa mwisho huku akishare screeshot za chat za meseji za kila mwanamke pale alizokuwa akichat na mume wake.

Kumbe mwanamke alikuwa amejua password ya mume wake na alikuwa anajichukulia ushahidi kimya kimya, baada ya wanawake kujiona na picha zao ugomvi ukaanza maana kila mwanamke alikuwa kaahidiwa ndoa na hawakujua kama kaka ana mke na watoto 3 tayari kwa mke wake.

Mwanaume aliamua kutoka kwa grupu na mke akawa anamrudisha apokee vichambo vyake.

Hali bado ni tete kwani mke alipoona sasa yatosha alijitoa kwenye grupu na kuwaachia ugomvi.

Kasheshe iko kati yake na mume wake sijui watayamalizaje kwani mume aliporudi nyumbani jana hakumkuta mke na simu hapokei hata ya ndugu zake hapokei na hatujui kaenda wapi.
 
Sawa.

Ila hayatuhusu.
 
Back
Top Bottom