Unapochat na mume/mke wa mtu usiku mzito

Unapochat na mume/mke wa mtu usiku mzito

daah nishawahi pia kama chat na mke wa mtu mpaka alfajiri na mausiklu sana mume wake akiwa hajarudi,,,,akirudi tu ananitonya so tunasitisha au akilala anaendelea,...mpaka alidata akajipiga photo...hii nadhani na matatizo ndani ya ndoa yanaleta hayo...mwishoni nikaacha maana mh......mi ni sijaoa ye yupo na ndoa....
 
Hommie, hapo kwa red kule kwetu ni sehemu ya mila na desturi. Lazima mtu uwe na back up incase ikitokea kama ilivyomtokea jamaa yetu wa Buguruni Malapa.

Umenionea wapi cacico? Mwambie namtafuta Wozap....
cacico nipo naye wozap sasa hivi kama shemeji yangu namchattisha, subiri kidogo

Mila na ziheshimiwe na watu wote
 
Last edited by a moderator:
Yupo mmoja hapa tena huwa anaanza mwenyew kila ifikapo 6 kasoro usiku
 
Huo Ni Ufisadi Wa Mapenzi Wote Wenye Tabia Hizo Jiandaeni Na Mahakama Ya Magufuli Akiingia Ikulu...
 
Kuna watu wanapenda kumpigia Mola kwamba wapo njiani wanakuja waachee
 
Na mimi ni me wa mwanamke mwenzio. Usifanye hivyo bhana...

"We Don't Need to Share the Same Opinions as Others, But We Need to be Respectful"
Si ndo maana Nikasema tuchat usiku wa matisa, muda huu mwenye mali yupo. Usiku anachelewa kurudi kwa hiyo tutachat kwa raha zetu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom