Unapochat na mume/mke wa mtu usiku mzito

Unapochat na mume/mke wa mtu usiku mzito

Tatizo ndoa zetu zimekuwa za kuvumiliana mno, baadhi ya nchi za wazungu walishavuka hiyo stage! Unakuwa open, "am chatting with a bitch" basi kama ni kulala lala, ka kuachana basi download form jaza peleka kwa magistrate thats all.

Sisi ndoa zetu watu kibao hawako happy wanaishi tu with heaps of stress!
Kuwa open ni vzr ila sio culture yetu so VUMILIA TU BUBUji

Yan nimecheka hadi machozi daah watu mna minenoo
 
Orayt.... chat na shemejio responsibly...
hubby wa mimi ni kuhusu mashamba y azabibu kule chamwino! ndio haswaaaa tulikuwa tunachat na shemeji Kaizer! mume wa mimi, hebu kuja wozap, japo kuna sheria mpya ya matusi ila naomba unitongoze upyaaaaa! nna hamu tu mimi!
 
Last edited by a moderator:
Yaani kuanzia leo itakuwa raha sana...hata mkeo akikamata namba ya small house hawezi kurusha vijembe tena. Ataishia tu kusema.....samahani unavyofanya sio vizuri usirudie tena dear...í-½í¸‚
TCRA Oyee.....
 
@ rubii umenichekesha kuna li EX limoja linapenda kunitukanaga kwa sms nasubirije siku ajaribu tu amenasa
 
Jamani hii kuchat na mke/mme wa mtu imeharibu ndoa nyingi sana. Kisa kujifanya wanaondoleana stress so bad. Ndoa ziheshimiwe na watu wote. Nawakemea kwa JINA LA MUNGU ALIE HAI WAVURUGA NDOA WOTE,wanaojifanya kuchat na waume/wake za watu eti just for company au for relief. Wameharibu ndoa nyingi na kusababisha matatizo mengi sana ktk ndoa mf. Waume/wake kuwapuuza wenza wao.wamewangiza wahusika ktkmitego mikubwa hata kuwatumia picha za kuonyesha maumbile yao ili kuwatega. Wewe mwanamke unaefanya hivi ushindwe kwa jina la Yesu
 
Mh!

Ameeen!
 
Huko n kutafutiana lawama sasa, kuepuka hilo lazma muwekeane mipaka. maana wote mnaiba, hvyo mnaepusha weny mali zao kushtukia upumbavu mnaofanya
 
hubby wa mimi ni kuhusu mashamba y azabibu kule chamwino! ndio haswaaaa tulikuwa tunachat na shemeji Kaizer! mume wa mimi, hebu kuja wozap, japo kuna sheria mpya ya matusi ila naomba unitongoze upyaaaaa! nna hamu tu mimi!

mmmmmmmmm...basi tuu...lakiiiiniiii
 
kaka kuna jambo ambalo nimejiapiza....hata kama tulikuwa marafik mtu akishakuwa mke wa mtu mazoe yanastahili kuwa na mipaka kwa maana hata mimi kuna mambo ambayo singependa yatokee kwa mke wangu...hata mwanaume akishakuwa na familia kuna ukomo wa tabia anaostahili kuwa nao na aina ya marafiki!

Kwani we umeshaoa? Nimekupenda bure aisee, ila km umeoa mpe hi my wife wako.
 
Kwani we umeshaoa? Nimekupenda bure aisee, ila km umeoa mpe hi my wife wako.

Sijaoa...niliwahi kupenda lakini...hadi nikawa mjinga!.....niliyempenda siku moja aliniambia moyo wake uko kwa mtu mwingine.....nikamwacha...tokea hapo nikaishi maisha ya furaha ever!
 
shindwa we mwanaume, nikukute nyumbani ikiwa 90 angle! mmmmmmxxxxxxiiiieeeewwwwww!
Kheee.... wife hata utani mdogo tu unang'aka? Haya kitu kinakuja ole wako ukikimbie kama jana...... (hii haina uhusiano na stori ya miguu ya tembo LOL)

Mwe!

Nooma sana.
Huyu ni mke wa ujana wangu, shurti alinde mali zake. Hatukufahamiana gulioni Katerero.
 
hubby wa mimi ni kuhusu mashamba y azabibu kule chamwino! ndio haswaaaa tulikuwa tunachat na shemeji Kaizer! mume wa mimi, hebu kuja wozap, japo kuna sheria mpya ya matusi ila naomba unitongoze upyaaaaa! nna hamu tu mimi!

Niko wozap tayari mama...... kwa ajili yako tu.

Sema utakacho nikutendee....

Kitu kimoja ambacho hujakijua: Nilikupenda kabla hujajua kupendwa. Na hutaachwa kupendwa wakati nikiwa bado hai.
 
Back
Top Bottom