Unapochat na mume/mke wa mtu usiku mzito

Unapochat na mume/mke wa mtu usiku mzito

Siku hizi kuoa au kuolewa ni taratibu kama vile kwenda kusali msikitin au kanisani lkn makando kando yote yako pale pale hii ni kwa wote Adam na Hawa
 
Mtoe mavi atakuheshim tu huyo alaf ukichomoa unamnyonyesha li dushe hilo na mavi yake hvyo hvyo *****
 
Mimi huwa nachat na mke wa mtu ucku lakin ni marafik na mara nying amekuwa aki injoi kuchat na mm coz huwa namuondoa stress na ana ji feel happy kuchat na mm bt tatizo nililoliona lipo kwa mume wake yaan mume anakuwa bize sana alaf kauzu wakat mke wake anapenda joking flan hv na vistor vya kizush n.k...NB. ukiona mume/mke anachat ucku kuna tatizo kwenye ndoa yenu si bure kabisa.
 
Tatizo hapo unaweza kumgeuzia kibao ukaomba visivyoombwa na yeye akashindwa kuchomoa kaka.
 
Tatizo hapo unaweza kumgeuzia kibao ukaomba visivyoombwa na yeye akashindwa kuchomoa kaka.

Usemalo ni ukwel kabisa kaka nikiwa mroho hachomok japo ktk kuchat namshaur meng kuhus yeye na ndoa yake na binafsi naelewa ubaya wa kutembea na mke wa mtu,, kuchat na mke wa mtu busara inahitajika sana ili kulinda heshima ya huyo mume wake na huwa nataman kupata no. Ya mume wake ili nimpe ushaur wa namna ya kuish na mke wake!
 
You said it all Dr.
Wewe unajijua una mke/mume ila uko busy usiku ku chat na mtu kwa means yoyote ile ujue una tatizo,ina maana huyo unaye chat nae anakupa faraja na amani kuliko uliye nae ndani usiku huo!
Nikikukamataaa,sitataka kujua unaye chat nae anafananaje ila wewe hakuna rangi utaacha kuona!!!!

Nimecheeeka! ni tabia mbaya kwa kweli
 
Usemalo ni ukwel kabisa kaka nikiwa mroho hachomok japo ktk kuchat namshaur meng kuhus yeye na ndoa yake na binafsi naelewa ubaya wa kutembea na mke wa mtu,, kuchat na mke wa mtu busara inahitajika sana ili kulinda heshima ya huyo mume wake na huwa nataman kupata no. Ya mume wake ili nimpe ushaur wa namna ya kuish na mke wake!

Hiyo nimekubali.

Muombe atakupatia kiroho safi.
 
Kwasisi tuliokwenye mtuambie salsa kuchat mwisho SAA ngap tafadhali

Tena watuambie ndoa zao zina umri gani.

Nimekuja hapa kukusalimu na kukukumbusha ahadi yetu ya Jumapili pale Fyatanga....
 
All in all kuchat kwanza ni hobby ya mtu.

Pili, kuna watu wapo kwenye mahusiano kwa bahati mbaya...ameelezea kwa uzuri sana dada King'asti apo juu,,,,,yaani wao kuwa wawili ni stress tu bora awe na mtu wa kumchattisha kupunguza stress and the like...

tatu, kutokana na pili apo juu, uwezekano wa kuwa na kasomesing pembeni ni mkubwa......so ndio ivo.

Hommie, hapo kwa red kule kwetu ni sehemu ya mila na desturi. Lazima mtu uwe na back up incase ikitokea kama ilivyomtokea jamaa yetu wa Buguruni Malapa.

Umenionea wapi cacico? Mwambie namtafuta Wozap....
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom