Faiza foxy mpenzi.........hebu rudi chumba fasta banaaa tuendelee na round ya nne......yaani umeingia toi na simu umeanza kujibizana jf ukadhani sikuoni........hebu rudi huku kabla jongoo hajashuka mtungi.............
Last wiki nilikuwa na chat na mke wa mtu, mme wake akanishtukia, alimtandika makofi hadi uso uka vimba. We were just friendsl sasa mwanamke ameniomba tufanye kweli, kwa sababu anaona kama amentantaswa na kudharirishwa.
Binafsi sijaridhishwa na hatua hiyo, kwani yeye ndo alianza kuni sms nilishtuka nikamuuliza inakuwaje ana sms usiku, akasema mme wake hatupo na atachelewa kurudi. Sasa sijui ilikuwaje akabambwa.
Kwa kweli nitabia mbaya kuchat usiku kama uko na mpenzi au mwebza wako.
Je kama tunachat mambo ya ujasiriamali?
Umenikuna yani nimejisikia raaaha kusoma hii comment yako
Eti ukiulizwa kirahisi tu unajibu sisi ni marafiki wa kawaida.
Jamani urafiki gani huo na mke/ mume wa mtu usiku wa matisa?
kaka kuna jambo ambalo nimejiapiza....hata kama tulikuwa marafik mtu akishakuwa mke wa mtu mazoe yanastahili kuwa na mipaka kwa maana hata mimi kuna mambo ambayo singependa yatokee kwa mke wangu...hata mwanaume akishakuwa na familia kuna ukomo wa tabia anaostahili kuwa nao na aina ya marafiki!
Kimsingi hakuna urafiki wa kuchati na mume/mke wa mtu usiku...ni tabia mbaya