Ennie
JF-Expert Member
- Jan 15, 2011
- 7,137
- 4,139
ila mwenye matatizo ni huyo mke wa mtu au mme wa mtu ambayeana -entertain hivyo vitu....nachukia mtu ambaye yuko kwenye ndoa au relationship alafu anatafuta relief nje
You said it all Dr.
Wewe unajijua una mke/mume ila uko busy usiku ku chat na mtu kwa means yoyote ile ujue una tatizo,ina maana huyo unaye chat nae anakupa faraja na amani kuliko uliye nae ndani usiku huo!
Nikikukamataaa,sitataka kujua unaye chat nae anafananaje ila wewe hakuna rangi utaacha kuona!!!!