Siyo usiku tu, hata mchana kuchat chat na mme/mke wa mtu ni kosa.
Mnaulizana vitu basic na kujibizana, siyo kuchat ujinga.
Ha ha ha ha ha ha ha haaaaaa...
Poa bhana
Siyo usiku tu, hata mchana kuchat chat na mme/mke wa mtu ni kosa.
Mnaulizana vitu basic na kujibizana, siyo kuchat ujinga.
Ha ha ha ha ha ha ha haaaaaa...
Poa bhana
Duh, umetokea huku tena!
Kuna watakatifu wengi sana kwenye huu uzi
Tabia siiiiiiipendi hii na ole wako cku tukikutana wewe unaetuma sms kwa mume wangu ucku kwa kisingozio cha mnasoma wote
Nakupend zaidi...
Nina hamu ya kusikia sauti yako inafananaje swahiba
Hahaaa nipigie simu basi unisikie!!!! ila hapana usipige swahiba, manake sauti yangu ilivyo mbaya utaghairi kunipenda hata kabla ya kuonana nami live
Halafu kwanini we huchatigi na mimi usiku?
Usiku kama huu swahiba?? Mimi huwa nasinzia mapema san
Au unakuta umelala na mpenzi wako mko faragha gafla cm ya mpenz wako inaingia sms,kitakachotokea mpenz wako anakurupuka kutoka kitandan Anaenda kuiwah ile cm na akishaishka anasoma sms na Kuifuta faster ili usiione!Jee ni haki?
mito swahiba wangu haya yote ni maisha naomba game ili iwe kweli atii...