Unapochat na mume/mke wa mtu usiku mzito

Unapochat na mume/mke wa mtu usiku mzito

Au unakuta umelala na mpenzi wako mko faragha gafla cm ya mpenz wako inaingia sms,kitakachotokea mpenz wako anakurupuka kutoka kitandan Anaenda kuiwah ile cm na akishaishka anasoma sms na Kuifuta faster ili usiione!Jee ni haki?
hiyo mwizi
===>Ndoa za siku hizi ni mabalaa tupu,tumuachie mungu tu.
 
Last edited by a moderator:
Au unakuta umelala na mpenzi wako mko faragha gafla cm ya mpenz wako inaingia sms,kitakachotokea mpenz wako anakurupuka kutoka kitandan Anaenda kuiwah ile cm na akishaishka anasoma sms na Kuifuta faster ili usiione!Jee ni haki?

sasa mkiwa faragha mnasoma msg ili iwe nini? kuharibiana stim huko
 
mambo mengine tunayataka wenyewe unakuta mwanaume anarudi nyumbani saa sita halafu hupo chicha sasa wakati nasubiri arudi ili nimfungulie mlango ntakuwa nafanya nini? na mbaya hata nikimtumia msg yeye hanijibu kiburi mpaka kwenye soksi ,kwanini nisichati kupata relief
 
eti ukiulizwa kirahisi tu unajibu sisi ni marafiki wa kawaida. Jamani urafiki gani huo na mke/ mume wa mtu usiku wa matisa?

Siyo kila mtu aliyeoa/aliyeolewa ameoa/ameolewa...! Zipo aina nyingi za kuishi hapa duniani...!
 
#sex chat
yaaani ukiona mtu dakika 3 kakata stimu ujue kakimbilia kipande cha sabuni au babycare.

hahahaha amu ulishawahi kumsextisha mtu nini?
 
Last edited by a moderator:
All in all kuchat kwanza ni hobby ya mtu.

Pili, kuna watu wapo kwenye mahusiano kwa bahati mbaya...ameelezea kwa uzuri sana dada King'asti apo juu,,,,,yaani wao kuwa wawili ni stress tu bora awe na mtu wa kumchattisha kupunguza stress and the like...

tatu, kutokana na pili apo juu, uwezekano wa kuwa na kasomesing pembeni ni mkubwa......so ndio ivo.
 
Last edited by a moderator:
Kwanza kwanin uchat na mke wa mtu? yan nikikuta hiyo tabia kwa mke wangu ntampasua hiko kichwa chake. Baada ya ndoa haya mambo yaishe na yakome kabisa.

SMS moja ya taarifa inatosha, sio kuchatchat, hata kama mnachat mambo ya Mungu.

Tabia chafu sana.
 
Cjaona tatizo ila tu labda kati yao mmoja wao akawa na nia mbaya kwa mwenzie
 
eti ukiulizwa kirahisi tu unajibu sisi ni marafiki wa kawaida. Jamani urafiki gani huo na mke/ mume wa mtu usiku wa matisa?

Pole kwwa yaliyokukuta, kama vipi na wewe tafuta wa kuchat nae. i hope sio 'sexchartishana' (in broken soul 's voice):sad:
 
Hapo sasa! Mi nahisi atakuwa Kashapiga maji yake, kalala anakoroma muda huo.

wengine wakipata kamoja wanalala hoi kama wamekufa, akiamka ni kesho saa nne. Sasa unategemea bibie abaki anafanya nini wakati simu yake ina whatsapp, viber na makorokoro mengine kibao, huku akiwa bado ana mihamu ya njunji?
 
We BUBUji hahahahaha kamoja eti
 
Last edited by a moderator:
Au unakuta umelala na mpenzi wako mko faragha gafla cm ya mpenz wako inaingia sms,kitakachotokea mpenz wako anakurupuka kutoka kitandan Anaenda kuiwah ile cm na akishaishka anasoma sms na Kuifuta faster ili usiione!Jee ni haki?

Si haki, hiyo ni mwizi
 
Ukimshughilikia mtu vizuri hawezi kupata hiyo time ya kuchat iwe ni mume au mke!hapa kuna udhaifu mkubwa sana wa ndoa zetu wanandoa hawakidhi haja vizuri za miili yao na hii ndio sababu kubwa!tafakari chukua hatua
 
Back
Top Bottom