Unapochat na mume/mke wa mtu usiku mzito

Hivi mtu anaanzaje kuchati na mke/mme wa mtu ili hali yupo ndoani? Khaa huko kutafutana ubaya inamana hana muda wa kuongea na huyo mumewe/mkewe? Aisee tabia mbaya kabisaaaa!!

Mida hii nachat na jamaa zangu wa shule zama hizo. Wengi wao wapo kwenye ndoa ili hali bado nipo nipo sana
 
Kulaumu wenza kwa kuchepuka na kuchat si sahihi. Siku hazifanani,haiwezekani ukawa unamfurahisha mkeo/mmeo kila siku. Kuna muda mtafarakana. Basi isiwe sababu ya wewe kuanza ku-chat na wanawake/ume wengine eti kutafuta relief.Kama huwezi kutatua matatizo ya ndoa yako ndani mwako basi hufai kuwa mume au mke. Ni bora uachane ili uweze kuchat na kuflirt vizuri na watu wa nje tena kwa amani. You cant have the best of both worlds. Binafsi nina chat na wake za watu kadhaa ila wote kusema ukweli we flirt na they all send me snaps and vnotes za mapenzi. I must confess I have screwed them kwa kuwa hizi platform za social media kama whatsapp zinatengeneza mazingira mazuri ya kumuandaa mwanamke kisaikolojia. Ukiweza kumteka mwanamke kiakili, suala la kumvua chupi ni kama kumsukuma mlevi utelezini. Mnapokutana unakuta tayari yuko wet, basi unafanya kama kumsukuma mlevi.

Ni tabia hovyo sana na siipendi. Hakuna urafiki baina ya mtu na mke/mume wa mtu, tusidanganyane. Kama unamheshimu mwenzi wako, acha hii tabia. Na kama huwezi, achika ili uende kupata nafasi nzuri kufanya mambo yako. Wake za watu wote ninaochat nao usiku nina uhusiano usio sahihi mbele ya jamii na mbele ya Mungu. Tuache kujidanganya.
 
Kwa mtaji huu tunarudi kuleeee....wanawake hawajitambui
 
Mkuu hilo halina ubishi, ndio ukweli wenyewe. Mwanamke anayesingizia matatizo ya mume wake ili apate mwanya wa kuvuliwa chupi hana maana. Kuna wanawake wengi tu waume zao ni bogus mbumbumbu lakini wanajiheshimu. Sio mwanamke mmekosana kidogo tu anachepuka, mimi napiga chini.

Hizi chats wanazosema ni innocent si kweli. Zinaanza kidogo kidogo. Mara "good night beau beau" ikiambatana na vi-smarticons vya kisses and ish. Inachofuata ni vizawadi vya chocolate. Then "innocent lunches". Then escapades kwenye parking lots "come and lets just talk" au "if I come to your place promise me we wont do anything" (women can be so gullible). Kidume unaitikia but you both know that you gonna do the nookie.Wadada wengine wanaomba watumiwe picha ya schlong kabisa. Usipomtumia ananuna. Ndio maana nasisitiza unapomteka mwanamke kisaikolojia hata kwa kuchat tu, suala la ngono ni matokeo. Kwa bahati mbaya kamba hizi zinafanya kazi kwa wanawake wote. A combination of "pretending to care" jumlisha txt na voicenotes (women love this sh*t) na vizawadi zawadi pamoja na kutokuonesha desperation ni sure way of laying these dames, hitched or not.
 
Mkuu umeongea ukweli mtupu
 
hivi unaanza anzaje,,, tena ucku....naamini ni watu wazima ambao mnaweza kujipangia muda maalum wa kuchat bila bugudha.......hizi ndoa hizi......kuna haja ya kuongeza kipengele cha mahusiano kwenye ktb pendekezwa.
 
kaka kuna jambo ambalo nimejiapiza....hata kama tulikuwa marafik mtu akishakuwa mke wa mtu mazoe yanastahili kuwa na mipaka kwa maana hata mimi kuna mambo ambayo singependa yatokee kwa mke wangu...hata mwanaume akishakuwa na familia kuna ukomo wa tabia anaostahili kuwa nao na aina ya marafiki!

Indeed mkuu
umespeak my mind..
heshim uheshimiwe..na ndoa daima iheshimiwe
 
Au unakuta umelala na mpenzi wako mko faragha gafla cm ya mpenz wako inaingia sms,kitakachotokea mpenz wako anakurupuka kutoka kitandan Anaenda kuiwah ile cm na akishaishka anasoma sms na Kuifuta faster ili usiione!Jee ni haki?

pakikucha kwenu.
 
Back
Top Bottom